Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naziona dalili za shetani Lowassa kuanza kuabudiwa, duuh nchi inatiwa najisi huku tunaonaSafi kamanda lowasa,hakuna slaa wala babu silaa,eko Kamanda lowasa,uraisi ni wako.
Wewe Shifta kwanza avatar yako inatisha, hao Mashifta tuliwau walipovamia mbuga zetu za wanyama 1974-1975, sasa wewe ni ukoo au uzao wa hao jamaa?????Lowassa ni chaguo la Mungu...
tuombe uzima mpaka 2015 atakaposhinda ktk uchaguzi na kututoa huku ktk nchi ya utumwani na kutupeleka ktk nchi ya kanani...
Tuseme inshaalah
Kwahiyo alipo ona uchumi unapaa akaleta RICHIMOND akawa anachukua Tshs 152,000,000/= kila siku kwa miezi sita hadi aliposhutukiwa, nipe hesabu alichukua Tshs Ngapi??????????Au uniambie kwa ushahidi tosha ziliingia ACCT YA NANI???????Kipindi Muheshimiwa Lowassa alipokuwa PM uchumi ulikuwaje na sasa hayupo Madarakani uchumi ukoje?
Swala la mvua ya kutengeneza unataka kuniambia science hii nayo pia huijui?
Then kuhisu swala la Richmond ni kuwa juzi alilielezea wazi kwa kusema yeye alikuwa tayari kulibutua, ila alipolipeleka kwa mkuu wa nchi ndio ikawa vile tena....
Acha chuki na hoja dhaifu za vilabuni.
Lowassa hawezi kututoa Misri na kutufikisha Canaan kwasababu yeye mwenyewe ni mtumwa wa Rostam Aziz; Huyu mamvi akiukwaa urais mjue mtawala atakuwa Rostam na mawziri wake watakuwa wakina Serukamba, Masha , Makongoro Mahanga na masaburi. Hawa ndio wataleta maendeleo kwa nchi kweli?
lowwasa chaguo la watumwa tz 2015, we mtumwa tu huna lolotelowwasa chagua ka wtz 2015
Soma nyakati. Lowasa alisha tiwa kwenye black listed yakuwa rais wa Taifa hili tangu enz za J. K. Nyerere. Kikwete anamalizia. Tukumbuke siri za nch hazina urafiki ila kufuwatwa tu. Kikwete anaenda kumalizia itimisho.
hata mimi namkubali Lowassa, lakini kama fisadi la kimataifa, aliyetaka kutuletea mpaka mvua ya kichina. nazidi kumkubali kwa kuwa naona kila dalili za watu kuanza kumuabuduNamkubali lowasa lakini si kwa kiwangu hiki ambacho mnataka kutuaminisha. He is just like most of the magamba
tembea hata uchi lakini, lakini fisadi ni fisadi tu. Udhaifu wa CCM kumwadabisha mdhalimu mwenzao haitufanyi tuone Lowassa ni msafi. Msiitie najisi nchi yetu, tumechoka na mabalaa
Njoo utembee UCHI hadi kwangu uone NTAKAVYO KU CAMERON.helow,
ndugu EL
NAAKUPONGEZA kwa dhati enzi zako za uwazir.mkuu...........
nakumbuka, ndio kwanza mm nilikuwa naanza kazi......
nakupongeza kwa.mishahara kutoka kwa wakati...... ulitangaza tarehe 23 iwe umetoka, tena uliamuru wahasibu.walipa mishahara wafanye kazi hadi weekend iwapo tarehe inaangukia hyo tarehe
WAFANYAKAZI WA KIMA CHA CHINI TUNAZO KURA ZAKO 2015
Hadi sasa, cijaelewa sera za CDM kwa wafanyakazi......mnnn