Achana na nguruwe hiyo.Bro, sikatai we can beat em, but beating em kwa internet connectivity ni kujidanganya. Just common sense.
SA umeme wote unaenda kuchimba madini ya dhahabu na mara kwa mara huwa kunakua na blackout.Achana na nguruwe hiyo.
Electricity yenye SA wako na 50000MW,mpumbavu anayeishi nchi ya 2100MW anasimama akitamba yuko juu kwa internet[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tunabishana na manduza sana humu.
98b GDP imenuka madeni na misaada hahaha bora sisi 67b yenye reflectors of working economicsWatu 58 million na Gdp ya $62 billion. Hahaha wacheni jokes bana.
They worship South Africa like babies. ESCOM (SA electricity distributor ). Is one of the most corrupt and indebted companies in Africa. SA is facing power rations and all day blackouts. Hiyo 50000 MW yao haiwasidii .SA umeme wote unaenda kuchimba madini ya dhahabu na mara kwa mara huwa kunakua na blackout.
hivi umeshawai sikia Kenya kuna blackout hata dakika tano tu kwa zaidi ya miongo miwili sasa?
hata SA pia hawauzi 'beers'Hata beers hamuuzi tena huko kwenu, ni wangapi wapo jobless Sasa hivi, mpo na hali ngumu sana huko kwenu
List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia98b GDP imenuka madeni na misaada hahaha bora sisi 67b yenye reflectors of working economics
GOT iko na share humo.
Hajui kama transfoma zinazotumika Kenya zimetoka TZ
Umemkimbiza[emoji23]Tanelec Kampuni ya wakenya
Imf inaitambua tanzania km ldc badoIna maana Huoni original post with data from imf, this same corona year. Tumewapiga chini. Alafu unaleta kiblog uchwara hapa, kucompare na IMF, viblog vinatumiwaga kuwajaza ujinga na kujiona nyinyi ndio kila kitu.
Kwn mashamba ya chai kenya ndio hayaajiri wakenya na pia vile vile yantoa kodiHatujakataa, Kiwanda kipo Arusha, wawekezaji wakenya, kimeajiri wabongo, kinalipa kodi bongo.. kilianzishwa na wabongo.. kwani shida ipo wapi?
Nikimbie kisa nini?Umemkimbiza[emoji23]
[emoji115][emoji115][emoji115]Yes 30%, 70% Kenyans
Nikimbie kisa nini?
Hujielewi wewe.[emoji115][emoji115][emoji115]
Bwana weeSA umeme wote unaenda kuchimba madini ya dhahabu na mara kwa mara huwa kunakua na blackout.
hivi umeshawai sikia Kenya kuna blackout hata dakika tano tu kwa zaidi ya miongo miwili sasa?
Ndio sababu wana mipango ya kufikia 75000MW 2035,maana wanajua hauwatoshi huo umeme.They worship South Africa like babies. ESCOM (SA electricity distributor ). Is one of the most corrupt and indebted companies in Africa. SA is facing power rations and all day blackouts. Hiyo 50000 MW yao haiwasidii .
https://www.washingtonpost.com/opinions/2020/01/04/south-africa-ended-darkness-heres-why/View attachment 1520621
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme na huwa wanauza transfoma hadi kenya.
TANALEC LIMITED: TANZANIA NI SOKO KUBWA LA TRASFOMA ZETU, LENGO NI KUIFIKIA AFRIKA NZIMA | Full Shangwe Blog
Basi ndio uache kujitapa na vitu ambavyo huvijuiHujielewi wewe.
Jiulize kwanza mbna ethiopia ina umeme mwingi tu lkn treni zao zinakwama kila maraBwana wee
Huu ubishi wa kuiingiza SA anga hizi ni upumbavu na ni dalili ya kujidanganya.
Wewe unaamini 51000MW zote zinaishia migodini!!!!unajua supply yao inasoma ngapi kwenye makazi ya watu ukilinganisha na kenya!!!!
Jiulize kwanza mbna ethiopia ina umeme mwingi tu lkn treni zao zinakwama kila mara
Kila kitu kina purpose yake