Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

🤣🤣🤣
 
🙋‍♂️✍️🎯🤝💯%
 
Ushauri wa Karne!!
Busara za karne
 
Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Hongera kwa andiko zuri.

Nimepanua mjadala zaidi kupitia hii video/ audio.

Video: The Power of NOT Standing Out: The Low-Profile Advantage

Tired of the constant pressure to "stand out"?

Discover the power of a low-profile approach for achieving success and fulfillment. Learn how blending in can paradoxically make you MORE noticeable and impactful.

In this video, we dive into Robert Hariel's philosophy, exploring how a low profile cultivates deeper understanding, strengthens relationships, and positions you for greater success. Stop chasing validation and start making a real difference.
 

Naam Mkuu.
Barikiwa sana
 
Uzuri wa low key kama ni demu akizama ndo anakuelewa vizuri. Huna mambo mengi na unamsaidia issue za msingi tu.
Wanabakia kuambiana tu mtibeli bonge la kaka. Wanaanza kusubilishanasasa 😀😀😀

Yaani Low Key Mwanamke akikupenda ujue Anakupenda Kwèli
 
Low profile, katika Buddhism na Hinduism low profile inaitwa "sunyata".
Now tell me,kwa maana hiyo neno lao "sunyata" linatofautiana na neno la Kiswahili "sunyata.
Actually hakuna tofauti yoyote.
Nikisema "low profile" nina maana tabia ya mtu ambaye,kwa mfano,anataka kupindua Serikali,au kuiba benki,au kutoroka jela,au mwanafunzi anataka kuepuka kuchapwa viboko na headmaster.
 

Umeeleza kimaster zaidi
 
Bonge la elimu hii 👍👍👍

Watu wengi wanaishi nyuma ya vivuli vyao.
Safi sana....nimejifunza kitu
 
Umeeleza kimaster zaidi
Kwa nini? Hujaelewa?
Kusunyata,kuishi kama vile haupo
Ndiyo low profile.
Kuelezea ki Master,I would say,if sometimes in your dream umejikuta you are in space, and it is dark everywhere,and you are just floating in space,that darkness is what is called "sunyata".
Kwamba from this darkness all matter is created.
 
UZI BORA KABISA lakini uswazi sometimes wanachanganya mambo kiasi kwamba huelewi low profile ni ipi na high profile ni ipi. Nitatoa mifano ifuatayo:-

1.Mtu kufanya kazi ofisi inayokulazimu kuchomekea na kupiga mjusi+suti ilihali nilikuwa nimezoeleka kupiga pensi na yeboyebo,inaweza kukufanya watu kuona unajiona.

2.Je kama naishi jamii wanayokunywa kisungura na balimi,je low profile ni kunywa Kisungura badala ya Heinken?

3.Nilikuwa naendesha kapikipiki SANLG nikajimake nikaona ninunue ka-IST,je hapo bado naishi low profile?

4.Watoto wangu 3 kusoma private school je hapo ni low profile? au wasome Kayumba ili Jamii iendelee kuniona low profile?

5.Nyumba ilikua haina fence,je nikijenga ukuta mrefu,nikatengana na majirani tuliokuwa tunapiga soga kwa kuonana uani kwetu,je hapo bado nitakuwa bado low profile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…