Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

Miaka 2 imeisha, tuko mwaka wa 3 sasa. Tunachokiona ni kuzuahiana na kuchafuana tu. Hiyo mtukufu ana frustrations hivyo hukurupuka tu.

Ana lengo zuri sana, lkn hana mbinu nzuri ya kuyafikia malengo hayo
umesema vyema ndugu..
mzee wetu huyu approach zake hazina finishing nzur
 
huku mitaani watanzania wengi wanajua kila simu unayopiga ya vodacom kuna pesa inaingia kwa Lowasa......hata AIRTEL ni kampuni binafsi mkuu
Hilo TTCL na Airtel ni habari nyingine na inayojulikana.

Kuhusu Vodacom, ni kampuni binafsi na wanahisa wake wakijulikana wazi. Kwani wewe unaamini Vodacom ni ya nani? Na nani aliibiwa?
 
watanzania tunajua vodacom ni ya lowasa na rostam
 
Hakuna jiwe litakaloachwa unturned kwenye awamu hii. It is just a matter of time. Let us stay tuned! Kama ulifanya maujanja ujanja huko nyuma, we anza kuandaa utetezi wako mapema.
 
Wana Jf.

Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Kumbe huna lolote unalojua bali kuwashwa washwa tu...na wala huelewi kuwa Alphatel si wamiliki wa hisa Vodacom bali ni wakala tu, stupid
 
Tunahitaji mafisadi wahukumiwe kwa haki, kuwe na established facts beyond doubt kuwapeleka gerezani. La sivyo tusitafute kiki za kisiasa kwa episode fake za mafisadi fake. Kabla hatujaanza kuonyoosha vidole kutuhumu, hebu tujitafakari kwanza sisi hatumo ktk deal? Je, tunafukua makaburi? Kama ni ufisadi wa mfumo basi mfumo wote uwajibishwe, pesa ya serikali irudishwe maana wana mfumo wanayo pesa mingi.
 
Sawa
watanzania tunajua vodacom ni ya lowasa na rostam
Hakuna aliekataa tuonyeshe huo wizi wa Lowassa!!vijana wa Lumumba mmebakiza akili za kwendea msalani tu ndagu ya magufuli imewakamata vilivyo
 
Kumbe huna lolote unalojua bali kuwashwa washwa tu...na wala huelewi kuwa Alphatel si wamiliki wa hisa Vodacom bali ni wakala tu, stupid
Akili za magufuli hizo hajui chochote kuhusu biashara kila mwenye hela mwizi
 
Msumeno unakata mbele na nyuma...Fisadi lazima anase
Ila wa magufuli ni hatari kuhonga demu nyumba ya serikali zamu yake yaja 2020 nakipengele cha kinga ya raisi kitakuwakishafutwa
 
Cdm hawataki kusikia maneno kamahayo,ngoja wake u
Hoja HAPA SIO CDM KUTOKUTAKA. NI KWELI CDM WASINGETAKA KUONA WANA MTU MWENYE KASHFA ANAYECHAFUA CHAMA CHAO.

NI KWELI HATA WAKINA GWAJIMA, WEMA SEPETU, ,CHIDI BENZI, RIZIWANI, MH.MBOWE NA BAADAYE HOTEL YAKE WALITUHUMIWA KUUZA MADAWA YA KULEVYA NCHINI.

LAKINI HATA UKIJIULIZA WEWE MWENYEWE BILA USHABIKI WOWOTE NA UVYAMA. MAHAKAMA YA MAFISADI IMEMTIA HATIANI NANI MPAKA SASA?
 
Wana Jf.

Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Sasa kama huna taarifa uzi umeanzisha wa nini au mbao zimekaza?
 
Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
Dah kumbe unamjua
 
Kama kweli hiyo ni mteule wa Rais wanastahili kuachia ngazi au kutumbuliwa kwani anachokifanya ni kupingana na Rais dhahiri
Rais ameagiza uchunguzi juu ya AIRTEL ambayo SERIKALI ina hisa yeye anatutoa Kwenye mada hiyo kwa kututazamisha VODACOM kampuni binafsi. Je anajitahidi KUFICHA KITU GANI?
 
Back
Top Bottom