I feel the same,hakuna lolote aliloongea.Amepotezea watu muda.Kama hajapigwa biti,basi kuna namna wameshakubaliana.Sasa ndo kaongea nini mbona hajaeleweka, alikuwa anatwambia nini wakati lengo letu ni kusikia kuhusu Richmond na mambo mengine ikiwemo la kujivua gamba otherwise its a crap.
unawasilisha pumba.
hivi kuna Mtanzania ana akili timamu anafikiria nchi hii kuwa na mgombea wa Urais (achia mbali kuwa Rais) kama Lowasa?
laana au?
Ngwanangwa.
Hapa umekurupuka kujibu hoja iliyoko kwenye dawati namaanisha hivi........"ENDAPO"......
SASA UNAWEZA KUJIBU MASWALI NADHANI UMENIKOPI VIZURI SASA
Inaonekana umeandika kiushabiki shabiki kitu ambacho si kizuri kwa mwaandishi. Ilitakiwa utoe vile alivyojibu na vile alivyoulizwa pasi na kuingiza ushabiki na kuacha suala kwa wasikilizaji au wasomaji watoe uamuzi.
Ok lakini thanks kwa taarifa.
uHapo kwenye red pameniacha hoi. Bado nashindwa kuelewa wale wanaochanganya Press Conference na Press Release..... Kweli jamani we can't understand difference ya document na event? lol
there's no place for 'Endapo' kwa mwizi kama Lowasa.
Kwa maoni yangu ningependa sana Mh Edward Lowassa achaguliwe na ccm kugombea nafasi ya urais
ili upinzani upate nafasi ya kushinda kwa urahisi.
sasa wasiwasi wangu ni endapo Mh Edward atakapoingia msituni ndo kazi itaanza upya ya kujenga nchi.
mi nawashangaa hao waandishi hivi kweli mnaweza kupoteza muda na nguvu za kumsikiliza huyo fisadi.
Who is Lowassa hapa Tanzania, anataka kuwekeza kwa Vijana na kibwagizo cha Ajira? alikuwa huko huko kwa miaka mingapi? mbona hatumuoni huko Bungeni akiipinga Wizara ya Kazi kuhusu suala la Ajira. Hana lolote anataka kutokea na Mtaji wa Ajira 2015, tumeshamshutukia Fisadi kama Kikwete tu
Hapo kwenye red pameniacha hoi. Bado nashindwa kuelewa wale wanaochanganya Press Conference na Press Release..... Kweli jamani we can't understand difference ya document na event? lol
Amechelewa sana kuongelea na mambo haya labda angechukua ushauri wa mzee mwanakijiji aliwahi kushauri kuwa ajitokeze kujitetea maana sasa anaonekana kama kutapatapa tu
siyo moyoni tu ananuka harufu ya dhambi ila alienda kwa TB Josua labda katakasika ila nadhani ndo mwanzo wa kuomba msamaha kwa wa TZ
Hapo kwenye red pameniacha hoi. Bado nashindwa kuelewa wale wanaochanganya Press Conference na Press Release..... Kweli jamani we can't understand difference ya document na event? lol
Akakae kijijini kwake hatumtaki ..sisi tunataka Rais mwenye mapenzi na nchi yake ..sio magamba
ila watanzania wenzangu siwaelewi ..akitangaza azima yake utakuta asilimia 85 wamempa kura