Mi naona ni kinyume chake! Leo unaambiwa fisadi, yupo katika list of shame, kesho mgombea urais. Leo Nyalandu mwizi, kesho shujaa, Jana Nape takataka Leo eti shujaa. Upinzani eti una vichwa, wakija kutoka ccm ndio wanakuwa wagombea na kushika hatamu. Upinzani kuna wasomi, lakini hawafahamu kuwa chairman mtuhuru hats kidato cha nne hajamaliza. Viongozi karibu wrote Wa upinzani waliokuwepo 2009 wamehamia CCM isipokuwa Mbowe, sasa sijui upinzani wana uhakika gani waliopo sasa hawatahama. Chama kimoja kimeondokewa na Makamu Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibu katibu mkuu, viongozi Wa nazfa zote za juu katika vijana wamejiuzulu madiwani wabunge wamejiuza, wenye akili hawana uhakika waliobaki kama hawatajiuza, wala watakaowachagua kama hawatakuwa nao madada poa lakini wamo tu, kweli unahitajika uchizi uwaamini wapinzani Wa aina hii