Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

kweli sisi binadamu wapumbavu sana , yaani tunawaza sana vitu tusivyokuwa na majibu. hivi nani anajua kuwa huyo lowassa atakuwa hai hiyo 2015? tumeongea na Mungu? hebu tuache akili za abunuwazi. Uhai wetu ni kama maua tu asubuhi yanachanua jioni yananyauka.
 
Safi sana mkuu nimeipenda tuhabalishe mpaka mwisho tujue nin atazungumza
 
Ninge.mshauri Lowas aachane na politics afanye biashara hii itamuumiza akili tu
 
kweli sisi binadamu wapumbavu sana , yaani tunawaza sana vitu tusivyokuwa na majibu. hivi nani anajua kuwa huyo lowassa atakuwa hai hiyo 2015? tumeongea na Mungu? hebu tuache akili za abunuwazi. Uhai wetu ni kama maua tu asubuhi yanachanua jioni yananyauka.

Na wewe palalisote

watu wanapanga miaka 20 ijayo wafanye nini wewe unahofu na miaka 3 ijayo ...la sivyo kusingekuwa na michakato endelevu
 
kweli sisi binadamu wapumbavu sana , yaani tunawaza sana vitu tusivyokuwa na majibu. hivi nani anajua kuwa huyo lowassa atakuwa hai hiyo 2015? tumeongea na Mungu? hebu tuache akili za abunuwazi. Uhai wetu ni kama maua tu asubuhi yanachanua jioni yananyauka.

wewe Palalisote kweli akili zako ninakutosha pekee yako,
kila mtu anapanga mipango yake kwa miaka mia moja na zaidi
na wala hafikirii kwamba kuna kufa ila kila binadamu ataonja umauti kaka
na kama unafikiria umauti wakati wote basi utakuwa huutendei mwili wako haki
kwa sababu kufa lazima ufe na kazi lazima ufanye kabla ya umauti.Hii ni ahadi na adhabu tuliyopewa
na mwenyenzi mungu kutokana na makosa/dhambi tuliyoifanya.
Pole sana kama unakaa ukiwaza mawazo ya KIFO.
 
kweli wewe technician unamuwaza lowassa kuliko hata maisha yako
 
Kumbe kuna watu bado wanamuwaza huyu mzee!!.
 
huyu mzee chizi kwelikweli. Ndo upupu gani huu kaujaza hapo kwenuye makaratasi? Hakuna point yoyote ya maana aliyoizungumzia kabiasa. Huu ni uchawi maana mvi zake zinaonesha kuwa ni mzee.

Ujanani mwake alikuwa mnafiki lakini sasa ni mchawi tu huyu. Ptuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
I can't believe kuwa ameitisha press kwa ajili ya haya tu aliyoyasema, yani kikubwa ni kuwanyamazisha waandishi wenyewe, kweli hatufiki mbali na hapa naiona harufi ya kutaka kugombea urais

Pambaf...
 
Nitamwunga mkono Lowasa hadi dakika za mwisho za uhai wangu maana naamini ndiye kiongozibora kwa mikakati ya kutengeneza pesa ili yeye na mie tufaidi pamoja
 
huyu mzee chizi kwelikweli. Ndo upupu gani huu kaujaza hapo kwenuye makaratasi? Hakuna point yoyote ya maana aliyoizungumzia kabiasa. Huu ni uchawi maana mvi zake zinaonesha kuwa ni mzee.

Ujanani mwake alikuwa mnafiki lakini sasa ni mchawi tu huyu. Ptuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwani wazee wote ni wachawi??
 
Kwa hali hii, siku nyingine akiitisha PC Waandishi wanaweza wasiende kumsikiliza, atakosaje muda wa kuelezea yale ya msingi yanayomgusa-suala la richmond, kujivua gamba, nk??

Mshauri wake pengine hakumshauri vizuri au anataka kusoma upepo (upande wa pili wata-react vipi)?

Hakukuwa na haja ya kuitisha PC halafu unaongelea yale yale ya hatukujuana barabarani, vijana hawana ajira nk- you have to move a step further otherwise unyamaze!!
 
Back
Top Bottom