Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Anasema sasa imetosha kuchafua jina lake. Mtu atakayechafua jina lake anaenda mahakamani. Anaongeea bila mpangilio wowote
 
Natoa Tamko: MJINGAMJINGA TU.. MWOGAMWOGA TU.. HAFAI KWA LOLOTE... ANAOGOPA HATA KUSEMA SUuu!! SEMA USIKIKE WE BABA.. AU GAMBA LA MIAKA MINGI GUMU KUVULIKA??
 
hii inaitwa redio five na inamilikiwa na yeye mwenyewe el
duuh mkuu anauza chai tu ....
Na yeye anazungumzia inflation eti maisha yako
huyu anapiga kampeni na ni key indicator ya lowasa 2015 sasa naamini
 
Amemaliza hajaongelea Richmond, jamaa mtu wa ajabu sana.
 
Wakati wa maswali ila naona hawa radio five wamerudi studio kunani . Hope mkuu invisible anataendelea kutuupdate . Hamna cha kujivua gamba wala nini, sijui kama huyu jamaa atajisafisha mhhhhhhhhhh
 
Ameongea upupu tu, kawasumbua waandishi wa habari badala wakatafute hot news anaongea mambo hewani hewani tu
 
Mwenye kuweza kuipata radio 5 arusha anapatikana live (105.7 mhz)
 
Wakati wa maswali ila naona hawa radio five wamerudi studio kunani . Hope mkuu invisible anataendelea kutuupdate . Hamna cha kujivua gamba wala nini, sijui kama huyu jamaa atajisafisha mhhhhhhhhhh

Radio5 wamehofia aina ya maswali. Lakini wamesema watarudi baada ya dk 2
 
Back
Top Bottom