Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..napinga, hajajenga hoja.
..hoja ya Lowassa ni KUVUNJA mkataba, siyo KUZUIA mkataba.
..mkataba unaovunjwa ni ule uliosainiwa tayari!!!!
..makosa ya Lowassa ilikuwa ni pamoja na kwenda kinyume na maagizo ya baraza la mawaziri.
..sasa aliyempa mamlaka hayo ni nani kama siyo Raisi aliyemteua?
..naendelea kusisitiza kwamba KIKWETE na LOWASSA ndiyo wahusika wa RICHMOND.
Lowassa ametumbukia kwenye pipa la lami. Anachojaribu kukifanya ni kujisafisha kwa sabuni, kamwe hawezi kutakata
Ndugu samahani kukuudhi lakini sorry,unayoizungumzia ilitolewa kwenye mkutano wa NEC CCM na taarifa ya kamati iliongozwa na kuwakilishwa na CCM, nafikiri JF sio mahali pake wewe ungejibu ndani ya NEC au Wangejibu wana CCM wa upande wa Kamati waliokuwa NEC. Hivyo sioni uhalali wa hoja yako hii humu JF .
Haaahaaahaaaa! Asante mkuu, naenda kutafuta MIGUU YA NYOKA! Nikiipata narudi kwenye huu uzi kuchangia..!!Atautoa wapi ushahidi wakati bunge na hansad zinamsafisha EL hii maana yake ni kwamba hana cheo ni sawa na kuambiwa na mganga upeleke miguu ya nyoka ili mgojwa apone.
I really like you guy,umepiga konzi kali la rohoni, wanaogopa kumtoa kwa sababu wote wamo humo! Na hili litawala mpaka mwisho magamba hawa ngoja tuzidi kuwamwangia mafuta!inafahamika wazi ya kua gamba ni kuanzia rais mwenyewe jk. Ni upunguani kujaribu kijivua gamba ambapo asilimia 99 ya viongozi wa ccm na serikali ni magamba!mungu ibariki tanzania
kalengamab said:JokaKuu,
unapinga nini na unaunga mkono nini?
Duh! Mkuu, kama wewe taarifa hiyo inakupa kichefuchefu, mezea! Tuachie wenzako tunaoelimika kwa hoja na taarifa mbalimbali zinazobubujika humu! Usisahau kuwa hii ni forum "where we dare talk openly"!
Duh! Mkuu, kama wewe taarifa hiyo inakupa kichefuchefu, mezea! Tuachie wenzako tunaoelimika kwa hoja na taarifa mbalimbali zinazobubujika humu! Usisahau kuwa hii ni forum "where we dare talk openly"!
Hizi kauli za Lowasa bado mbichi sana, acha watanzania wakalale na kulifikiria hili vizuri,
Mungu hajatuacha kabisa kabisa, atatupatia busara tu. mpaka sasa naamini kama
Lowasa ndio ameliharibu hili swala zaidi, yaani naona kama karusha mavi angani vile.
Kaka hoja hizi hazina mshiko tu kishasema kama mtu anaushahidi apeleke na rais kasema mwenyenao apelekee sasa kama kamati wanaushaidi si wapeleke...haisaiddiii hata tukijua vipi ishatoka hiyo.
Wewe mngese peleka makundi yako kwa magamba wenzio kwa watu smart kama sisi tushajuwa kuwa wewe gamba janga la kitaifa so kama kakutuma ba@sha wako wa msoga mwambie mkajipange ziwe nyie.Nimeshangazwa na udhaifu wa hoja za Lowassa, hoja dhaifu kama afya yake. Sasa naamini kabisa kuwa Lowassa hajawahi kuisoma taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Mwakyembe kuhusu Richmond. Angelikuwa kaisoma taarifa hiyo, asingeliweza kutoa hoja chovu ya yeye kutaka kuvunja mkataba wa Richmond, kwani Kamati Teule iliijadili hoja hiyo na kuitupilia mbali kuwa ya kipuuzi. Kwa nini Kamati ya Mwakyembe iliita hoja hiyo ya kipuuzi?
Ni kwa sababu, madudu yote ya mchakato wa zabuni mpaka kuiweka kando sheria ya manunuzi kwa amri ya Lowassa na kuipa upendeleo kampuni hewa ya Richmond, vilevile kwa maelekezo ya Lowassa, yalifanyika kati ya Aprili na Juni mwaka 2006. Wazo la Bw. Lowassa kuvunja mkataba lilikuja mwezi wa nane (Agosti) baada ya kelele dhidi ya Richmond kuanza kusikika. Hoja hiyo haimsaidii kabisa Lowassa, inazidi kumwonesha kuwa mtu asiye makini, hasomi kumbukumbu vizuri na ni mbabaishaji wa hali ya juu. Kwa nini haendi mahakamani kuwadai akina Mwakyembe fidia ya kuchafuliwa jina lake, kama hawatamvua nguo hadharani?
X-Mbunge, Dar es Salaam.