Dah! Kama kweli basi hii inaonyesha hii njemba ilivyonuia kufanya kile mbinde kuingia Ikulu 2015.
Lowasa kakomaa kisiasa anajua nini cha kusema na kwa wakati gani.....haya si maneno yake hata kama ningeamka saa nane usiku ningemkania.Haya ni najungu fitna na umbea,unadhani utarudisha maamuzi kwa majungu haya the train has gone no reverse.
Mtu yoyote mwenye akili timamu na sio "bendera fuata upepo" ataona kuna watu wamewekwa hapa kwa ajili ya 2015.Na kazi yao ni kutengeneza habari za kummaliza Lowassa kisiasa.Lowasa kakomaa kisiasa anajua nini cha kusema na kwa wakati gani.....haya si maneno yake hata kama ningeamka saa nane usiku ningemkania.Haya ni najungu fitna na umbea,unadhani utarudisha maamuzi kwa majungu haya the train has gone no reverse.
Kwa ujumla walichokifanya akina Nape dhidi ya Lowasa ni makosa ya kimkakati ambayo sasa yanaigharimu NEC kufanya maamuzi dhidi yake.Jamaa amedai Mungu kamficha dhidi ya maadui wake wote... Amechangia 10mil out of 138mil zilizopatikana...
Nahisi huyu jamaa anachanganyikiwa na kutapatapa, baya zaidi udhaifu ulionyeshwa na NEC na CC kushindwa kumchukulia hatua kwake yeye ni ushindi mkubwa sana.....na ndio maana ameanza kutoa kauli za kejeli kwa wanachama na wananchi kwa ujumla....
lowasa mwacheni jamaani awe raisi wetu tuondokane na viongoz maneno tunataka watendaji
Wewe una ushahidi gani kuhusu kiongozi yeyote wa serikali sasa hivi?Nikiwa kama mtanzania ninaetafakari juu ya hali ya siasa tz, ninasimama ktk ukweli kusema zaidi ya Richmond hakuna ruhwa yenye mashiko ya kumuhukumu roho ya paka Lowasa!
Mwenye ushahidi wa ufisadi mwingine wa Lowasa auweke hapa! Kama si zaidi ya propaganda za wapinzani wake kisiasa!
Maswali mengine yanaulizwa na watu ambao uwezo wao wa kukumbuka matukio umefifishwa na mapenzi kwa huyu mtu wao. Kama unataka makosa mengine ya Lowassa basi mtafute mwalimu Nyerere.
Mwalim alikuwa hapendi watu aggressive wanaojitafutia maisha, mwalim mwenyewe aliwahi kutuambia mkapa ni Mr Clean!
Mwenye evidence za ufisadi wa EL aumwage hadharani sio maneno tu
Nani alikwambia rushwa huwa ina evidence, lakini zaidi ya richmond muulize El wakati anagombea 1995 baba wa taifa alimuuliza nini na kwa nini alikosa majibu. Na hiyo ilikuwa kabla ya Richmond wakati baba wa taifa anasema ananuka rushwa lakini kama vile sikio la kufa halisikii dawa nilidhani baada ya kuwa waziri mkuu angejirekebisha ila bado akaendelea na richmond. Hilo ndilo tatizo lake