NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Anarudi kupiga dili!tena na yule wa igunga atarudi rostam!!!ngoja tuone!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wazee wapumzike tu. Wawaachie vijana.Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele
Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Hawa wazee wapumzike tu. Wawaachie vijana.
Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele
Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Ndio Waziri Mkuu mstaafu
Nani alisema
Haahaa fisadi akirudi ccm anakuwa msafi
Wazee wamemwangukia.?
Hizi ni hisia zako.
Wananchi gani wanamuomba huyo mgonjwa tena mzee? Mpaka bunge linaisha Mkono alikuwa kitandani, leo Lowassa hata kutembea tu ni mtihani, ndio wananchi wamuombe?
Hawa wazee wapumzike tu. Wawaachie vijana.
Huyo ana majimbo mawili; Facebook na JF chitchat. Tuwe na subra atatangaza moja kati ya hizo.Na ww unagombea Jimbo gn mkuu
Alipokuja CHADEMA na wewe ukaanza kumuitaje?Chadema walimpaka matope,baadae wakamsafisha
Rostam mafia sanaAnarudi kupiga dili!tena na yule wa igunga atarudi rostam!!!ngoja tuone!!!
Kwanini wasimshauri agombee urais? Level ya Ubunge kashaivuka,mtu ana mtaji wa kura 6m+ aende tena kugombea kura elfu 50?Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele
Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Makamanda gani hao hawana hata jeshi la mgambo?Makamanda wanatabia za kiswahili
Joseph KashekuNani alisema