Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Sasa ndo kaongea nini mbona hajaeleweka, alikuwa anatwambia nini wakati lengo letu ni kusikia kuhusu Richmond na mambo mengine ikiwemo la kujivua gamba otherwise its a crap.
I feel the same,hakuna lolote aliloongea.Amepotezea watu muda.Kama hajapigwa biti,basi kuna namna wameshakubaliana.
 
Posts 290+ zinajadili mwizi. mwizi wa mali za umma. mhujumu uchumi. Richmonduli.

huyo kama anataka kuwa Rais akubali sera ya majimbo ili awe Seneta wa Wamasai.
 
unawasilisha pumba.

hivi kuna Mtanzania ana akili timamu anafikiria nchi hii kuwa na mgombea wa Urais (achia mbali kuwa Rais) kama Lowasa?

laana au?

Ngwanangwa.
Hapa umekurupuka kujibu hoja iliyoko kwenye dawati namaanisha hivi........"ENDAPO"......
SASA UNAWEZA KUJIBU MASWALI NADHANI UMENIKOPI VIZURI SASA
 
Ngwanangwa.
Hapa umekurupuka kujibu hoja iliyoko kwenye dawati namaanisha hivi........"ENDAPO"......
SASA UNAWEZA KUJIBU MASWALI NADHANI UMENIKOPI VIZURI SASA

there's no place for 'Endapo' kwa mwizi kama Lowasa.
 
Inaonekana umeandika kiushabiki shabiki kitu ambacho si kizuri kwa mwaandishi. Ilitakiwa utoe vile alivyojibu na vile alivyoulizwa pasi na kuingiza ushabiki na kuacha suala kwa wasikilizaji au wasomaji watoe uamuzi.

Ok lakini thanks kwa taarifa.

Maneno haya yanaonyesha wewe ni mfuasi wa EL na ni dhahiri umepata "shock" kwa hicho unachokisikia au ulichoshuhudia kutoka kwa bosi wako kuwaita waandishi wa habari halafu kuongea pumba. Ni dhahiri hukutegemea kitu kama hicho na ndiyo maana huamini kilichoandikwa. Pole sana lakini haya ndiyo matokeo ya kufikiri kwa kutumia masaburi
 
mwenye summary ya alioongea sio aliokataa kuongelea please aweke hapa,
hadi sasa nahisi kama vile amepoteza muda wa watanzania, au kuna kitu kiko chini kinatakiwa kitoke hapo baadae?
EL si mjinga,
 
Amekunja mkia leo,katangaza kuwa ana press confrenece na atazungumzia mambo ya Richmond nk,hata hivyo kachomoa,na sababu hakuna anaye ifahamu.
 
Hapo kwenye red pameniacha hoi. Bado nashindwa kuelewa wale wanaochanganya Press Conference na Press Release..... Kweli jamani we can't understand difference ya document na event? lol
u

Kaka ahsante kwa kunijuza, asiyekubali kufunzwa si mwerevu
 
there's no place for 'Endapo' kwa mwizi kama Lowasa.

Kwa maoni yangu ningependa sana Mh Edward Lowassa achaguliwe na ccm kugombea nafasi ya urais
ili upinzani upate nafasi ya kushinda kwa urahisi.
sasa wasiwasi wangu ni endapo Mh Edward atakapoingia msituni ndo kazi itaanza upya ya kujenga nchi.
 
mi nawashangaa hao waandishi hivi kweli mnaweza kupoteza muda na nguvu za kumsikiliza huyo fisadi.
 
Kwa maoni yangu ningependa sana Mh Edward Lowassa achaguliwe na ccm kugombea nafasi ya urais
ili upinzani upate nafasi ya kushinda kwa urahisi.
sasa wasiwasi wangu ni endapo Mh Edward atakapoingia msituni ndo kazi itaanza upya ya kujenga nchi.

siamini kama CCM bado kuna majuha kiasi hiki cha kufikiria kumpitisha mtu aina ya lowasa kugombea nafasi hata ya ujumbe wa nyumba kumi.

msituni aingie tu. hii nchi ni ya Watanzania, siyo ya lowasa wala wamasai peke yao.
 
Akakae kijijini kwake hatumtaki ..sisi tunataka Rais mwenye mapenzi na nchi yake ..sio magamba
ila watanzania wenzangu siwaelewi ..akitangaza azima yake utakuta asilimia 85 wamempa kura
 
Who is Lowassa hapa Tanzania, anataka kuwekeza kwa Vijana na kibwagizo cha Ajira? alikuwa huko huko kwa miaka mingapi? mbona hatumuoni huko Bungeni akiipinga Wizara ya Kazi kuhusu suala la Ajira. Hana lolote anataka kutokea na Mtaji wa Ajira 2015, tumeshamshutukia Fisadi kama Kikwete tu

Mh.Lowassa ni mtu mashuhuri na mtu muhimu sana ktk siasa za Tanzania
na kama humfahamu basi wewe utakuwa mgeni hapa Tanzania.
Ni Mbunge wa Monduli na anaheshima kubwa kwenye Jimbo lake na kwa Nchi nzima
Mh Lowassa ameshakuwa na majukumu mengi sana nje na dani ya chama chake cha ccm.
Pi Mh.Lowassa ameshaingia kwenye kashfa mbalimbali za ndani na nje ya nchi na zote ni kashfa zenye akili,
kashfa zilizoenda shule,Mh.hana utani na pesa,anajua jinsi ya kuzitafuta na akiwekwa kwenye nafasi ya urais
anaweza kabisa kutuletea pesa nyingi hapa Tz na zingine akachimbia huko majuu kuongezea za kwake,
 
Hapo kwenye red pameniacha hoi. Bado nashindwa kuelewa wale wanaochanganya Press Conference na Press Release..... Kweli jamani we can't understand difference ya document na event? lol

Nawewe unaharibu lugha unapochanganya kiingereza na kiswahili kwenye sentensi moja, radha ya ujumbe inakuwa hovyo kabisa.
 
Amechelewa sana kuongelea na mambo haya labda angechukua ushauri wa mzee mwanakijiji aliwahi kushauri kuwa ajitokeze kujitetea maana sasa anaonekana kama kutapatapa tu

Hawezi kujitetea mkuu...labda aombe radhi na akae pembeni...

siyo moyoni tu ananuka harufu ya dhambi ila alienda kwa TB Josua labda katakasika ila nadhani ndo mwanzo wa kuomba msamaha kwa wa TZ

Inawezekana ngoja tusubiri tuone itakavyokuwa...

Hapo kwenye red pameniacha hoi. Bado nashindwa kuelewa wale wanaochanganya Press Conference na Press Release..... Kweli jamani we can't understand difference ya document na event? lol

Dah...hata mie huyu jamaa kanifanya nicheke sana...
 
Akakae kijijini kwake hatumtaki ..sisi tunataka Rais mwenye mapenzi na nchi yake ..sio magamba
ila watanzania wenzangu siwaelewi ..akitangaza azima yake utakuta asilimia 85 wamempa kura

Ni kweli kabisa Firstlady,
Hii ndo Tanzania usioijua,
wengi wa Tanzania ni kama machangudoa,ikifika siku anatangaza nia utakuta kila mtu anawashwa na
kumpa kura ya "NDIYO LAKINI"
 
Back
Top Bottom