Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 606
Nlishawahi sema ktk jukwaa hili
kuwa HAKUNA KAMWE MWENYE USHAHIDI akajitokeza na kusema kuwa Mh Lowasa kafanya hivi na hili HAKUNA tutabaki tukipige kelele humu Jf kwa kubadilisha ukweli kuwa uongo
NANI MWENYE USHAHIDI APELEKE
Nape,Chiligati,nani hata humu Jf nani?
hakuna kwahiyo tunasema no research to right to speak
Bado Mh Lowasa nauwezo wa kuongoza hii nchi kama atapata nafasi
Wewe mngese peleka makundi yako kwa magamba wenzio kwa watu smart kama sisi tushajuwa kuwa wewe gamba janga la kitaifa so kama kakutuma ba@sha wako wa msoga mwambie mkajipange ziwe nyie.
EL will never get away with this.....JK will hit back hard, very very hard!
Mi nawashangaa watu wa lowassa humu ndani,wamejipanga kushangilia ushindi ambao hawajaupata?lengo la wanaotaka kujivua gamba toka mwanzo lilikua ni kulipeleka hilo suala la kujivua gamba cc kwa kuomba kibali cha nec, niwaulize kibali cha nec kimetoka au hakijatoka?
Baada ya hapo kazi imebaki kwa cc kumchinjilia mbali huyo lowassa wenu, yeye ameshajua hilo kwani matumaini yake makubwa yalikua nec,kama nec wamemtosa kwa kuidhinisha kibali kwa cc ambako yeye hayumo na hana watu mnategemea nini?
Watu humu wamejiandaa kupotosha ukweli wa maamuzi yale ya nec ambayo hayaonyeshi dalili nzuri kwa lowassa makusudi ili kuwachanganya wasiojua........lowassa angekua kidedea kama nec ingedinda na kukataa suala hilo lipelekwe cc baliwangeshinikiza limalizwe ndani ya nec!lowassa ajiandae kwenda zake chadema tu!
Well said. This is absolutely true.Wacha hasira mkuu Lowasa anaonekana ana mengi ya kutueleza ila ukumbuke mwanasiasa huongea ukweli kwenye jina lake tuu na sio hoja zake na mengineyo...lowasa haitaji huruma za jk bali jk ndio anahaha atamfadhili vipi lowasa kwa kufichiana siri...ikumbukwe kama jk angejiuzulu yeye ingekuwa balaa zaidi ndio maana akamuomba lowasa abebe adhabu yake ili aweze kujilinda na kumlinda yeye siasa mchezo wa hila
Mkuu ebu acheni Ujinga wengine hapa tunatumia akili na sii masaburi... Sasa kama habari hii ni yakweli.. Lowassa alijuaje na kutaka kuuvunja mkataba ikiwa mkataba ulikuwa wa JK rais wake....
Halafu JK kusema tu alikuwa akipata ushauri wa makatibu wake (watendaji wa kiserikali) inaonyesha wazi JK alikuwa akifuata sheria na taratibu za kiserikali laa sivyo asingewahusisha makatibu wakuu kama alivyofanya Lowassa na ushahidi upo akiwaamrisha hao makatibu na waziri wafuate maagizo yake....Tafuta jingine!
Hayo ya 1997 we are interested ni kujikosha na kutafuta huruma za JK...Hata mahakamani mkosa baada ya kupatikana na kmakosa, hupewa muda wa kuomba, kujieleza kabla ya kuhukumiwa kifungo..
Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiigweeeeeee!Lowasa anapata kiburi hicho kwa kuwa dili la Richmond lilikuwa la JK, kwa vile JK ni mwoga wa kupiga ishu na Lowasa ana kifua ndiyo akampa jukumu la kusimamia hilo dili. Na kama ambavyo amekuwa akisema mara kwa mara kuwa yeye na Kikwete hawajakutana njiani, ni kuwa anajua A TO Z ya ufisadi wa mshikaji wake ndiyo maana anapata ujasiri wa kumkabili kwa uso wa mbuzi tena mbele ya wa-NEC akijua kuwa jamaa yake yuko weak.
we mjinga! Jifunike kichwani maana naona umeacha blanketi likashuka sakafuni. Halafu morning uje humu jamvini. Unakurupuka tu!
we mjinga! Jifunike kichwani maana naona umeacha blanketi likashuka sakafuni. Halafu morning uje humu jamvini. Unakurupuka tu!
Mkuu ebu acheni Ujinga wengine hapa tunatumia akili na sii masaburi... Sasa kama habari hii ni yakweli.. Lowassa alijuaje na kutaka kuuvunja mkataba ikiwa mkataba ulikuwa wa JK rais wake....
Halafu JK kusema tu alikuwa akipata ushauri wa makatibu wake (watendaji wa kiserikali) inaonyesha wazi JK alikuwa akifuata sheria na taratibu za kiserikali laa sivyo asingewahusisha makatibu wakuu kama alivyofanya Lowassa na ushahidi upo akiwaamrisha hao makatibu na waziri wafuate maagizo yake....Tafuta jingine!
Hayo ya 1997 we are interested ni kujikosha na kutafuta huruma za JK...Hata mahakamani mkosa baada ya kupatikana na kmakosa, hupewa muda wa kuomba, kujieleza kabla ya kuhukumiwa kifungo..
Lowassa mwizi tu anawaleeza nyie mlokuwepo chama na kumwona kwenda kanisani basi mnafikiri mtu mzuri sana..Kama yeye alikuwa mkweli kwa nini asiwahutubie Umma mzima wa Watanzania badala yake anaenda katika mikutano ya chama! anajua huko mmejaa masaburi watupu. Kikao cha chama CC wanatokea watu wanafokea wengine as if wao ni Miungu!..damn.
Yeye alikuwa waziri mkuu na sii katibu wa chama, hakuwahi kupendwa na Nyerere hadi leo hii wananchi hawampendi pengine huko kwenu CCM. Halafu naweza sema ni jambazi lililokubuhu yaani anatuondolea watu tu kila mwaka. Kesho sintoshangaa Nape mgonjwa anatakiwa kupelekwa India..
Mkuu leo umeshikwa pabaya..rudisha mood yako, unaaibika..
If Lowasa mwizi then sema Lowasa na Kikwete ni wezi!!!
ulijiaminisha uliandika, unaona mambo yanageuka unabwabwaja
Nyerere siyo bible wala quran tena siyo pythogoras theorem..this is politics!!
RICHMOND=JK! sema lingine mnafiki mkubwa we!
Mkuu mi nawashangaa sana humu mashabiki wa Lowassa. Maana kama ni mpira upo half time, halafu yuko nyuma kwa goli
moja,... kwa vile mpira bado unadunda lolote linaweza kutokea kwenye CC, ila si jambo la kushangilia kabisa kwa mashabiki wa Lowassa kwa issue ya gamba kurudishwa CC. Wangeiua na kuizika palepale kwenye Nec.
Kumbuka azimio la gamba ndio litawaongoza wajumbe wa CC na azimio la kujivua gamba halikutamka ushahidi wa kimahakama, limeongelea wale "wanao tajwatajwa kwenye kashfa" na wananchi.. Kama bado kuna mtu anategemea ushahidi wa kimahakama you better go figure chenga ya mwili aliyopigwa Lowassa.
CC haina wenyeviti na makatibu wa mikoa(watu wake ni almost 3/4 ya kundi hili), haina wabunge wake(ambao ni wote kumi wanaowakilisha bunge Nec), haina wajumbe wa UVCCM except Kaimu Mwenyekiti Malissa(Nec alikua na wajumbe 10 kati ya 12 wa UVCCM), kwa kifupi he has a mountain to climb. Sanasana amebaki Malissa, Pindi Chana, na January Makamba, Khatib haeleweki, Wassira haeleweki na Mwenyekiti haeleweki. Wajumbe wa CC waliobaki wote si watu wa njaa ya kumtumikia mtu binafsi...