Kwani mkuu wewe hoja ipi hasa?
Vodacom kampuni binafsi, wanahisa wanajulikana na hakukuwahi kutokea malalamiko kuwa kuna Mtu kadhulimiwa hisa zake! In-fact hisa nyingi zinamilikiwa na Watu wa nje.
Pili kama nilivyoeleza Alphatel ni super dealer tu wa Vodacom na si mwanahisa Vodacom. Tatizo liko wapi?
Tatizo jingine la Watanzania ni kumtukana anayeleta mada badala ya kumjibu kwa hoja.
Ndio maana Mtu yeyote anaweza kuleta mada akiwa anajua ya uongo na Watu wakawa wanamjibu kwa hoja kwa matusi badala ya kumuelewesha tu!