Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

khairun

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
68
Reaction score
42
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..
Usahihi:

Kulikuwa na maandalizi mabovu ya mkutano, hasa upande wa spika. Hata hivyo mkutano huo utarudiwa tena kwa ajili ya kuweka maandalizi vizuri. Hayo aliyasema pia Mh Tundu Lissu

Source: ITV
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

Siku nyingine ukienda haja kubwa usisahau kuchamba. Unaona sasa unavotoa harufu??
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

Uongo sio mzuri, Leo haikuwa ratiba ya geita ila mamia ya wanageita walikuwa wanamsubiri ikalazima chopa ishuke ili akawasalimie na akawaambia atakuja siku iliyopangwa
 
Isitoshe saa 11.20 ? Si bado nusu saa, saa wa kampeni uishe
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

Najiuliza hapa mahaba mliyonayo kwa mhe Lowassa sasa na uzee wake,vipi wakati akiwa kijana? Maana hatunywi maji Lowasaaa! Lowasaaa!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

Lowassa ni sawa na fundi, hana maneno mengi kama makufuli na JK. Na akiongea ujue ni madini tuuu na sio porojo!! Yeye ni wa vitendo!!
 
Back
Top Bottom