Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Pamoko Mkuu. Mwache Mzee wa Richmond afunguke ili atujuze ushiriki wa M.kwere na Familia yake kwenye wizi wa rasilimali zetu. Na sasa wameiingilia NSSF.
 
Hakafu akimaliza kuongea, utaona magamba wanaandamana kumpongeza!!!!
 
tupo pamoja mkuu wa kazi - macho yetu, maskio yetu, akili zetu tunazielekeza monduli.
 
Hakafu akimaliza kuongea, utaona magamba wanaandamana kumpongeza!!!!
Unamaanisha akitangaza kuachia ngazi zote CCM? Hajaongea mkuu, let's wait and see what's going to happen.

Mwandishi wetu yupo tayari, muda ndo huu.
 
Vp wakuu jamaa kaanza kujivua gamba?
wenye access nae wamuulize vp kuhusu Rich-monduli na ile nyumba ya London.Na kwa nini anaonekana kuutaka urais wakati alikataliwa na Nyerere au yeye ushaauri wa Nyerere anauchukuliaje?
 
can't wait
Hakuna kituo chochote kinatangaza radio or tv?
 
Mkuu tupo pamoja, inawezekana anataka kujibu mapigo ya Sammy Six, lakini litakuwa jambo la msingi ikiwa atajivua gamba.
 
Back
Top Bottom