johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mapembelo laki si pesa?!!.....bado upo hapo Tazara makambako ukimwakilisha mbunge Jah kwenye mabehewa ya mizigo?Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Binafs sijui sana kuhusu hisa ila mara nyingi nimekua nikisikia hisa zinauzwa!ivi kwa mfano nikasikia hisa zinauzwa nikanunua nyingi za kutosha na nikanunua kwa utaratibu ulio wekwa na wauzaji kosa langu litakua wapi?uliye toa wazo hilo hapo juu kama ungekua we2 umenunua kwa njia halali ungefanyaje na kosa lako lingekua wapi?bila shaka ni propaganda tu.Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Ahahaaaha duh kwel mzee basi msala baada ya kuchemka kujiendesha sasa inataka kujitwalia kampuni ya muhindi bil 50 imekata kwel tz majanga naona wanyonyaji bado wako wengiTTCL wanasema Airtel ni yao 100%
Sasa kama alimiliki kinyume ya sheria si yupo mfungeni nyie si ndiyo wenye dola mahakama na kila kitu pamoja na mungu wenu mfuateni mwekeni ndani yuko kwake wala siyo wale wasiojulikana. Kelele nyingi wakati mafisadi wako kibao mnakimbilia kubomoa majumba ya watuWana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
ni kampuni ya wapi? Fuatilia maeneo yote ilikowekwa minara yake utagundua kitu, OvaUjue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..
vittel ni kampuni ya wapi? Fuatilia maeneo yote ilikowekwa minara yake utagundua kitu, Ovani kampuni ya wapi? Fuatilia maeneo yote ilikowekwa minara yake utagundua kitu, Ova
Lakini, habari za makenikia, tulipata yale mahela tuliyopewa matumaini?Hiyo mahakama ya mafisadi ipo hai kweli......kuna kesi yoyote inayoendelea hapo.?
Kwani hizo hisa Vodacom kabla ya Lowassa kujimilikisha ni nani alikuwa anazimiliki?Wana Jf.
Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy kampuni tanzu ya Vodacom Alphatel kinyume cha sheria. Mwenye taarifa zaidi atujulishe hili bomu litalipuka muda si mrefu kuna watu wataburuzwa Segerea mahakama ya mafisadi itakuwa bize sana siku chache zijazo
Airtel kihalali ni mali ya umma kwa sababu imezaliwa kutoka TTCL, vodacom ni kampuni binafsi hata wewe kama una pesa unaweza kununua hisa zako nyingi ukaimiliki.ndio nakusanya ushahidi hapa niupeleke TAKUKURU.....kwani wewe unaelewa nini kuhusu lowasa kujimilikisha Vodacom?
Vodacom ni private company, ilitoa tenda kwa kampuni iliyokidhi vigezo vya tenda walivyojiwekea wenyewe Vodacom.Alphatel ilipataje mkataba wa kugawa vocha Vodacom?