Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

EL will never get away with this.....JK will hit back hard, very very hard!

Jiulize ni muda gani umepita toka EL ajiuzulu?? Kama kweli CCM walidhamiria kumtosa basi wangeshafanya hivyo siku nyingi, wanasubiri nini? Kwani kuna uchunguzi unaoendelea? Ni kiongozi gani wa CCM anayeweza kusimama na kumnyooshea EL kidole kuwa ni fisadi ?
 
Kwani hamjui kuwa yote ni kampuni moja, unaofanyika ni mgao kwa wanao mlinda
 
EL will never get away with this.....JK will hit back hard, very very hard!

That's is likely to happen ....but the extent of the crisis now is such deep that ...if Jk hits back in what ever way ..both of them will be gone ....Amechelewa kumfanyia au alitumia dosage ndogo...ikashidwa kuuwa...kwani unajulikana lowassa majuzi tu alitoka kutibiwa ujerumani...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
kwani Kikao cha CC kimekwisha? Maamuzi ya mwisho ni yepi? Au mpaka kamati ya maadili ikae ndiyo maamuzi yatatoka.
 
EL will never get away with this.....JK will hit back hard, very very hard!

Unataka tuamini kuwa JK anajikusanya kwa PIGO la mwisho! Lakini Hadi sasa madhara ambayo ameshamruhusu EL kufanya kwa chama na serekali .. ni makubwa na hayamaliziki kirahisi ...LICHA ... ya maandalizi mazuri anayofanya kumkabili EL

Na hata kama unavyoamini PIGO hilo likija limechelwa ...Siamini JK anauwezo wa Kumkabili EL kwa njia na namna inayoweza kuleta TIJA kwa jamii ya Kitanzania!

Labda

... Hali ya AFYA ya Lowasa au Kikwete ... Ituamulie KUAMUA hatama ya nchi hii!!
 
Lowassa katuuzia matango pori!!!!!!

kama Rostam ndiyo anatajwa kuwa msukaji mkubwa wa mpango wa Richmond (mpaka kusafiri Marekani kutafuta hawa "wawekezaji") na ni Rostam huyu huyu aliyemsukuma Kikwete amweke Lowassa Waziri Mkuu na ni Rostam huyu huyu swahiba mkubwa kisiasa na kibiashara na Lowassa itakuaje Lowassa anayeaamini siasa za kulindana amtose Rostam kwa kumshauri kwa uwazi mkubwa Kikwete kuwa Richmond ivunjwe?

Asante mharakati!
 
That's is likely to happen ....but the extent of the crisis now is such deep that ...if Jk hits back in what ever way ..both of them will be gone ....Amechelewa kumfanyia au alitumia dosage ndogo...ikashidwa kuuwa...kwani unajulikana lowassa majuzi tu alitoka kutibiwa ujerumani...

EL anajua kabisa kwa kusema alichosema jana ni suicidal.
JK amekuwa exposed, so ata-retaliate in the same way....suicidally!

(suicide = bora lawama kuliko fedheha)
 
Unataka tuamini kuwa JK anajikusanya kwa PIGO la mwisho! Lakini Hadi sasa madhara ambayo ameshamruhusu EL kufanya kwa chama na serekali .. ni makubwa na hayamaliziki kirahisi ...LICHA ... ya maandalizi mazuri anayofanya kumkabili EL

Na hata kama unavyoamini PIGO hilo likija limechelwa ...Siamini JK anauwezo wa Kumkabili EL kwa njia na namna inayoweza kuleta TIJA kwa jamii ya Kitanzania!

Labda

... Hali ya AFYA ya Lowasa au Kikwete ... Ituamulie KUAMUA hatama ya nchi hii!!

uko sahihi (kwa kiasi).
JK ni mbinafsi, hili nadhani ni common knowledge...so retaliation yake haitajali nani anaathirika eventually (iwe yeye mwenyewe, EL, jamii, etc) ilimradi "wote tukose".
 
Jiulize ni muda gani umepita toka EL ajiuzulu?? Kama kweli CCM walidhamiria kumtosa basi wangeshafanya hivyo siku nyingi, wanasubiri nini? Kwani kuna uchunguzi unaoendelea? Ni kiongozi gani wa CCM anayeweza kusimama na kumnyooshea EL kidole kuwa ni fisadi ?

Hamna wa kuthubutu kwa sababu, mosi, wengi kama si wote ndani ya ccm ni mafisadi. pili ukicheza na el ujue muda si mrefu wata kumwakyembe. kwa hiyo dawa hapa ni wananchi kuingilia kati...

andishi lako ni jazba, gubu na chuki binafsi!
wakti wa kuitafuta richmond nchi nzima ilikuwa inaelekea kuingia gizani. hapo ndipo ofisi ya waziri mkuu iliingilia kati kidharura. Ki ukweli ilikuwa ni wajibu wa mkuu wa nchi kuingilia kati! bahati mbaya mkuru hajiamini na mwoga. EL aliamua kumbeba ili kuepusha taifa kuingia gizani. wakti ameshampata huyo richmond ambapo richmond alielekea kushindwa kazi mambo yalibadilika na nishati hiyo ikarudi kwenye kiwango ambacho si tishio kwa taifa. hapo ndipo watalaam waliposhtuka na kuona kuwa Richmonda kashindwa kazi na kelele za kuvunja mkataba zikaanza. hapo ilikuwa ni miezi sita tangu kusaini mkataba na ndicho kipindi ambacho richmond alitakiwa awe ameshaingiza nusu ya mitambo na uzalishaji [hadi kipindi hicho hakuna kilichokuwa uwanjani zaidi ya mafaili na wafanyakazi wakirandaranda eneo la kusimika mitambo]. kipindi hiki msukumo wa kuvunja mkataba uliwekwa lakini kwa kuwa mkuru alikuwa na chake, huenda ndiyo sababu akasema ameshauriwa kufanya kinyume. pia kwa kuwa taifa halikuwa tena kwenye tishio la giza huenda msaidizi naye akaamua kuenddelea na mambo mengine. RICHMOND IS A NIGHTMARE AND EL HAS BEEN FORCED TO DREAM ABOUT IT ALONE!!!!
 
Nimeshangazwa na udhaifu wa hoja za Lowassa, hoja dhaifu kama afya yake. Sasa naamini kabisa kuwa Lowassa hajawahi kuisoma taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Mwakyembe kuhusu Richmond. Angelikuwa kaisoma taarifa hiyo, asingeliweza kutoa hoja chovu ya yeye kutaka kuvunja mkataba wa Richmond, kwani Kamati Teule iliijadili hoja hiyo na kuitupilia mbali kuwa ya kipuuzi. Kwa nini Kamati ya Mwakyembe iliita hoja hiyo ya kipuuzi?

Ni kwa sababu, madudu yote ya mchakato wa zabuni mpaka kuiweka kando sheria ya manunuzi kwa amri ya Lowassa na kuipa upendeleo kampuni hewa ya Richmond, vilevile kwa maelekezo ya Lowassa, yalifanyika kati ya Aprili na Juni mwaka 2006. Wazo la Bw. Lowassa kuvunja mkataba lilikuja mwezi wa nane (Agosti) baada ya kelele dhidi ya Richmond kuanza kusikika. Hoja hiyo haimsaidii kabisa Lowassa, inazidi kumwonesha kuwa mtu asiye makini, hasomi kumbukumbu vizuri na ni mbabaishaji wa hali ya juu. Kwa nini haendi mahakamani kuwadai akina Mwakyembe fidia ya kuchafuliwa jina lake, kama hawatamvua nguo hadharani?
X-Mbunge, Dar es Salaam.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hizi kauli za Lowasa bado mbichi sana, acha watanzania wakalale na kulifikiria hili vizuri,
Mungu hajatuacha kabisa kabisa, atatupatia busara tu. mpaka sasa naamini kama
Lowasa ndio ameliharibu hili swala zaidi, yaani naona kama karusha mavi angani vile.
 
Nimeshangazwa na udhaifu wa hoja za Lowassa, hoja dhaifu kama afya yake. Sasa naamini kabisa kuwa Lowassa hajawahi kuisoma taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Mwakyembe kuhusu Richmond. Angelikuwa kaisoma taarifa hiyo, asingeliweza kutoa hoja chovu ya yeye kutaka kuvunja mkataba wa Richmond, kwani Kamati Teule iliijadili hoja hiyo na kuitupilia mbali kuwa ya kipuuzi. Kwa nini Kamati ya Mwakyembe iliita hoja hiyo ya kipuuzi?

Ni kwa sababu, madudu yote ya mchakato wa zabuni mpaka kuiweka kando sheria ya manunuzi kwa amri ya Lowassa na kuipa upendeleo kampuni hewa ya Richmond, vilevile kwa maelekezo ya Lowassa, yalifanyika kati ya Aprili na Juni mwaka 2006. Wazo la Bw. Lowassa kuvunja mkataba lilikuja mwezi wa nane (Agosti) baada ya kelele dhidi ya Richmond kuanza kusikika. Hoja hiyo haimsaidii kabisa Lowassa, inazidi kumwonesha kuwa mtu asiye makini, hasomi kumbukumbu vizuri na ni mbabaishaji wa hali ya juu. Kwa nini haendi mahakamani kuwadai akina Mwakyembe fidia ya kuchafuliwa jina lake, kama hawatamvua nguo hadharani?
X-Mbunge, Dar es Salaam.

maneno hayo mkuu.
 
Sababu anafahamu siri za nguoni za Kikwete na Uchafu wake; ina Maana bila Lowassa Kikwete asingekuwa Rais wa Nchi

Na ni mipango ya ndani ya kisiri kati yao na waubani wao Rostam Aziz...
 
Nimeshangazwa na udhaifu wa hoja za Lowassa, hoja dhaifu kama afya yake. Sasa naamini kabisa kuwa Lowassa hajawahi kuisoma taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Mwakyembe kuhusu Richmond. Angelikuwa kaisoma taarifa hiyo, asingeliweza kutoa hoja chovu ya yeye kutaka kuvunja mkataba wa Richmond, kwani Kamati Teule iliijadili hoja hiyo na kuitupilia mbali kuwa ya kipuuzi. Kwa nini Kamati ya Mwakyembe iliita hoja hiyo ya kipuuzi?

Ni kwa sababu, madudu yote ya mchakato wa zabuni mpaka kuiweka kando sheria ya manunuzi kwa amri ya Lowassa na kuipa upendeleo kampuni hewa ya Richmond, vilevile kwa maelekezo ya Lowassa, yalifanyika kati ya Aprili na Juni mwaka 2006. Wazo la Bw. Lowassa kuvunja mkataba lilikuja mwezi wa nane (Agosti) baada ya kelele dhidi ya Richmond kuanza kusikika. Hoja hiyo haimsaidii kabisa Lowassa, inazidi kumwonesha kuwa mtu asiye makini, hasomi kumbukumbu vizuri na ni mbabaishaji wa hali ya juu. Kwa nini haendi mahakamani kuwadai akina Mwakyembe fidia ya kuchafuliwa jina lake, kama hawatamvua nguo hadharani?
X-Mbunge, Dar es Salaam.

Mkuu umejenga hoja na umenikuna!
 
..napinga, hajajenga hoja.

..hoja ya Lowassa ni KUVUNJA mkataba, siyo KUZUIA mkataba.

..mkataba unaovunjwa ni ule uliosainiwa tayari!!!!

..makosa ya Lowassa ilikuwa ni pamoja na kwenda kinyume na maagizo ya baraza la mawaziri.

..sasa aliyempa mamlaka hayo ni nani kama siyo Raisi aliyemteua?

..naendelea kusisitiza kwamba KIKWETE na LOWASSA ndiyo wahusika wa RICHMOND.
 
Lowasa anajua udhaifu na unyonge wa JK, anajua kuwa JK amefika hapo alipo kwa msaada wake na kama asingemsapoti, JK asingeukwaa urais. Naamini kama EL akiamua kutema sumu, JK hataweza kusimama. Ni heshima ya Lowasa kuwa hakukutana na JK barabarani inayomfanya avumilie , siku Lowasa akiamua kutema sumu CCM itakufa rasmi.
 
Nimeshangazwa na udhaifu wa hoja za Lowassa, hoja dhaifu kama afya yake. Sasa naamini kabisa kuwa Lowassa hajawahi kuisoma taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Mwakyembe kuhusu Richmond. Angelikuwa kaisoma taarifa hiyo, asingeliweza kutoa hoja chovu ya yeye kutaka kuvunja mkataba wa Richmond, kwani Kamati Teule iliijadili hoja hiyo na kuitupilia mbali kuwa ya kipuuzi. Kwa nini Kamati ya Mwakyembe iliita hoja hiyo ya kipuuzi?

Ni kwa sababu, madudu yote ya mchakato wa zabuni mpaka kuiweka kando sheria ya manunuzi kwa amri ya Lowassa na kuipa upendeleo kampuni hewa ya Richmond, vilevile kwa maelekezo ya Lowassa, yalifanyika kati ya Aprili na Juni mwaka 2006. Wazo la Bw. Lowassa kuvunja mkataba lilikuja mwezi wa nane (Agosti) baada ya kelele dhidi ya Richmond kuanza kusikika. Hoja hiyo haimsaidii kabisa Lowassa, inazidi kumwonesha kuwa mtu asiye makini, hasomi kumbukumbu vizuri na ni mbabaishaji wa hali ya juu. Kwa nini haendi mahakamani kuwadai akina Mwakyembe fidia ya kuchafuliwa jina lake, kama hawatamvua nguo hadharani?
X-Mbunge, Dar es Salaam.

Ndugu samahani kukuudhi lakini sorry,unayoizungumzia ilitolewa kwenye mkutano wa NEC CCM na taarifa ya kamati iliongozwa na kuwakilishwa na CCM, nafikiri JF sio mahali pake wewe ungejibu ndani ya NEC au Wangejibu wana CCM wa upande wa Kamati waliokuwa NEC. Hivyo sioni uhalali wa hoja yako hii humu JF .
 
Back
Top Bottom