Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

Naamini huyu jamaa Lowassa pmaoja na ubaya wake mengine anazushiwa
 
Kiwete kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Wana Magamba mwambieni Kiwete wenu ajibu mapigo ya Lowassa kama ana ubavu!
 
Usitake ncheke(FF)!Kama hao ni references zako, basi umepotea kabisa! Hao wana mambo yao binafsi na wala hayausiani na chama kabisa. Ukiongelea mgawanyiko ndani ya CCM halafu ukawataja hao unaonekana kama kituko.

Kituko nadhani ni wewe usiyetaka kukubali ukweli; acha fikra mgando mkuu! Ebu tuelezee mambo binafsi yanayosababisha hao watu kutaka kutoana roho!
 
Duu ama kweli kamvisha gamba gumu mwanangu. Siamini haya maneno Lowasa ameyatapika. Kumbe Lowasa alikuwa amemfichia siri mwenzake lakini yakamfika aeona ngoja atue mzigo wa mtu mmoja ili wengi wafaidi.

Hata hivyo JK kupokea na kuzifanyia kazi simu za makatibu bila ya consultation ya aliyepewa dhamana hiyo ambaye ni Lowasa ilikuwa ni makosa JK aliyafanya. Kumbe JK alitakiwa awarudishe kwa Lowasa ili wasaidiane (Just imagining how things would be ethically/Utendaji) Nahao makatibu watakuwa wameshawishiwa na ROstam Aziz.

Ngoja tuone libeneke litakuaje.
 
Haya ndiyo yale magamba magumu ya kakakuona ambayo JK anayaogopa sana na hana ubavu wa kuyang'oa. Hapa yakiwa yanapongezana baada ya ushindi wa Dodoma.
 

Attachments

  • Magamba magumu.jpg
    17 KB · Views: 52
simtetei Nape ila kuna jambo halijakaa sawa,hivi inawezekanaje Nape afanye kazi ya kuhubiri uvuaji wa gamba na mengineyo bila kuambiwa na wakubwa wake wa kazi? naona hii ni movie tu tunachezewa akili. Hapa pia naona cost ya kuwa na 'best friend',kikinuka lazima siri zote zimwagwe
 

All in all, ukweli unabaki pale pale kuwa wote wawili-Kikwete na Lowasa hakuna mwenye hekima. Hawafai kuwa viongozi wa watu. Kikwete ni dhaifu na LOwasa ni mwizi. Mungu atawahukumu kwa hukumu ya haki.
 

hivi wewe unajua maana ya kupayuka.kama ulikosa username ungesema nikusaidie.You are not creative kama jina tu lakushinda
 

nimedharirishwa
= nimedhalilishwa
 

pole ndugu! Umesikia yaliyomkuta Six?
 

True 100%...Lowasa kaongea maneno waiyopanga na JMK ayaseme then yawe mbeleko ya JMK kuzima hoja ya Ufisadi wa Richmond, lakini bado Lowassa ana kazi kubwa ya kutueleza utajiri mkubwa alionao uliowahi kuhojiwa na Baba wa Taifa Nyerere aliupata vipi? Na ile ndoto yake ya zile mvua za kutengeneza toka Thailand zilitumia Tsh ngapi?
 
watu mnadhani kuwa dhambi ya lowasa ni dowans, hivyo akisafisgwa downns atabaki malaika. huhu ni jambazi, anahusika mengi kuanznia alivyokuwa nkurugenzi A.I.C.C, ALIVYOKUWA WAZIRI WA ARDHI KAWAULIZE WANANFUNZI WA ARDHI UNIVERSITY JINSI ALIVYOTAFUNA POSHO ZAO AKIWA NA KATIBU MKUU WAKE, NI DIKTETA NA AKIPEWA UONGOZI ATBADILISHA UONGOZI NA KUTAWALA MILELE , JIULIZENI KUHUSU LILE FAILI ALILOLETA NYERERE KWENYE KUCHUJA WAGOMBEA WA URAIS 1995 LILIKUWA NA NINI KUHUSU LOWASA, ACHENI KUWA MYOPIC
 
Hadi sasa Lowassa njia nyeupeeee for Presidential candidate wa CCM 2015, na 7bu zipo wazi, read this
1. Mkapa alifurahia wakati Lowassa anaongea, meaning Ben is supporting EL, signs are clear
2: Sumaye, another powerful political leader & rich dude, wazi wazi anam support Lowassa tena kasema wakina Nape na Chilligati wachukuliwe hatua
3. Mzee Kingunge yupo 100% upande wa Lowassa, na ni baada ya kujua ukweli halisia kuhusu tuhuma dhidi ya EL are fake, publicized tu.
4: Hapa niseme JK yupo na Lowassa 100% na hawezi kuongea hadharani kwa nafasi alionayo sasa, ila dalili na matendo yapo clear, JK hadharani hajawahi mshutumu EL hata siku moja, hadi sasa ni marafiki....
5: EL ana support ya all rich dudes, Rostam, Karamagi, Chenge, na support kubwa hasa si kwa hawa financial power house wa CCM bali Wanachama wa CCM wanampenda saaaana, yaani leo NEC, CC, na wajumbe wa mikoa wa CCM, Lowassa ni lulu, signs are clear
6: Makanisani Roman Catholic & Lutheran churches EL kashamaliza kazi, wanampenda na wengine mfano mzee wa upako, Anthony Lusekelo wazi wazi anampigia kampeni mapemaaaa.....

What i see now & days to come-----
EL hana mpinzani CCM hadi sasa, na wazee wa CCM tayari wamemkubali, EL ni Field Marshall wa siasa za hapa TZ na atashinda Urais, ngojeni muoneee....
 
Hivi kuyataja makosa ya wengine ndio kujisafisha? Huyu EL hata aoshwe na sabuni kiasi gani hasafishiki!
 
kuna mtu anajua juu ya file la kina mzee mwakawago lilikuwana tuhuma gani?
 
nashauri tuzungumze hoja zaidi badala ya kutanguliza na kuanika chuki zetu dhidi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…