Waziri mkuuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowasa amesema hakubaliani na Jaji Warioba kuhusu uhalali wa serikali tatu kama rasimu ya pili ya katiba inavyopendekeza.
Lowasa amesema warioba ameficha baadhi ya taarifa kuhusu waliopinga serikali tatu walipotoa maoni yao.
Amelitaka kanisa liombee mchakato unaoendelea wa katiba mpya uyoe dira mpya ta Tanzania ijayo.
Ameyasena hayo Monduli katika kuukaribisha mwaka mpya 2014
mh. LOWASSA pls try to understand wazo la serikali tatu sio wazo la WARIOBA ni collective opinions au ni mapendekezo ya watanzania hivyo lawama kwa jaji warioba hazipaswi kuwa za msingi || AMEYATOA YALE ALIYOYAKUSANYA KWA MUDA MREFU BILA UPENDELEO UJANJA*2,WALA HILA//Waziri mkuuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowasa amesema hakubaliani na Jaji Warioba kuhusu uhalali wa serikali tatu kama rasimu ya pili ya katiba inavyopendekeza.
Lowasa amesema warioba ameficha baadhi ya taarifa kuhusu waliopinga serikali tatu walipotoa maoni yao.
Amelitaka kanisa liombee mchakato unaoendelea wa katiba mpya uyoe dira mpya ta Tanzania ijayo.
Ameyasena hayo Monduli katika kuukaribisha mwaka mpya 2014
Lowasa amesema warioba ameficha baadhi ya taarifa kuhusu waliopinga serikali tatu walipotoa maoni yao.
ndio maana yakemaana yake hakubaliani na watz 61% waliotoa maoni yao?
Waziri mkuuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowasa amesema hakubaliani na Jaji Warioba kuhusu uhalali wa serikali tatu kama rasimu ya pili ya katiba inavyopendekeza.
Lowasa amesema warioba ameficha baadhi ya taarifa kuhusu waliopinga serikali tatu walipotoa maoni yao.
Amelitaka kanisa liombee mchakato unaoendelea wa katiba mpya uyoe dira mpya ta Tanzania ijayo.
Ameyasena hayo Monduli katika kuukaribisha mwaka mpya 2014
Acheni kuhangaika, Lowassa hayupo tena CCM yuko UKAWA na msimamo wake wa sasa kuhusu muundo wa Muungano ni ule ule wa UKAWA, serikali tatu.maneno hayo aliyasema alipokuwa katika chama cha chukua chako mapema (CCM) sasa yuko UKAWA waumini wa serikali 3 nini kauli yake
Acheni kuhangaika, Lowassa hayupo tena CCM yuko UKAWA na msimamo wake wa sasa kuhusu muundo wa Muungano ni ule ule wa UKAWA, serikali tatu.
Kwa hiyo hana anachoamini mwenyewe bali yeye ni bendera fuata upepo tu! Mradi awe ni mgombea uraisi.Acheni kuhangaika, Lowassa hayupo tena CCM yuko UKAWA na msimamo wake wa sasa kuhusu muundo wa Muungano ni ule ule wa UKAWA, serikali tatu.
Kwa hiyo hana anachoamini mwewe bali yeye ni bendera fuata upepo tu! Mradi awe ni mgombea uraisi.
Maamuzi magumu ni pamoja na kukiri makosa na kujirekebisha. Ameanza kwa kukiri chama chake cha zamani kimepoteza dira na amejirekebisha kwa kuhama na kujiunga na chama kipya. Ameendelea kukiri kuwa msimamo wake wa awali wa serikali mbili haukuwa sahihi na amejirekebisha kwa kuunga mkono msimamo wa chama chake kipya. Hiki ndicho kinachomtofautisha na wanafiki aliowaacha huko alikotoka, hawana ujasiri wa kufanya maamuzi magumu kama alivyofanya Lowassa.Kwa hiyo hana anachoamini mwenyewe bali yeye ni bendera fuata upepo tu! Mradi awe ni mgombea uraisi.