Blog?? 😂Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme na huwa wanauza transfoma hadi kenya.
TANALEC LIMITED: TANZANIA NI SOKO KUBWA LA TRASFOMA ZETU, LENGO NI KUIFIKIA AFRIKA NZIMA | Full Shangwe Blog
Stupid ni wewe,Blog?? [emoji23]
I didn't know you are this stupid until I saw this
Umerudi pale pale kw purpose..Ili twende sawa inabidi tuangalie kwanza wana umeme kiasi gani??lakini pia wana idadi ya watu kiasi gani???
Swala la umeme kuzima hata SA ina 51000KW ila kuna wakati unazimika.maana yake wanautumia sana.
Sasa wewe mwenye 2300KW ujisifu sababu tu umeme huwa hauzimiki[emoji848][emoji848]
Wewe mama SA umeme unaokwenda kwenye migodi ni 17%-20% tu.Umerudi pale pale kw purpose..
Ndipo mwenzetu hko juu kasema, umeme mwingine unaenda migodini..
Sasa wewe ungelitakiwa kubisha kw facts na umuumbue..ila ukianzisha mambo sijui ya hivi na vile, wala hamtoafikiana leo wala kesho
Viwanda je?Wewe mama SA umeme unaokwenda kwenye migodi ni 17%-20% tu.
Hutaki nakuletea pdf kabisa hapa.[emoji116][emoji116][emoji116]hii itakupa picha ni jinsi gani hawa jamaa sio wa kuwawekea ubishi maandazi kama tunavyowafanyia nyinyi wakenya maneno mengi.
EA kuna DOT moja tu.ambayo ndio hiyo jumla yetu 4500MW
View attachment 1521888
A danganyikan providing a blog to prove his point is a norm in this forum. They are all cut from the same piece of clothStupid ni wewe,
Kabishane na mkurugenzi wa Tanalec.
Makasiriko yote ya nini haya!A danganyikan providing a blog to prove his point is a norm in this forum. They are all cut from the same piece of cloth
Kumbe wewe mama ni mweupe kichwani eh[emoji28][emoji28][emoji28]Viwanda je?
Tena hapo umeleta nn haswa, lete takwimu utuonyeshe umeme unaobaki after kugawanyizwa kote hko kabla ya kufikia wananchi
Sema tu umekosa takwimu za ku support upupu wako[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe wewe mama ni mweupe kichwani eh[emoji28][emoji28][emoji28]
Tumetoa migodi sababu si matumizi sahihi ya umeme,sasa viwanda unatoaje.
Siwezi kukupa takwimu sababu hauko tayari kuzielewa.
Enda ila ujinga achana nao siku nyingine.Sema tu umekosa takwimu za ku support upupu wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaheri