Alikuwa akimlinda JK,na sasa hivi JK ndie anamlinda kwa siri...Umesahau JK alisema hawakukutana mtaani?Ndio maana baadhi yetu tunahoji kwa nini Lowasa hakujiuzulu wakati ule JK alipomkatalia kuuvunja mkataba wa Richmond baada ya kumpigia simu akiwa nje ya nchi? Kwa nini suala hili liliendelea kuzimwazimwa na Lowasa mwenyewe kwa kuwatumia akina Hosea hadi Bunge lilipounda kamati ile ya akina Mwakyembe?
Nani kakudanganya wewe lowasa katolewa kafara ni kama vile sokoine waziri mkuu alikuwa strong than prezdaa wewe wa mwaka gani ni mambo ya protoco muwe mnauliza kwa wakubwa wenu ki umri boss.Lowassa ametumbukia kwenye pipa la lami. Anachojaribu kukifanya ni kujisafisha kwa sabuni, kamwe hawezi kutakata
wanatamani sana watanzania wasisikie wala kuona kinachoendelea huko dodoma. halafu, mbona kina mramba wanapeta tu? unadhani wana hatia wale?Wameniudhi sana NEC ya CCM. Badala ya kuikabidhi dola watuhumiwa wa ufisadi ili sheria ichukue mkondo wake wao wanalirudisha suala hili kwenye CC yao. Tumefikaje hapa pa kubembeleza wahalifu kiasi hiki? Waachieni akina Mramba basi ah!
Chama hiki ni cha kujenga nchi kweli? I doubt!
[/QUOTE]"Mwenyekiti nikukumbushe jambo jingine, kule Zanzibar mwaka 1997 Kina Mzee Daudi Mwakawago Walikuja Na Mafaili Yakiwa Na Tuhuma Dhidi Ya Mtizamo Hasi Wa Jamii Dhidi Yako, Kwa Hiyo Wakati Ule Kama Si Busara Za Kina Mzee Mkapa Leo Usingekuwa Hapo Ulipo, ulisema kwamba kuwa Rais ni mipango ya Mungu,"
"Mwenyekiti kwanza napongeza uamuzi huu wa kurejesha jambo hili katika taratibu za kawaida, lakini napenda kufahamu kwa miezi saba nimetukanwa nikiitwa fisadi, watu wamezunguka nchi nzima kwa fedha za chama wakinitukana, hivi hatukujua kwamba kuna kamati hizo za maadili,"
"Mwenyekiti utakumbuka kwamba mimi nilishaamua kuvunja mkataba wa Richmond mapema, lakini baada ya kukupigia simu ukiwa katika safari nje ya nchi ulisema tusubiri kwani ulikuwa umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara, sasa leo hii ninahukumiwa nakuitwa fisadi kwanini?".
"Nilijiuzulu kuwajibika kwa ajili ya kuilinda Serikali yangu na kwa heshima ya chama changu, sasa kwanini leo nahukumiwa kwa jambo hili, tena natukanwa na wana CCM wenzangu na siyo wapinzani nchi nzima kwamba mimi eti fisadi?,"alinukuliwa akihoji Lowassa.
"Mwenyekiti nikukumbushe jambo jingine, kule Zanzibar mwaka 1997 Kina Mzee Daudi Mwakawago Walikuja Na Mafaili Yakiwa Na Tuhuma Dhidi Ya Mtizamo Hasi Wa Jamii Dhidi Yako, Kwa Hiyo Wakati Ule Kama Si Busara Za Kina Mzee Mkapa Leo Usingekuwa Hapo Ulipo, ulisema kwamba kuwa Rais ni mipango ya Mungu,"
"Mwenyekiti kwanza napongeza uamuzi huu wa kurejesha jambo hili katika taratibu za kawaida, lakini napenda kufahamu kwa miezi saba nimetukanwa nikiitwa fisadi, watu wamezunguka nchi nzima kwa fedha za chama wakinitukana, hivi hatukujua kwamba kuna kamati hizo za maadili,"
"Mwenyekiti utakumbuka kwamba mimi nilishaamua kuvunja mkataba wa Richmond mapema, lakini baada ya kukupigia simu ukiwa katika safari nje ya nchi ulisema tusubiri kwani ulikuwa umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara, sasa leo hii ninahukumiwa nakuitwa fisadi kwanini?".
"Nilijiuzulu kuwajibika kwa ajili ya kuilinda Serikali yangu na kwa heshima ya chama changu, sasa kwanini leo nahukumiwa kwa jambo hili, tena natukanwa na wana CCM wenzangu na siyo wapinzani nchi nzima kwamba mimi eti fisadi?,"alinukuliwa akihoji Lowassa.
Lowasa anapata kiburi hicho kwa kuwa dili la Richmond lilikuwa la JK, kwa vile JK ni mwoga wa kupiga ishu na Lowasa ana kifua ndiyo akampa jukumu la kusimamia hilo dili. Na kama ambavyo amekuwa akisema mara kwa mara kuwa yeye na Kikwete hawajakutana njiani, ni kuwa anajua A TO Z ya ufisadi wa mshikaji wake ndiyo maana anapata ujasiri wa kumkabili kwa uso wa mbuzi tena mbele ya wa-NEC akijua kuwa jamaa yake yuko weak.
Mwenyekiti nikukumbushe jambo jingine, kule Zanzibar mwaka 1997 Kina Mzee Daudi Mwakawago Walikuja Na Mafaili Yakiwa Na Tuhuma Dhidi Ya Mtizamo Hasi Wa Jamii Dhidi Yako, Kwa Hiyo Wakati Ule Kama Si Busara Za Kina Mzee Mkapa Leo Usingekuwa Hapo Ulipo, ulisema kwamba kuwa Rais ni mipango ya Mungu,
Mwenyekiti kwanza napongeza uamuzi huu wa kurejesha jambo hili katika taratibu za kawaida, lakini napenda kufahamu kwa miezi saba nimetukanwa nikiitwa fisadi, watu wamezunguka nchi nzima kwa fedha za chama wakinitukana, hivi hatukujua kwamba kuna kamati hizo za maadili,
Mwenyekiti utakumbuka kwamba mimi nilishaamua kuvunja mkataba wa Richmond mapema, lakini baada ya kukupigia simu ukiwa katika safari nje ya nchi ulisema tusubiri kwani ulikuwa umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara, sasa leo hii ninahukumiwa nakuitwa fisadi kwanini?.
Nilijiuzulu kuwajibika kwa ajili ya kuilinda Serikali yangu na kwa heshima ya chama changu, sasa kwanini leo nahukumiwa kwa jambo hili, tena natukanwa na wana CCM wenzangu na siyo wapinzani nchi nzima kwamba mimi eti fisadi?,alinukuliwa akihoji Lowassa.
inafahamika wazi ya kua gamba ni kuanzia rais mwenyewe jk. Ni upunguani kujaribu kijivua gamba ambapo asilimia 99 ya viongozi wa ccm na serikali ni magamba!mungu ibariki tanzania"mwenyekiti nikukumbushe jambo jingine, kule zanzibar mwaka 1997 kina mzee daudi mwakawago walikuja na mafaili yakiwa na tuhuma dhidi ya mtizamo hasi wa jamii dhidi yako, kwa hiyo wakati ule kama si busara za kina mzee mkapa leo usingekuwa hapo ulipo, ulisema kwamba kuwa rais ni mipango ya mungu,"
"mwenyekiti kwanza napongeza uamuzi huu wa kurejesha jambo hili katika taratibu za kawaida, lakini napenda kufahamu kwa miezi saba nimetukanwa nikiitwa fisadi, watu wamezunguka nchi nzima kwa fedha za chama wakinitukana, hivi hatukujua kwamba kuna kamati hizo za maadili,"
"mwenyekiti utakumbuka kwamba mimi nilishaamua kuvunja mkataba wa richmond mapema, lakini baada ya kukupigia simu ukiwa katika safari nje ya nchi ulisema tusubiri kwani ulikuwa umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara, sasa leo hii ninahukumiwa nakuitwa fisadi kwanini?".
"nilijiuzulu kuwajibika kwa ajili ya kuilinda serikali yangu na kwa heshima ya chama changu, sasa kwanini leo nahukumiwa kwa jambo hili, tena natukanwa na wana ccm wenzangu na siyo wapinzani nchi nzima kwamba mimi eti fisadi?,"alinukuliwa akihoji lowassa.