Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

Wana Jf.

Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Mapembelo laki si pesa?!!.....bado upo hapo Tazara makambako ukimwakilisha mbunge Jah kwenye mabehewa ya mizigo?
 
Wana Jf.

Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Binafs sijui sana kuhusu hisa ila mara nyingi nimekua nikisikia hisa zinauzwa!ivi kwa mfano nikasikia hisa zinauzwa nikanunua nyingi za kutosha na nikanunua kwa utaratibu ulio wekwa na wauzaji kosa langu litakua wapi?uliye toa wazo hilo hapo juu kama ungekua we2 umenunua kwa njia halali ungefanyaje na kosa lako lingekua wapi?bila shaka ni propaganda tu.
 
TTCL wanasema Airtel ni yao 100%
Ahahaaaha duh kwel mzee basi msala baada ya kuchemka kujiendesha sasa inataka kujitwalia kampuni ya muhindi bil 50 imekata kwel tz majanga naona wanyonyaji bado wako wengi
 
Hisa zinauzwa mimi nimenunua kwa taratibu zilizo wekwa je kosa langu nini?mzee lowasa anahisa kama walivyo na hisa wengine
 
Wana Jf.

Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Sasa kama alimiliki kinyume ya sheria si yupo mfungeni nyie si ndiyo wenye dola mahakama na kila kitu pamoja na mungu wenu mfuateni mwekeni ndani yuko kwake wala siyo wale wasiojulikana. Kelele nyingi wakati mafisadi wako kibao mnakimbilia kubomoa majumba ya watu
 
Kuna tatizo..kwa nini masikini anamchukia tajiri????
 
Hii in dictation au?haieleweki kabisa mleta Uzi njoo na data ili tuchambue!!!
 
Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
ni kampuni ya wapi? Fuatilia maeneo yote ilikowekwa minara yake utagundua kitu, Ova
 
Hujitambui wewe, Sasa Vodacom ni Serikali? Nenda Marekani, South African, na kwingineko wakwambie, tafuteni wezi wa Airtel, Lowassa kama yupo huko mkamateni

Acheni Umbea wa kitahiira,
 
Hiyo mahakama ya mafisadi ipo hai kweli......kuna kesi yoyote inayoendelea hapo.?
Lakini, habari za makenikia, tulipata yale mahela tuliyopewa matumaini?
Isiwe ni ule utamaduni wetu, linaanzishwa jambo kuuuuubwa!
Wakati likivuta hisia za watu,na kuleta matumaini, linazuka jingine kubwa kuliko lile kulifunika lile ! Hapo sasa, lile la awali, linapotelea kusikojulikana, na ndio limekwisha.
Lo o o! Nani alituloga waTz, tukafukue kaburi lake.
 
Wana Jf.

Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Kwani hizo hisa Vodacom kabla ya Lowassa kujimilikisha ni nani alikuwa anazimiliki?
Na kwani ni kosa hisa kwa mmiliki mwingine kumiliki hizo hisa kutoka kwa mtu mwingine?
 
ndio nakusanya ushahidi hapa niupeleke TAKUKURU.....kwani wewe unaelewa nini kuhusu lowasa kujimilikisha Vodacom?
Airtel kihalali ni mali ya umma kwa sababu imezaliwa kutoka TTCL, vodacom ni kampuni binafsi hata wewe kama una pesa unaweza kununua hisa zako nyingi ukaimiliki.
 
Back
Top Bottom