khairun
Member
- May 10, 2012
- 68
- 42
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..
Usahihi:
Kulikuwa na maandalizi mabovu ya mkutano, hasa upande wa spika. Hata hivyo mkutano huo utarudiwa tena kwa ajili ya kuweka maandalizi vizuri. Hayo aliyasema pia Mh Tundu Lissu
Source: ITV