Low Internet Access Driving Inequality

Low Internet Access Driving Inequality

Ili twende sawa inabidi tuangalie kwanza wana umeme kiasi gani??lakini pia wana idadi ya watu kiasi gani???
Swala la umeme kuzima hata SA ina 51000KW ila kuna wakati unazimika.maana yake wanautumia sana.

Sasa wewe mwenye 2300KW ujisifu sababu tu umeme huwa hauzimiki[emoji848][emoji848]
Umerudi pale pale kw purpose..
Ndipo mwenzetu hko juu kasema, umeme mwingine unaenda migodini..
Sasa wewe ungelitakiwa kubisha kw facts na umuumbue..ila ukianzisha mambo sijui ya hivi na vile, wala hamtoafikiana leo wala kesho
 
Wewe mama SA umeme unaokwenda kwenye migodi ni 17%-20% tu.

Hutaki nakuletea pdf kabisa hapa.[emoji116][emoji116][emoji116]hii itakupa picha ni jinsi gani hawa jamaa sio wa kuwawekea ubishi maandazi kama tunavyowafanyia nyinyi wakenya maneno mengi.
EA kuna DOT moja tu.ambayo ndio hiyo jumla yetu 4500MW
View attachment 1521888
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    30.1 KB · Views: 1
Wewe mama SA umeme unaokwenda kwenye migodi ni 17%-20% tu.

Hutaki nakuletea pdf kabisa hapa.[emoji116][emoji116][emoji116]hii itakupa picha ni jinsi gani hawa jamaa sio wa kuwawekea ubishi maandazi kama tunavyowafanyia nyinyi wakenya maneno mengi.
EA kuna DOT moja tu.ambayo ndio hiyo jumla yetu 4500MW
View attachment 1521888
Viwanda je?
Tena hapo umeleta nn haswa, lete takwimu utuonyeshe umeme unaobaki after kugawanyizwa kote hko kabla ya kufikia wananchi
 
Alafu utaskia nyenyenye mingi kumbe ni mapimbi tuuu hawa akuna lolote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
A danganyikan providing a blog to prove his point is a norm in this forum. They are all cut from the same piece of cloth
Makasiriko yote ya nini haya!

Kuona kuwa kenya inanunua transformer Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]

Wengine wanaonunua transfoma na vifaa vya umeme ni Rwanda, Uganda na Zambia,

Unadhani ukiandika makasiriko yako itabadilisha ukweli kuwa kenya inanunua transformer Tanzania,

Usisahau pia kuwa Tanesco walipigwa marufuku kununua transformer nje ya nchi.
 
Viwanda je?
Tena hapo umeleta nn haswa, lete takwimu utuonyeshe umeme unaobaki after kugawanyizwa kote hko kabla ya kufikia wananchi
Kumbe wewe mama ni mweupe kichwani eh[emoji28][emoji28][emoji28]

Tumetoa migodi sababu si matumizi sahihi ya umeme,sasa viwanda unatoaje.

Siwezi kukupa takwimu sababu hauko tayari kuzielewa.
 
Kumbe wewe mama ni mweupe kichwani eh[emoji28][emoji28][emoji28]

Tumetoa migodi sababu si matumizi sahihi ya umeme,sasa viwanda unatoaje.

Siwezi kukupa takwimu sababu hauko tayari kuzielewa.
Sema tu umekosa takwimu za ku support upupu wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaheri
 
Back
Top Bottom