ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Baada ya mda mrefuLow profile ni rahisi kupata marafiki sahihi na mwanamke sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya mda mrefuLow profile ni rahisi kupata marafiki sahihi na mwanamke sahihi
Labda uko Kanda ambayo mademu wa zuri NJ 70% ,hapo yeyote mwenye hela ya kula atapata demu mkali.
Maeneo kama Dar,Arusha,Singida,Kagera,Dodoma,Tanga demu mkali ni lazima ila Mbeya,Songea ,Njombe,Geita nk lazima u hastle ikiwemo kujiweka a little bit high profile Ili Kung'oa chuma.
Low Profile itakusaidia kuwa Flexible
Ndio mnavyojifariji na vitabu vya saikolojia si ndio? 🤣🤣🤣🤣Watibeli tuna Mbinu elfu Moja na kumi na Moja 1011 mpaka Sasa tumetumia Mbinu Kumi na Moja (11) kupata pisikali Bila Kutumia Pesa na hatuji-brand Kwa kupigilia misumari😃😃
Low profile uswazi haifanyi kazi iyo formula mkuu, ukitaka uchapiwe mke au watoto wako wateseke na kila mtu kuwaonea jifanye low profile.......
Huku ni mwendo wa warthog a.k.a mwendo wa ngiri hakuna kurud nyuma ukiweka jiwe mim naweka chuma chenye kutu........
Ndio mnavyojifariji na vitabu vya saikolojia si ndio? 🤣🤣🤣🤣
Hayanaga kanuni
Yaah ni sahihi sema wakileta Dharau na wewe ndio unaonyesha profile Yako sababu unyonge unakikomo
Low profile au low key -haina maana ya kuwa wewe ni mnyonge au wewe ni MTU imara .Yaah ni sahihi sema wakileta Dharau na wewe ndio unaonyesha profile Yako sababu unyonge unakikomo
Kuna watu sio wa kupuuzaDharau haitoki Kwa Yule anayekuonyeshea dharau Bali inatokana na reactions zako baàda ya kuona kitendo alichokifanya kinakuuma.
Mtu akikuonyesha dharau pigo kûbwa kwàke ni kumpuuza tuu.
Kuna watu sio wa kupuuza
Basi SawaUkiwapa umuhimu siô wakuwapuuza.
Ila kama Hawana umuhimu unawapuuza tuu.
NI kama umwone mbwa anayebweka
M bado naendelea kusikilizia mkuu haya maisha haya,,,
Basi Sawa
Kuna watu huwa wanazingua halafu unakuta Cha kumyamazisha unacho ila yeye anakudharauIla kama unaile kupenda Ligi
Yaani kwako Ligi ni Hobby unafanya.
Maana Wakati mwingine Maisha Bila Ligi hayawi matamu
Naona umeamua ku reffer fictional characters kama superman,batman,tom na jery,pazi na jogooNaam Mkuu
Kwa lugha ya kiimani wanasema kuwa Humble.
Mbinu hiyo imetumika na Kina Musa, Yusuph, Daudi na Ibrahim na wôte walitoboa.
Hata viongozi wakubwa wa Sasa wale weñye tambo na kelele nyingi na mikwala wanashindwa kirahisi kuliko wale watulivu