Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo ingawaje hamuwaoni pichani lkn ndio wanao pull strings, hao mnaowaona wanabwabwaja ni watumwa tu na wanatumika kama vile sisi tunavyotumika, …