Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

Hayajielewi matoto ya mafisadi yaani Pesa zetu yeye anamshukuru Mwenyekiti wa Chama chake? Anatetea jimbo maana anajua wa kumsemea ndo kaondoka sasa.
 
Haya mambo yalianza awamu iliyopita ya mwendazake... Ndio aliyaotesha mizizi. Sasa hivi yamekuwa donda ndugu mpaka kufikia kukufuru...
 
Oneni mizigo mingine hii! Shukrani kwa nani? Sheria na kanuni zikifuatwa haina maana kumshukuru aliyezifuata kwani kawajibika!
Acheni ujinga

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli kaingiaje tena kwenye hili swala la Fred lowassa?!, daah sijui kwa nn watu wanaroho za nyoka na chuki za kipumbavu?, kama nchi tunakazi ngumu sana.
 
Mgonjwa kazidiwa anatumwa Mkuu wa Majeshi kuokoa Jahazi

Huenda dishi la Taifa limeyumba
 
Kumbuka kama imgekuwa ni Mungu na Madaktari pekee, Lowasa asingekufa ile siku aliyokufa, angekuwa ameshafariki kitambo sana ni sababu ya "rais Samia ndiye aliyewezesha aishi hadi kufikia ile juzi."
Hiyo ni kwa mujibu wa mtoto wa Lowasa
 
Nchi ilikuwa inaelekea kunyooka zile sehemu zilikuwa zimepinda !
Ndio maana unaona kwa sasa watu wale wa awamu ya tano wanaanza kurudishwa polepole kundini !
Imeonekana hakuna namna nyingine !
 
Kumbuka kama imgekuwa ni Mungu na Madsktari pekee, Lowasa asingekufa ile siku aliyokufa angekuwa ameshafariki kitambo sana ni sababu ya rais Zamia mdiye aliyewezesha aishi hadi kufikia ile juzi.
Hiyo ni kwa mujibu wa mtoto wa Lowasa
Duh 🙄 !
 

Huo wimbo ni muendelezo wa Udikteta UCHWARA.....!!
 
Ukweli mchungu
 
Nchi za kiafrica Rais kama Mungu vile ,akitaka anachota tu hata billion anagawa anavyotaka.
 
Issue kubwa zaidi ni haipaswi Mtanzania yoyote anayehitaji matibabu hakose matibabu...; Kwahio on that Notion, watunga Sera na Waongoza Serikali ikiwemo Samia wanapwaya
 
Word ...
 
Mkuu mleta mada, nchi hii imejaa wajinga na wapumbavu wengi sana na wengi wao ni wale walioenda shule kufuta ujinga...
Licha ya kuwepo sekondari za kata na za msingi karibu kila kijiji lakini bado mijinga imetapakaa kila kona ya nchi yetu.Watu hao hivi hawajui huyo Lowasa alistahili kufanyiwa hivyo kisheria kutokana na wadhifa aliowahi shika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…