Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

Mr Msoga haikwep Richm0nd kwa namna yeyote,
so wote wanaucka
 
JokaKuu, unapinga nini na unaunga mkono nini? Mtoa hoja anamwambia Lowassa madudu aliyafanya kati ya Aprili na Juni. Wazo lake la kuvunja mkataba lilikuja mwezi wa nane, miezi miwili baada ya mkataba kati ya Richmond na TANESCO kusainiwa. Kwa hiyo hawezi kukwepa lawama kwa kisingizio cha kutaka kuvunja mkataba. Sasa Mkuu, swala la kumwingiza Kikwete humo ni lako, si la mtoa hoja!
 
Lowassa ametumbukia kwenye pipa la lami. Anachojaribu kukifanya ni kujisafisha kwa sabuni, kamwe hawezi kutakata

pia its too late kama alitaka urais asahau na kurudisha shukrani monduli kumpa ubunge kwa muda wote mrefu alokuwepo MP
 
el yuko sawa kama akihukumiwa then m'k'w'ere must also be on knife edge.
 
Duh! Mkuu, kama wewe taarifa hiyo inakupa kichefuchefu, mezea! Tuachie wenzako tunaoelimika kwa hoja na taarifa mbalimbali zinazobubujika humu! Usisahau kuwa hii ni forum "where we dare talk openly"!
 
Atautoa wapi ushahidi wakati bunge na hansad zinamsafisha EL hii maana yake ni kwamba hana cheo ni sawa na kuambiwa na mganga upeleke miguu ya nyoka ili mgojwa apone.
Haaahaaahaaaa! Asante mkuu, naenda kutafuta MIGUU YA NYOKA! Nikiipata narudi kwenye huu uzi kuchangia..!!
 
inafahamika wazi ya kua gamba ni kuanzia rais mwenyewe jk. Ni upunguani kujaribu kijivua gamba ambapo asilimia 99 ya viongozi wa ccm na serikali ni magamba!mungu ibariki tanzania
I really like you guy,umepiga konzi kali la rohoni, wanaogopa kumtoa kwa sababu wote wamo humo! Na hili litawala mpaka mwisho magamba hawa ngoja tuzidi kuwamwangia mafuta!
 
EL will come good, and I wish him all the best to come good!
 
kalengamab said:
JokaKuu,

unapinga nini na unaunga mkono nini?

Kalengamab,

..naunga mkono hoja kwamba KIKWETE na LOWASSA ndiyo vinara wa RICHMOND.

..pia ripoti za tume za maadili ya chama za Paul Sozigwa na Philip Mangula ziwekwe hadharani.
 
Tukikumbuka hitimisho la ripoti ya Dr. Mwakembe na tukiunganisha na lalamiko la Lowasa tunapata jibu Ki kwete ndo muhusika mkuu! yeye ndo alienda USA kukaamilisha dili na hata pesa ya DOWANS ni yake na washirika wake
 
Duh! Mkuu, kama wewe taarifa hiyo inakupa kichefuchefu, mezea! Tuachie wenzako tunaoelimika kwa hoja na taarifa mbalimbali zinazobubujika humu! Usisahau kuwa hii ni forum "where we dare talk openly"!

Kaka hoja hizi hazina mshiko tu kishasema kama mtu anaushahidi apeleke na rais kasema mwenyenao apelekee sasa kama kamati wanaushaidi si wapeleke...haisaiddiii hata tukijua vipi ishatoka hiyo.
 
Bado mnajadili kuhusu EL karibuni moja moto na moja baridi mpooze stress zenu. Wenzenu wanawachezea akili tu hakuna kengine.
 
Hebu Jiulizeni tangu JK aingie madarakani amekutana na ama rais wa marekani au mstaafu mara ngapi? linganisha na watangulizi wake. Baada ya hapo jiulize swali la msing kwamba mama Clinton alipokuja Tanzania alienda kutembelea mitambo iliyonunuliwa kutoka DOWANS kwenda simbion. kuna miradi mingapi inayotumia mapesa au uwekezaji wa raia wa marekani ambayo angeweza kuitembelea nje ya hilo DOWANS ambalo ni tata? then unganishs na uswahiba wa JK na viongozi wa USA!!
 
Duh! Mkuu, kama wewe taarifa hiyo inakupa kichefuchefu, mezea! Tuachie wenzako tunaoelimika kwa hoja na taarifa mbalimbali zinazobubujika humu! Usisahau kuwa hii ni forum "where we dare talk openly"!

Lowasa fever! Huyo ndiye mgombea wenu 2015.
 
Naona wachangiaji wengi mna chuki na Lowassa. Alichokifanya yeye ni kumshtaki mwenyekiti wake mbele ya NEC yao. Na alijua kuwa kuwa JK asingeweza kujibu 'on spot' kwa sababu pale amekaa kama mwenyekiti na si rais. Nionavyo mimi Lowassa hajalikoroga na katika macho ya wengi kajipatia baraka kidogo huku akimwachia vumbi JK. Hili ni 'game' la paka na panya na likiendelea hivi hadi 2015 Lowassa aweza kuwa mheshimiwa rais. Kama CCM wana nia ya dhati ya kuonesha ufisadi wa Lowassa, kwa nini wasiiagize serikali yao kumfungulia mashtaka na kurundika mashahidi? Jamani kumbukeni dhambi ya Lowassa hadi kuvuliwa uPM haikuwa richmond bali alikuwa rais-mwenza na JK hakupenda ubia katika urais wake.
 
Naona wachangiaji wengi mna chuki na Lowassa. Alichokifanya yeye ni kumshtaki mwenyekiti wake mbele ya NEC yao. Na alijua kuwa kuwa JK asingeweza kujibu 'on spot' kwa sababu pale amekaa kama mwenyekiti na si rais. Nionavyo mimi Lowassa hajalikoroga na katika macho ya wengi kajipatia baraka kidogo huku akimwachia vumbi JK. Hili ni 'game' la paka na panya na likiendelea hivi hadi 2015 Lowassa aweza kuwa mheshimiwa rais. Kama CCM wana nia ya dhati ya kuonesha ufisadi wa Lowassa, kwa nini wasiiagize serikali yao kumfungulia mashtaka na kurundika mashahidi? Jamani kumbukeni dhambi ya Lowassa hadi kuvuliwa uPM haikuwa richmond bali alikuwa rais-mwenza na JK hakupenda ubia katika urais wake.
 
Kaka hoja hizi hazina mshiko tu kishasema kama mtu anaushahidi apeleke na rais kasema mwenyenao apelekee sasa kama kamati wanaushaidi si wapeleke...haisaiddiii hata tukijua vipi ishatoka hiyo.

Nlishawahi sema ktk jukwaa hili

kuwa HAKUNA KAMWE MWENYE USHAHIDI akajitokeza na kusema kuwa Mh Lowasa kafanya hivi na hili HAKUNA tutabaki tukipige kelele humu Jf kwa kubadilisha ukweli kuwa uongo

NANI MWENYE USHAHIDI APELEKE
Nape,Chiligati,nani hata humu Jf nani?
hakuna kwahiyo tunasema no research to right to speak

Bado Mh Lowasa nauwezo wa kuongoza hii nchi kama atapata nafasi
 
Naona wachangiaji wengi mna chuki na Lowassa. Alichokifanya yeye ni kumshtaki mwenyekiti wake mbele ya NEC yao. Na alijua kuwa kuwa JK asingeweza kujibu 'on spot' kwa sababu pale amekaa kama mwenyekiti na si rais. Nionavyo mimi Lowassa hajalikoroga na katika macho ya wengi kajipatia baraka kidogo huku akimwachia vumbi JK. Hili ni 'game' la paka na panya na likiendelea hivi hadi 2015 Lowassa aweza kuwa mheshimiwa rais. Kama CCM wana nia ya dhati ya kuonesha ufisadi wa Lowassa, kwa nini wasiiagize serikali yao kumfungulia mashtaka na kurundika mashahidi? Jamani kumbukeni dhambi ya Lowassa hadi kuvuliwa uPM haikuwa richmond bali alikuwa rais-mwenza na JK hakupenda ubia katika urais wake.
 
Wewe mngese peleka makundi yako kwa magamba wenzio kwa watu smart kama sisi tushajuwa kuwa wewe gamba janga la kitaifa so kama kakutuma ba@sha wako wa msoga mwambie mkajipange ziwe nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…