joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii video inaonyesha mazingira ya watu masikini sawa na Kibera kule Kenya, bado Tanzania ni masikini kama ilivyo Kenya na nchi zingine za Afrika.
Kuna tofauti kubwa sana ya mazingira ya masikini wanaoishi Dar, na masikini wanaoishi Nairobi, hasa katika upande wa nyumba, "Sanitation" na upatikanaji wa maji na chakula.