Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
Mwambieni hayo ni matakwa ya
watanzania. Asilimia 61wametaka serikali 3 na hiyo haijaanza leo toka
tume iliyoundwa mwaka 1984 matokeo yalikuwa kama ya leo. Hizo za akina
lowasa na nape ni asilimia 25 kwahiyo nazo sio chache ila wameshindwa
kwa hoja. Lowasa anahofia urais wake utakuwa sio dili sana kutakuwa na
rais wa Tanganyika huru ambaye atakuwa na power kubwa.
Mkuu sasa mchonganishi nani? Yeye lowassa au?Aache uchonganishi kwani yeye ameziona wapi kama zimeachwa, kwani yeye mjumbe wa tume.tulishasema machafuko yataletwa na Ccm.wapi msemaji wake bulembo tunawajua hao mungiki
Mwambieni hayo ni matakwa ya watanzania. Asilimia 61wametaka serikali 3 na hiyo haijaanza leo toka tume iliyoundwa mwaka 1984 matokeo yalikuwa kama ya leo. Hizo za akina lowasa na nape ni asilimia 25 kwahiyo nazo sio chache ila wameshindwa kwa hoja. Lowasa anahofia urais wake utakuwa sio dili sana kutakuwa na rais wa Tanganyika huru ambaye atakuwa na power kubwa.
Waziri mkuuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowasa amesema hakubaliani na Jaji Warioba kuhusu uhalali wa serikali tatu kama rasimu ya pili ya katiba inavyopendekeza.
Lowasa amesema warioba ameficha baadhi ya taarifa kuhusu waliopinga serikali tatu walipotoa maoni yao.
Amelitaka kanisa liombee mchakato unaoendelea wa katiba mpya uyoe dira mpya ta Tanzania ijayo.
Ameyasena hayo Monduli katika kuukaribisha mwaka mpya 2014