Uchaguzi 2020 Lowassa aombwa kugombea Ubunge

Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele

Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Hawa wazee wapumzike tu. Wawaachie vijana.
 
Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele

Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje

Wananchi gani wanamuomba huyo mgonjwa tena mzee? Mpaka bunge linaisha Mkono alikuwa kitandani, leo Lowassa hata kutembea tu ni mtihani, ndio wananchi wamuombe?
 
Kuumwa ni kawaida kwa kiumbe hai

Kwanini wasimshauri agombee urais? Level ya Ubunge kashaivuka,mtu ana mtaji wa kura 6m+ aende tena kugombea kura elfu 50?
 
Back
Top Bottom