The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
kunani kati ya EL na CDM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana na huyoMabay a gani hayo ambayo hata CC au NEC ya chama chake imeweza kuyadhibitisha?
Hawawezi ku-take risk ya kuvamia yasiyokuwa yao
Anyway,nitakwambia.Ni kweli CDM haijawahi kumsema vibaya EL, zaidi ya pale mwembe yanga ilipotoa list of shame.kunani kati ya EL na CDM?
Bila shaka huu ni mtazamo wako tu maana kila m2 ana uhuru wa kuongeaAnyway,nitakwambia.Ni kweli CDM haijawahi kumsema vibaya EL, zaidi ya pale mwembe yanga ilipotoa list of shame.
EL alijumuishwa kwa sababu tu alikua anajua kinachoendelea ktk Richmond,lakini CDM wanajua fika saga la richmond mhusika mkuu ni JK, na EL alikua akitekeleza tu amri.Ikumbukwe kwamba DR Slaa alitamka waziwazi kwamba Dowans ni ya JK.
Kwa kifupi tu nikwambie, si muda mrefu EL atajiunga na CDM, (awe amevuliwa gamba kule ccm au la),na CDM watazunguka nchi nzima kumsafisha na watathibitisha kuwa EL ni msafi.
EL atasimamishwa for 2015 presidency kupitia CDM na atashinda kwa kishindo.. kabla hajaondoka CCM atajisafisha kwanza kwa kusema ukeli wote kuhusu Richmond na hapo ndipo wananchi mtashangaa na mtakua tayari hata kusukuma gari lake. Alitaka amwage mboga na ugali juzi pale dom, ccm wakashtukia.Deal closed btn EL & CDM Its just a matter of time.
Anyway,nitakwambia.Ni kweli CDM haijawahi kumsema vibaya EL, zaidi ya pale mwembe yanga ilipotoa list of shame.

Hivi EL bado yupo kwenye system?
Chadema have always been against ufisadi wa aina yoyote na leo lao sio ku-individualize/personalize issues kama unavyodhani wewe
Ndio maana utakuta wanongelea ufisadi na mafisadi na kama wewe ni mfuatiliaji mwenye upeo na utshi utagundua kwamba kulikua na list of shame, richmond, dowans, EPA, kagoda nk na zote zililipuliwa na wahusika kukaa uchi...
Unachotafuta hapa ni ile shalllow and myopic CCM mentality ya fulani na fulani, unfortunately CDM ni zaidi ya hayo unayoyataka na ndio maana husikii wakianza oh Membe, Oh rostam, oh EL, bali wanazungumzia issues
Just for your advice, zile zama za kuchanganya watu kwa majina ni zama alizoleta huyo mtu wenu na propaganda mlizotoa wa mrengo fulani wa siasa ambazo hazina tija, (rejea Sumaye na trilioni kumi, malechela na uislamu, salim na Hizbo nk).
Ni mpumbavu tu ndiye atakeshindia upumbavu na ni mchovu wa fiktra tu, ndiye atakayeshindia kuangaikia mtu/watu badala ya hoja
Unajaribu kitu, ambacho umeshindwa kwani siasa za CDM si siasa za CCM
BTW, vipi zile bendera mlizoprint nasikia watu mmepiga sana bingo aisee
Sounds very true given what Mkapa did.Anyway,nitakwambia.Ni kweli CDM haijawahi kumsema vibaya EL, zaidi ya pale mwembe yanga ilipotoa list of shame.
EL alijumuishwa kwa sababu tu alikua anajua kinachoendelea ktk Richmond,lakini CDM wanajua fika saga la richmond mhusika mkuu ni JK, na EL alikua akitekeleza tu amri.Ikumbukwe kwamba DR Slaa alitamka waziwazi kwamba Dowans ni ya JK.
Kwa kifupi tu nikwambie, si muda mrefu EL atajiunga na CDM, (awe amevuliwa gamba kule ccm au la),na CDM watazunguka nchi nzima kumsafisha na watathibitisha kuwa EL ni msafi.
EL atasimamishwa for 2015 presidency kupitia CDM na atashinda kwa kishindo.. kabla hajaondoka CCM atajisafisha kwanza kwa kusema ukeli wote kuhusu Richmond na hapo ndipo wananchi mtashangaa na mtakua tayari hata kusukuma gari lake. Alitaka amwage mboga na ugali juzi pale dom, ccm wakashtukia.Deal closed btn EL & CDM Its just a matter of time.
Anyway,nitakwambia.Ni kweli CDM haijawahi kumsema vibaya EL, zaidi ya pale mwembe yanga ilipotoa list of shame.
EL alijumuishwa kwa sababu tu alikua anajua kinachoendelea ktk Richmond,lakini CDM wanajua fika saga la richmond mhusika mkuu ni JK, na EL alikua akitekeleza tu amri.Ikumbukwe kwamba DR Slaa alitamka waziwazi kwamba Dowans ni ya JK.
Kwa kifupi tu nikwambie, si muda mrefu EL atajiunga na CDM, (awe amevuliwa gamba kule ccm au la),na CDM watazunguka nchi nzima kumsafisha na watathibitisha kuwa EL ni msafi.
EL atasimamishwa for 2015 presidency kupitia CDM na atashinda kwa kishindo.. kabla hajaondoka CCM atajisafisha kwanza kwa kusema ukeli wote kuhusu Richmond na hapo ndipo wananchi mtashangaa na mtakua tayari hata kusukuma gari lake. Alitaka amwage mboga na ugali juzi pale dom, ccm wakashtukia.Deal closed btn EL & CDM Its just a matter of time.
Lao moja.kunani kati ya EL na CDM?
...conspiracy theoryAnyway,nitakwambia.Ni kweli CDM haijawahi kumsema vibaya EL, zaidi ya pale mwembe yanga ilipotoa list of shame. EL alijumuishwa kwa sababu tu alikua anajua kinachoendelea ktk Richmond,lakini CDM wanajua fika saga la richmond mhusika mkuu ni JK, na EL alikua akitekeleza tu amri.Ikumbukwe kwamba DR Slaa alitamka waziwazi kwamba Dowans ni ya JK. Kwa kifupi tu nikwambie, si muda mrefu EL atajiunga na CDM, (awe amevuliwa gamba kule ccm au la),na CDM watazunguka nchi nzima kumsafisha na watathibitisha kuwa EL ni msafi. EL atasimamishwa for 2015 presidency kupitia CDM na atashinda kwa kishindo.. kabla hajaondoka CCM atajisafisha kwanza kwa kusema ukeli wote kuhusu Richmond na hapo ndipo wananchi mtashangaa na mtakua tayari hata kusukuma gari lake. Alitaka amwage mboga na ugali juzi pale dom, ccm wakashtukia.Deal closed btn EL & CDM Its just a matter of time.