Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Hiyo ni Moja ya mbinu Bora
Lakini nakushauri
Usitumie njia Moja tu
Hata mkwara Kuna sehemu unakuvusha
Wanasema, pesa huna hata mkwala?
Vijana changanya mbinu
Tusiamin katika uhalisia na unyonge pekee
Unaweza pata favor ya kupata pesa na kula pisi kali Kwa kuvimba tu
Shida ya kuvimba ni Ushindi wa kutangulia Kwa baiskel ya mabua. Huko mbele wahuni wanaitia Kiberiti ndîo unasikia Kilio