Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

We ndio mpumbavu kuingilia uhuru wa mtu. Fred ana uhuru na haki ya kumshukuru amtakaye na kumlaumu amtakaye.

Uzuri upumbavu na ujinga una definition na viwango tayari, mtu kutokumjua mtu mpumbavu au mjinga naye ni mpumbavu na mjinga tu...

Ni kama msemo wa ndege wafananao, huruka pamoja...
 
Dr. SSH ndio sura na nembo ya kodi za waTanzania. kauli, agizo, amri au mkono wa Rais Dr.SSH kwenye jambo lolote kwa yeyote ni alama ya waTanzania wote kushiriki jambo hilo 🐒

so,
kaa ukijua DR.SSH anawakilisha waTz wote kitaifa na kimataifa.

wew na mimi tumelipa kodi Dr.SSH anatuongoza kuigawanya kwa usawa na kutuletea maendeleo waTz wote 🐒

So,
Kijana wa Lowasa badala ya kuwataja waTanzania wote walipa kodi basi amemtaja kiongozi na muwakilishi wetu waTz wote 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Rais ndo mwenye fedha zote BOT kama ilivyo tawala za kifalme....

Tuna nchi ya ajabu sana. Tunaishi kama mashetani
 
SSH ndo mkata umeme pia.

Inflation inamhusu maana amegoma kudhibiti mfumuko na anaonea ubahili kuingiza hela kwenye mzunguko.
 
SSH ndo mkata umeme pia.

Inflation inamhusu maana amegoma kudhibiti mfumuko na anaonea ubahili kuingiza hela kwenye mzunguko.
hayo ni baadhi tu ya manung'uniko na malalamiko ya wavivu wasiotaka kujishughulisha ila wanatamani maisha mazuri na mbaya zaidi wainaishi kwa wazazi angali ni watu wazima 🐒

hata na hivyo, hayo na yale mengine hukuyataja, mama Dr SSH kiongozi wetu ambae sote tunampenda sana, amesikia na amezingatia na ndio maana aliweka ruzuku kwenye mafuta na sasa unafuu kwenye sukari.
Umeme anakamilisha maboresho ya miundimbinu ili umeme uwe wa kutosha na wa uhakika 🐒

vilevile anafurahi sana kwamba uko online kutwa kucha ukilalamika umeme hakuna 🤣

Kwakweli tupo pazuri sana na uelekeo ni mzuri mno..

Hakika mama Dr SSH atatuvusha salama 🐒

R.I.P laigwanan comrade ENL
 
Takwa La Sheria Maana Yake Mtu Anapokuwa Ama Aliyekuwa Kwenye Nafasi Hiyo
Huduma /Stahiri Zake Siyo Mpaka Fulani Apende, Watanzania Tumejaa Fitna, Husda
Hasa Kisifu Na Kumuabudu Fulani
 
"...na wengine wengi ambao hawajatangazwa."
 
Kama hukupata dhoruba ya awamu ya 5 huwezi jua utu wa Rais Samia. Awamu ya 5 ilikuwa haiangalii mwanaCCM wala mpinzani. Kibano kilikuwa kwa wote. Yule JPM alivyosema anataka matajiri waishi kama mashetani ndo dhahama iliwapitia kina Lowasa na madon wengine bila kujali chama.
 
Magufuli alikuwa Mwamba shujaa wetu
 
Wewe na Fred wote mko sawa, sheria ingefuatwa angekuwa Rais Lowasa 2015 lakini Jakaya akazingua, huenda hujui kusikiliza vyema au hupendi watu wanaoshukuru
 
Samia sio mtu ni taasisi ya Urais. Hakumshuluru mama Samia alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan. KJW sawa
Ishukuriwe hadhi ya "Trust territory" ashukuriwe Mwl JKN, Ishukuriwe league of Nations au washukuriwe wazalendo waliokubali kuingia darasani na wengine kupeleka watoto wao shule ili Tanganyika ijitawale? Hii ni mitazamo nawe umetazama kisheria hukutazama kilutheri kama Fred Lowasa kijana wa kimasai alielelewa vyema kimaadili kurudisha fadhila kwa waliomtendea wema pasina kujali nafasi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…