Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

safi sana,lowasa jembe na tegemeo la pekee kwa sisiem,hakuna cha membe na mamake membe,hana jipya yeye,ishakula kwake already
 
Eti kamanda lowasa teh!! Alaf mwandishi eti mwanaharakati teh teh...... Gamba limegoma kutoka kwa mkorogo/nepi. Makamanda wa kweli 2015 tunaingia ikuru na kuivua nchi yetu hili gamba/ccm kwa mahakama.
 
Lowassa ni chaguo la Mungu...
tuombe uzima mpaka 2015 atakaposhinda ktk uchaguzi na kututoa huku ktk nchi ya utumwani na kutupeleka ktk nchi ya kanani...
Tuseme inshaalah
Wewe Shifta kwanza avatar yako inatisha, hao Mashifta tuliwau walipovamia mbuga zetu za wanyama 1974-1975, sasa wewe ni ukoo au uzao wa hao jamaa?????
Tuyaache hayo natania lakini kwa msimamo wako siwezi kukaa kimya, huyo Mungu unayesema amemchagua Lowasa ni Mungu yupi????? Kuna miungu wengi bila shaka ndio unao wasema hao, kule Nigeria kwa Joshua alikokwenda aliambiwa arudishe mali zote alizowaibia Watanzania apate kibali hata cha kuombewa!!!!!!!!! Siku hizi anajifanya Msamaria mwema anatoa michango mikubwa makanisani, anadhani anaweza kumuhonga Mungu, poleni saana!!!! Mtu huyo ni mwizi kahamisha fedha kibao kwenda maakaunti nchi mbali mbali, na kununua majumba ya kifahari, mahoteli yale yanayojulikana, kwa ushahidi wa Serious and Organized Crime Agency la Uingeleza!!!!!!! Bado tu unasema ni chaguo la Mungu, labda mungu wa kuzimu maana ndiko sehemu yake!!!!!!!!!

 
Kipindi Muheshimiwa Lowassa alipokuwa PM uchumi ulikuwaje na sasa hayupo Madarakani uchumi ukoje?
Swala la mvua ya kutengeneza unataka kuniambia science hii nayo pia huijui?
Then kuhisu swala la Richmond ni kuwa juzi alilielezea wazi kwa kusema yeye alikuwa tayari kulibutua, ila alipolipeleka kwa mkuu wa nchi ndio ikawa vile tena....
Acha chuki na hoja dhaifu za vilabuni.
Kwahiyo alipo ona uchumi unapaa akaleta RICHIMOND akawa anachukua Tshs 152,000,000/= kila siku kwa miezi sita hadi aliposhutukiwa, nipe hesabu alichukua Tshs Ngapi??????????Au uniambie kwa ushahidi tosha ziliingia ACCT YA NANI???????

 
Lowassa hawezi kututoa Misri na kutufikisha Canaan kwasababu yeye mwenyewe ni mtumwa wa Rostam Aziz; Huyu mamvi akiukwaa urais mjue mtawala atakuwa Rostam na mawziri wake watakuwa wakina Serukamba, Masha , Makongoro Mahanga na masaburi. Hawa ndio wataleta maendeleo kwa nchi kweli?


umenena! RA orchestra master (mshauri wa Rais mambo yote na member of kitchen cabinet bila ya kua waziri) hawa akina Sofia simba, Mahanga, Malima, Jan Makamba, masaburi, checkbob Masha (kwa ubunge wa kuteuliwa), Peter serukamba, nchimbi, Bashe, Malisa, millya na vilaza wengine wataifanya serikali hii kuonekana kituko kuliko hata sasa....sina baya lolote na Lowassa alitumia nafasi yake kupata mali kama wengi ccm, ila akiwa Rais hawezi kufanya kazi na timu kama hii ni miaka 10 ya kuzuga tu hamna lolote la maana
 
Kama vile kuna watu wametumwa kumsafisha EL humu ndani!!!! Atahonga hao hao ila pale magogoni tell him to forget about it.
 
helow,
ndugu EL
NAAKUPONGEZA kwa dhati enzi zako za uwazir.mkuu...........
nakumbuka, ndio kwanza mm nilikuwa naanza kazi......

nakupongeza kwa.mishahara kutoka kwa wakati...... ulitangaza tarehe 23 iwe umetoka, tena uliamuru wahasibu.walipa mishahara wafanye kazi hadi weekend iwapo tarehe inaangukia hyo tarehe


WAFANYAKAZI WA KIMA CHA CHINI TUNAZO KURA ZAKO 2015

Hadi sasa, cijaelewa sera za CDM kwa wafanyakazi......mnnn
 
Mmechelewa kupiga kampeni,yaani gamba liingie magogoni???????????simply no!!!!!!!!!!!!!!
 
Soma nyakati. Lowasa alisha tiwa kwenye black listed yakuwa rais wa Taifa hili tangu enz za J. K. Nyerere. Kikwete anamalizia. Tukumbuke siri za nch hazina urafiki ila kufuwatwa tu. Kikwete anaenda kumalizia itimisho.

Hata Kikwete alikuwa kwenye hiyo black list, lakini kumbuka kwa ccm ,kila jambo linawezekana, na kwa Lowasa na ccm "never say never!"
 
tembea hata uchi lakini, lakini fisadi ni fisadi tu. Udhaifu wa CCM kumwadabisha mdhalimu mwenzao haitufanyi tuone Lowassa ni msafi. Msiitie najisi nchi yetu, tumechoka na mabalaa
 
Namkubali lowasa lakini si kwa kiwangu hiki ambacho mnataka kutuaminisha. He is just like most of the magamba
 
Namkubali lowasa lakini si kwa kiwangu hiki ambacho mnataka kutuaminisha. He is just like most of the magamba
hata mimi namkubali Lowassa, lakini kama fisadi la kimataifa, aliyetaka kutuletea mpaka mvua ya kichina. nazidi kumkubali kwa kuwa naona kila dalili za watu kuanza kumuabudu
 
tembea hata uchi lakini, lakini fisadi ni fisadi tu. Udhaifu wa CCM kumwadabisha mdhalimu mwenzao haitufanyi tuone Lowassa ni msafi. Msiitie najisi nchi yetu, tumechoka na mabalaa

hata iweje, ukweli uko palepale.......
akicema anataka kujiunga na CDM

jf mtaanza kumpa minofuuuuuu?????..
.mm@##$
 
helow,
ndugu EL
NAAKUPONGEZA kwa dhati enzi zako za uwazir.mkuu...........
nakumbuka, ndio kwanza mm nilikuwa naanza kazi......

nakupongeza kwa.mishahara kutoka kwa wakati...... ulitangaza tarehe 23 iwe umetoka, tena uliamuru wahasibu.walipa mishahara wafanye kazi hadi weekend iwapo tarehe inaangukia hyo tarehe


WAFANYAKAZI WA KIMA CHA CHINI TUNAZO KURA ZAKO 2015

Hadi sasa, cijaelewa sera za CDM kwa wafanyakazi......mnnn
Njoo utembee UCHI hadi kwangu uone NTAKAVYO KU CAMERON.
 
Back
Top Bottom