Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
maana yake hakubaliani na watz 61% waliotoa maoni yao?
Waziri mkuuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowasa amesema hakubaliani na Jaji Warioba kuhusu uhalali wa serikali tatu kama rasimu ya pili ya katiba inavyopendekeza.
Lowasa amesema warioba ameficha baadhi ya taarifa kuhusu waliopinga serikali tatu walipotoa maoni yao.
Amelitaka kanisa liombee mchakato unaoendelea wa katiba mpya uyoe dira mpya ta Tanzania ijayo.
Ameyasena hayo Monduli katika kuukaribisha mwaka mpya 2014