OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tufanye isingeimarisha. Haya tuendelee bila elimu
Unapofanya comparizon, tumia equal comparators. Elimu na uchumi, wapi na wapi?. Swali lako lingekuwa valid kama ungecompare elimu bure ya JPM ya darasa la kwanza mpaka form 4, imekuza vipi na kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja wa Tanzania?. Baada ya kuonyesha faida hizo ndipo sasa tungelinganisha na Elimu Elimu Elimu ya EL ya elimu bure toka chekechea hadi Chuo Kikuu?.Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya uraisi walikuwa ni JP.Magufuli na E.Lowasa,
Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii hii inayotolewa vyuoni je hii sera ingeweza vipi kuimarisha uchumi wa mtanzania mmoja mmoja?
Kwahiyo nchi ingemshinda? Maisha yangekuwa magumu zaidi?Tufanye isingeimarisha. Haya tuendelee bila elimu
Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya uraisi walikuwa ni JP.Magufuli na E.Lowasa,
Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii hii inayotolewa vyuoni je hii sera ingeweza vipi kuimarisha uchumi wa mtanzania mmoja mmoja?
Natumaini umelielewa vizuri swali langu hebu nisaidie kuliweka vizuri,Unapofanya comparizon, tumia equal comparators. Elimu na uchumi, wapi na wapi?.
Unapofanya comparizon, tumia equal comparators. Elimu na uchumi, wapi na wapi?.
China ya nini mkuu wakati tupo bongo, na elimu yetu ndio hii hii nimeuliza swali lengo langu sio kumbeza mtuBila ushabiki wa kisiasa, tuangalie umuhimu wa elimu tu. Kama unataka kujua umuhimu wa elimu kwenye kuimarisha uchumi kawaulize China na Japan
Unaonaje mkuu ukiuanzisha upya huu mjadala mkuu tuwaombe Mods waufute siku ukipata muda uuweke vizuri ili ueleweke vizuri mi naona unamanufaa tutajifunza kituUnapofanya comparizon, tumia equal comparators. Elimu na uchumi, wapi na wapi?. Swali lako lingekuwa valid kama ungecompare elimu bure ya JPM ya darasa la kwanza mpaka form 4, imekuza vipi na kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja wa Tanzania?. Baada ya kuonyesha faida hizo ndipo sasa tungelinganisha na Elimu Elimu Elimu ya EL ya elimu bure toka chekechea hadi Chuo Kikuu?.
Mimi ni supporter wa ile Elimu elimu elimu.
P