Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
LOW PROFILE NI MBINU ITAKAYOKUSAIDIA KATIKA MAPAMBANO YA MAISHA

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Nilisema, usitafute Wala usilazimishe kuheshimiwa na kîla Mtu.

Nikasema, siô lazima kîla Mtu akuheshimu, nikimaanisha siô kîla heshima ni muhimu kwako.

Nasema, kîla heshima inakuja Kwa Wakati wake.

Usipende kuonekana au kukuonyesha mbele za Watu kama Mtu Mkubwa, Mtu WA muhimu, Mtu wa Maana. Hiyo haitakusaidia zaidi itakusumbua Hapo baadaye.

Penda kuwa mtu wa Kawaida, hata kama unajijua unauwezo Fulani, unacheo Fulani, unangugu Fulani, usipende kuonyesha uwezo wako au umuhimu wako sehemu àmbayo Hakuna ulazima wa kufanya hivyo.
Onyesha uwezo wako pake àmbapo unahitajika na kûna huo ulazima wa kuuonyesha.

Umemaliza chuo Kikuu upo zako mtaani, ishi Maisha yako kama Watu Wengine wa mtaani. Siô lazima Watu wajue umesoma kama hakuna ulazima wakujua.

Kama Elimu yako itahitajika Hapo mtaani ndîo waweza kuitumia.

Watu watakutambua tuu kupitia actions zako, maneno yako watajua huyu Kijana au huyu Binti anauwezo Fulani.

Low Profile itakusaidia kuwa Flexible. Utakuwa unabadilika badilika Kulingana na Hali na mazîngira. Tofauti na kujipa high profile Kwa kujiona wamaana, wahadhi, mwenye umuhimu àmbapo kûna ishu utakuwa umejiwekea mipaka kutokufanya.

Mfano,
Kufika na kufika unajifanya unaelimu, sijui umetoka familia za kishua, au una connections za wakubwa. Hii itakusumbua sehemu kwani utashindwa kufanya Baadhi ya ishu zako.

Mfano,
Umemaliza chuo Kikuu umewambia Watu wewe unandugu weñye vyeo vikubwa hivyo unaconnection za Kazi.
Baada ya kuhitimu, Muda unasonga ajira Huna, kujiajiri unaona aibu Kwa sababu mtaji Mdogo hauwezi kufungua biashara kûbwa zinazoendana na hadhi uliyojipa.

  • Kuuza Karanga hutaki,
  • Kuuza Dagaa hutaki,
  • Kuuza juisi hutaki.
  • Kuwa dalali hutaki.

Mwisho unaingia kwèñye mtego wa mateso.

Hata kama unaconnection Huwezi kujipa High profile, connection zinaweza kukatika Kwa ghafla mahali àmbapo haujatarajia. Unashindwa kubadilika Kwa sababu tayari unaona NI fedheha kuwa chini.

Wakati nasoma chuo Kikuu pale UDSM, Kûna wanafunzi walikuwa wakihangaika kubadili nguo na viatu pamoja na Simu kwa kujipa high profile, kujipa hadhi wengi wao malengo yao makuu yakiwa ni kuwavutia Wanawake.
Jambo ambalo wengi liliwagharimu Sana. Bumu kuisha mapema, kusumbuliwa na Wanawake haohao àmbao wanawafanya wavae nguo za kîla namna ili wawavutie.

Binafsi sikuwa na nguo nyingi waliosoma na Mimi wanajua Hilo. Kiasi kwamba unaweza kuzikariri nguo zangu. Hiyo Kwangu haikuwa shida na Saikolojia ya Watu wanakuzoea vile utakavyojiweka. Watoto Wakali unachukula, na bado unaishi Low Profile, Low Key.

Mtu afanye Jambo Ikiwa analipenda na siô kufanya Jambo Kwa kujionyesha Kwa Watu au kujipa umuhimu au hadhi. Hiyo itamgeuza kuwa mtumwa.

Mfano, Mtu àmbaye yupo Low Profile hawezi kuwaza atavaa nguo gàni isipokuwa ataweza nguo iliyosafi.
Lakini anayejipa umuhimu, au hadhi lazima awe mtumwa Kwa Watu wengine. Kwani ataona akirudia nguo Fulani Watu watasema Amerudia na ataonekana Hana Pesa.

Wewe Mtu akikuona Huna Pesa unapungukiwa kitu gàni?

MTU akikuona Huna Elimu au Akili unapungukiwa Jambo gàni.

Wakati Fulani nilikuwa najifunza Kushona Nguo, Binti mmoja alikuwa akija pale ofisini mara, akawa ananitazama, kumbe alikuwa na yake. Siku Moja akaniuliza, mbona wewe ni kijana mdogo mwenye mvuto (akimaanisha handsome) why umechagua Kazi hii. Ati yeye anaona nimepotoka, hakujua ninasoma, fundi alipomwambia ninasoma Chuo Kikuu akabaki ameng'aka.

Low Profile itakupa Pesa.
Low profile itakufanya uishi vizuri mtaani.
Low profile itakusaidia kukupa data mbalimbali za kiintelejensia kuhusu fursa zitakazokusaidia kwèñye Maisha yako.

Low profile itakusaidia kupata Mchumba au mwenza Sahihi Kabisa.

NI kupitia Low Profile Watu unawajua tàbia zào vile walivyo. Yaani uhalisia wa Binadamu.

Ukishajua uhalisia wa Watu Maisha hayawezi kukusumbua Kwa sababu Maisha ni michakato ya Watu kuchangamana na kuzalisha màtukio na Matokeo.

Low profile itakufanya Watu wasijue upo kwèñye Wakati mgumu au wakati wa bata. Yaani hautabiriki.
Ukiwa na Pesa Watu hawajui ukiwa hauna Pesa Watu hawajui. Waô wanakuona upo vilevile Siku zote.

Tafsiri ya Low profile ni kujiepusha na mashindano na Watu yasiyo na ulazima, yasiyo na tija.

Low profile hata Kazini itakuepusha na vita kutoka Kwa Watu visivyo na umuhimu.

Kama hujajipa hadhi au kujiona wa Maana, au Bora niambie ni kitu gàni kinakufanya uone aibu kufanya Kazi hata ya kipato cha elfu tatu au tano Kwa Siku ujipatie kipato umeona Bora ukae tuu bila Kazi. Huoni kama unajipoteza?

Moja ya sifa ya Mzazi Bora hata kama yeye anahadhi Fulani atamfundisha Mtoto wake kuwa Low Profile.
Huo ndîo ulinzi Namba Moja Kwa Mtoto. Hata Siku Mzazi akiwa hayupo Mtoto anauwezo wa kupigana vita yoyote na akashinda.

1. Kuwa Low Profile, low Key
2. Soma mazîngira na Watu
3. Tumia mazîngira na Watu kupata Yale unayoyaona ni muhimu kwako.
4. Linda heshima na uaminifu utakaopewa na Watu lakini kamwe usilazimishe kuheshimiwa na kuaminika.
5. Usipende kupigana vita mara Kwa mara kama Hakuna ulazima, kama ukiweza piganisha maadui zako wapigane wènyewe Kwa wènyewe.
6. Shiriki kusaidia Watu wanyonge lakini weñye HAKI.
7. Saidia Watu weñye nguvu kutenda Haki.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
LOW PROFILE NI MBINU ITAKAYOKUSAIDIA KATIKA MAPAMBANO YA MAISHA

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Nilisema, usitafute Wala usilazimishe kuheshimiwa na kîla Mtu.
Nikasema, siô lazima kîla Mtu akuheshimu, nikimaanisha siô kîla heshima ni muhimu kwako.
Nasema, kîla heshima inakuja Kwa Wakati wake.

Usipende kuonekana au kukuonyesha mbele za Watu kama Mtu Mkubwa, Mtu WA muhimu, Mtu wa Maana. Hiyo haitakusaidia zaidi itakusumbua Hapo baadaye.

Penda kuwa mtu wa Kawaida, hata kama unajijua unauwezo Fulani, unacheo Fulani, unangugu Fulani, usipende kuonyesha uwezo wako au umuhimu wako sehemu àmbayo Hakuna ulazima wa kufanya hivyo.
Onyesha uwezo wako pake àmbapo unahitajika na kûna huo ulazima wa kuuonyesha.

Umemaliza chuo Kikuu upo zako mtaani, ishi Maisha yako kama Watu Wengine wa mtaani. Siô lazima Watu wajue umesoma kama Hakuna ulazima wakujua.
Kama Elimu yako itahitajika Hapo mtaani ndîo waweza kuitumia.
Watu watakutambua tuu kupitia actions zako, maneno yako watajua huyu Kijana au huyu Binti anauwezo Fulani.

Low Profile itakusaidia kuwa Flexible. Utakuwa unabadilika badilika Kulingana na Hali na mazîngira.
Tofauti na kujipa high profile Kwa kujiona wamaana, wahadhi, mwenye umuhimu àmbapo kûna ishu utakuwa umejiwekea mipaka kutokufanya.

Mfano,
Kufika na kufika unajifanya unaelimu, sijui umetoka familia za kishua, au una connections za wakubwa.
Hii itakusumbua sehemu kwani utashindwa kufanya Baadhi ya ishu zako.
Mfano,
Umemaliza chuo Kikuu umewambia Watu wewe unandugu weñye vyeo vikubwa hivyo unaconnection za Kazi.
Baada ya kuhitimu, Muda unasonga ajira Huna, kujiajiri unaona aibu Kwa sababu mtaji Mdogo hauwezi kufungua biashara kûbwa zinazoendana na hadhi uliyojipa.
Kuuza Karanga hutaki,
Kuuza Dagaa hutaki,
Kuuza juisi hutaki.
Kuwa dalali hutaki.
Mwisho unaingia kwèñye mtego wa mateso.

Hata kama unaconnection Huwezi kujipa High profile, connection zinaweza kukatika Kwa ghafla mahali àmbapo haujatarajia. Unashindwa kubadilika Kwa sababu tayari unaona NI fedheha kuwa chini.

Wakati nasoma chuo Kikuu pale Udsm, Kûna wanafunzi walikuwa wakihangaika kubadili nguo na viatu pamoja na Simu kwa kujipa high profile, kujipa hadhi wengi wao malengo yao makuu yakiwa ni kuwavutia Wanawake.
Jambo ambalo wengi liliwagharimu Sana. Bumu kuisha mapema, kusumbuliwa na Wanawake haohao àmbao wanawafanya wavae nguo za kîla namna ili wawavutie.

Binafsi sikuwa na nguo nyingi waliosoma na Mimi wanajua Hilo. Kiasi kwamba unaweza kuzikariri nguo zangu. Hiyo Kwangu haikuwa shida na Saikolojia ya Watu wanakuzoea vile utakavyojiweka.
Watoto Wakali unachukua, na bado unaishi Low Profile, Low Key.

Mtu afanye Jambo Ikiwa analipenda na siô kufanya Jambo Kwa kujionyesha Kwa Watu au kujipa umuhimu au hadhi. Hiyo itamgeuza kuwa mtumwa.

Mfano, Mtu àmbaye yupo Low Profile hawezi kuwaza atavaa nguo gàni isipokuwa ataweza nguo iliyosafi.
Lakini anayejipa umuhimu, au hadhi lazima awe mtumwa Kwa Watu wengine. Kwani ataona akirudia nguo Fulani Watu watasema Amerudia na ataonekana Hana Pesa.

Wewe MTU akikuona Huna Pesa unapungukiwa kitu gàni?
MTU akikuona Huna Elimu au Akili unapungukiwa Jambo gàni.

Wakati Fulani nilikuwa najifunza Kushona Nguo, Binti mmoja alikuwa akija pale ofisini mara , akawa ananitazama, kumbe alikuwa na Yake. Siku Moja akaniuliza, mbona wewe NI kijana mdogo mwenye mvuto(akimaanisha handsome) why umechagua Kazi hii.
Ati yeye anaona nimepotoka,
Hakujua ninasoma, fundi alipomwambia ninasoma chuo Kikuu akabaki ameng'aka.

Safii sana!
 
Haiwezekani kukusaidia kupata demu lakini
 
Low profile = low key

Bora watu wajue wewe ni ROFA na hauna kitu kuliko kujiweka juu ambako haujafika.

Andiko zuri sana.

Mimi huwa naitumia Sana hii mbinu
Faida zake nilizopata

-Unakuwa hautabiriki
-unapunguza maadui
-unakuwa na Amani
-unasaidika kirahisi hasa mambo muhimu Kama umepata tatizo la ghafla.

-unakuza uchumi
 
Naam Mkuu
Kwa lugha ya kiimani wanasema kuwa Humble.

Mbinu hiyo imetumika na Kina Musa, Yusuph, Daudi na Ibrahim na wôte walitoboa.

Hata viongozi wakubwa wa Sasa wale weñye tambo na kelele nyingi na mikwala wanashindwa kirahisi kuliko wale watulivu
 
Low profile uswazi haifanyi kazi iyo formula mkuu, ukitaka uchapiwe mke au watoto wako wateseke na kila mtu kuwaonea jifanye low profile.......

Huku ni mwendo wa warthog a.k.a mwendo wa ngiri hakuna kurud nyuma ukiweka jiwe mim naweka chuma chenye kutu........
 
Naam Mkuu
Kwa lugha ya kiimani wanasema kuwa Humble.

Mbinu hiyo imetumika na Kina Musa, Yusuph, Daudi na Ibrahim na wôte walitoboa.

Hata viongozi wakubwa wa Sasa wale weñye tambo na kelele nyingi na mikwala wanashindwa kirahisi kuliko wale watulivu

Kabisa nimekupata mkuu ,andiko zuri lenye kufikirisha Akili na ubongo.
 
Mimi mbona Nipo Low Profile na sinaga demu mbovu.
Kikitoka chuma kinaingia chuma itifaki zote zikiwa zimezingatiwa.
Labda uko Kanda ambayo mademu wa zuri NJ 70% ,hapo yeyote mwenye hela ya kula atapata demu mkali.

Maeneo kama Dar,Arusha,Singida,Kagera,Dodoma,Tanga demu mkali ni lazima ila Mbeya,Songea ,Njombe,Geita nk lazima u hastle ikiwemo kujiweka a little bit high profile Ili Kung'oa chuma.
 
Low key ni muhimu sana, pia ktk swala la Mapenzi ukiwa mpenda sifa itakugharim sana.

Ila ukiwa low key utapata yule aliyesahihi kwa asilimia 90%.

Kuna Mdada mmoja aliniuliza kwanin bado unatumia simu ya laki 3 wakati una uwezo wa kununua simu ya ghali zaidi. Nilimjibu kuwa hii simu ina kila kitu ninachohitaji na wala haina itilafu..

Akili zao wanaangalia material things ndio wanakupima uwezo wako financially.. ukiwa mpenda sifa utaishi maisha magumu na watu kama Pdidy watakuzunguka wakikupa ofa mbalimbali.
 
Na wengi wanaolilia mapenzi ni wale wanaolazimisha umuhimu, Umaana Kwa Wanawake ilhali Mwanamke anatakiwa yeye mwenyewe ndîo aone thamani yako. Siô Ile mpaka ujioneshe utafeli pakubwa
 
Back
Top Bottom