Lowassa, Chenge were lined up for Speaker's job

Lowassa, Chenge were lined up for Speaker's job

Kilichobakia ndani ya nchi yetu hii ni MOB JUSTICE. Utawala wa sheria kama unavyoelezeka kwenye vitabu na majukwaa ya siasa unahusiana na walalahoi pekee.
Kuna watu watachukizwa, watanuna na wataona nahimiza uvunjaji sheria. Lakini kilichobakia na kinachoonekana kila tunapoamka na kusoma matukio na yanayosemekana kupangwa ndiyo hayo.

Hata hivyo kuna pahala kadhaa hiyo habari juu haijitoshelezi. Kwamba,

Kitu kama hiki sidhani kinaweza kusukwa bila wao kufahamu. Kuna ulakini hapa.
Mkuu SteveD,hawa watu ndiko wanakotupeleka.
 
Wewe ni miongoni mwa Watanzania waliolala fofofo huku nchi ikiangamia. La sivyo ni mmoja wa watu wanaonufaika na ufisadi wa hawa watu. Kwa taarifa yako hawa mafisadi wamejipanga vizuri sana kwa kutumia udhaifu na ufinyu wa akili za watanzania walio wengi (utapima kama na wewe ni mmojawapo) kujaribu kujinasua na tuhuma nyingi zinazowakabili. Issue ni kwamba bado wana nia ya kutaka kuendeleza ufisadi, na hawawezi kufanya hivyo wasipokuwa kwenye power.
Mara baada ya kikao cha Bunge walikutana Mbozi, shambani kwa kigogo wa zamani wa Usalama wa Taifa, ambaye ni mtu wao. Walipanga kumng'oa Sitta na kumpachika mtu wao ili kazi kubwa ya Kwanza iwe kuwasafisha na tuhuma zote zinazowakabili na baadaye kuweka mikakati ya kutwaa urais.
Hili watu wa Usalama wa Taifa wanalijua, kama wanavyojua jinsi pesa zilivyotembea kwa wajumbe wa NEC kuanzia Z'bar, Dar es Salaam na baadaye Dodoma. Lakini kwa kuwa hakuna kinachofanyika, inabidi sisi wana wa nchi tujadili hatua za kuchukua... Au mnasemaje? Kama wote tutakuwa na mawazo kama ya huyu MTM na vibaraka wengine wa mafisadi nchi hii itaangamia. Amini amini nawaambia watu hawa hawana nia njema na nchi hii hata kidogo. Vizazi vijavyo vitatushangaa kwa utaahira wa kuiacha nchi ikiwa maskini licha ya kuzungukwa na resources ambazo zingetufanya tuwe miongoni mwa nchi tajiri katika bara hili la Afrika. Amkeni jamani...

Mze Punch, sijawahi unga mkono ufisadi, soma post zangu humu zaidi ya 1000; tatizo wewe umedandia treni kwa mbele kwa sababu ulitaka niandike utakavyo... soma majibu yangu kwa SteveD na another fella huko page 2 ya hii thread... my worry is on strategies and not information... too many fronts zinaleta dilution ya mikakati. Napenda this day na nasoma sana ripoti za humu jamvini!!! Na najifunza mengi, SIKATAI WALIKUTANA MBEYA, NA SIKATAI WALIKUWA NA BIRTHDAY PARTY NA SIKATAI WAMEPIGA VITA DHIDI YA USAWA NA HEKIMA NA SIKATAI KWAMBA WALIMPINGA SITTA [THREAD YA FMES IKO VERY CLEAR] NA PIA SIKATAI YA RIPOTI YA MEREMETA

NINACHOKATAA NI KWAMBA TUSIPOANGALIA, TUTADILUTE EFFORTS NA KUFANYA UFISADI UWE KAMA ADA, JARIBU KUELEWA BETWEEN THE LINES, OTHERWISE TAKE IT AS YOU WANT

WANASEMA KABLA HUJAMUELEWA MTU, ULIZA KWANZA

ONCE AGAIN, I AM CLEAR IN MY STANCE AND I WOULD NEVA SUPPORT FISADIZATION BECAUSE I AM ALSO A VICTIM, WANAONIJUA WATASEMA
 
Nimeona hiyo mapema tu mkuu, ndiyo maana nika comment hapo juu kuhusiana na jinsi ilivyo andikwa.

Lakini ninachoona mimi kinaifanya hii habari iwe na percentage kubwa ya ukweli ni mapokezi ya Mh. Sitta Urambo. What a parallel coincidence!!

Yaani mkuu hapo ndio na mimi nimechoka, habari inawezekana kabisa kwamba ina ukweli, tatizo ni lilelile.... labda mngefanya kama zile ripoti nyingine za uchunguzi halafu mpige chapisho moja tu la mlolongo mzima wa matukuio against sitta halafu mtaona watu wanavyoumbuka, kwasasa kuna ukweli na sehemu nyingine ushabiki; which runs a risk of diluting true and good work with hoax from fisadis

...niliona this day [nadhani na Nipashe au Mtanzania Daima] wakisema kwamba Tabora mjini hapakuwa na mapokezi makubwa sana, hadi alipofika Urambo; badae ndio nikajua kuna watu kibao arusha na monduli, ila majority hawakusema kwamba wako monduli mpaka walipoonekana kwenye picha

hayo tuyaache
 
mze punch, sijawahi unga mkono ufisadi, soma post zangu humu zaidi ya 1000; tatizo wewe umedandia treni kwa mbele kwa sababu ulitaka niandike utakavyo... Soma majibu yangu kwa steved na another fella huko page 2 ya hii thread... My worry is on strategies and not infomration... Too many fronts zinaleta dilution ya mikakati. Napenda this day na nasoma sana ripoti za humu jamvini!!! Na najifunza mengi, sikatai walikutana mbeya, na sikatai walikuwa na birthday party na sikatai wamepiga vita dhidi ya usawa na hekima na sikatai kwamba walimpinga sitta [thread ya fmes iko very clear] na pia sikatai ya ripoti ya meremeta

ninachokataa ni kwamba tusipoangalia, tutadilute efforts na kufanya ufisadi uwe kama ada, jaribu kuelewa between the lines, otherwise take it as you want

wanasema kabla hujamuelewa mtu, uliza kwanza

once again, i am clear in my stance and i would neva support fisadization because i am also a victim, wanaonijua watasema


------------------------------------------------------------------
nimekupata mkuu, kumbe tupo pamoja. Unajua haya mambo yanaudhi kupita kiasi ndio maana wakati mwingine tunakuwa na jazba. Sorry, tuendeleze mapambano...
 
------------------------------------------------------------------
nimekupata mkuu, kumbe tupo pamoja. Unajua haya mambo yanaudhi kupita kiasi ndio maana wakati mwingine tunakuwa na jazba. Sorry, tuendeleze mapambano...

Nimefarijika sana Mzee Punch

PAMOJA SANA
 
Thanks for the details.
Tha bad thing with our country is the informal jungle law operationalised in the system kinyemela. Mfa maji haachi kutapatapa. Tunawasubiri 2010 watakapokuja tena kutuomba kula. Walafi hawana nafasi tena.

Leka
 
Lile movie kali la Richmonduli bado linaendelea, steering wote bado wapo, nadhani litaisha December 2010.
 
Kinachoshangaza ni courage ya watu kuhalalisha ubaya biya haya wala soni..
Mtu anakuibia na anajua kwamba unajua amekuibia lakini bado anakushawishi uamini kwamba hajakufanyia ubaya! Simply kwa sababu ameweza kuepuka mfumo wetu wa sheria.
 
Daa kweli nchi hii haina mwenyewe wale wote mafisadi wanathubutu kutaka tena uongozii kama ule wa speaker haahha yaani hata jumuia za kimataifa zinatushangaa sana kama Zimbabwe vile hatuna hata aibu....hivi hawa wajumbe wamekuwa na tamaaa na wamesahau hata wajibu wao kikatiba???yaani inaniuma sana hawa mafisadi....ila dawa yao inakuja
 
Kinachoshangaza ni courage ya watu kuhalalisha ubaya biya haya wala soni..
Mtu anakuibia na anajua kwamba unajua amekuibia lakini bado anakushawishi uamini kwamba hajakufanyia ubaya! Simply kwa sababu ameweza kuepuka mfumo wetu wa sheria.

Mbaya zaidi ni kwamba umemkamata akiiba unapiga kelele za 'mwiziii...' halafu anakugeuzia kibao na kukuita wewe ndio mwizi na anataka uuawe kabisa. Hivi ndivyo wanavyofanya hawa mafisadi.
 
Daa kweli nchi hii haina mwenyewe wale wote mafisadi wanathubutu kutaka tena uongozii kama ule wa speaker haahha yaani hata jumuia za kimataifa zinatushangaa sana kama Zimbabwe vile hatuna hata aibu....hivi hawa wajumbe wamekuwa na tamaaa na wamesahau hata wajibu wao kikatiba???yaani inaniuma sana hawa mafisadi....ila dawa yao inakuja

Tati ni nguvu za ajabu walizonazo na jumuiya za kimataifa zipo humu zinatuangalia; jaribu kutafakari wamarekani watoa mabilioni kwenye Millenium Challenge Account na waingereza ndio usiseme lakini ni wazungu from those countries walio very much behind most of the current problems

They are very succesful because they have used tactics za kirusi (HIV Virus), ambacho huingia ndani ya mwili, tissue, cells na nucleus kummaliza mgonjwa... and there they are, government, ruling party, NEC na CC... the only way out is for the victim to die, unless some miracles happen!!!!!!!
 
Uzuri wa haya yote, Mungu amekuwa upande wa wale wanaoitakia mema nchi hii. Ametuonyesha mapema kasoro za uongozo tulionao sasa angalau mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ili tuweze kupima ni upi mchele kati ya pumba nyingi. Fikiria watu wapeane kiasi cha kati ya Tshs 4 - 5mill, ili kumwondoa mtu mmoja na bado wakashindwa, wataweza vipi kuwaaondoa walio wengi kwenye mapambano ya ufisadi hapo mwakani ikiwa wao wenyewe wako katika vita ya kujinusuru kutoswa kwenye sanduku la kura? Hakika CCM imeshindwa kusoma alama za wakati!

Tatizo la Tanzania yetu wapiga kura wengi wapo vijijini na wengi wao hawajui kinachoendelea na wao wanajua CCM tu japo sehemu zingine kumeanza kuwa na mwamko. Ni vyema vyama vya siasa vya upinzani wakajikita huko vijijini kuwaelimisha watu wajue kuwa shida na tabu nyingi na ugumu wa maisha walionano umesababishwa na ubinafsi na ufisadi wa CCM.
 
- Badala ya kuwepo Segerea where they belong, wapo bungeni na wanajaribu hata kuchukua u-Spika wa Jamhuri, only in Tanzania inawezekana haya mambo.

- Hii cancer ya Lowassa sijui tutaondokana nayo vipi na lini, maana inaonekana it is here to stay mpaka arudi kwenye power by any means necessary! Naona uamuzi ni wetu wananchi kumruhusu au kutomruhusu!

Mungu Aibarikie Tanzania!

Respect.

Field Marshall Es.

Yeye anajua kuwa akishafanikiwa kuwa mgombea wa urais kupitia CCM hakuna wa kumzuia kuchaguliwa. Ila haya yote ni mambo ambayo yanahitaji uongozi Imara na usio na woga hata kidogo kutoa maamuzi magumu kuyamaliza. Na huyu jamaa tusipoangalia anachukua nchi hii ameisha invest vya kutosha ndani ya CCM. Kama kaweza kushawishi viongozi wa juu kufanya mchezo wa "ZE COMEDY" basi tusipoangalia atakuwa ni next Presidential candidate wao.
 
Jamani, naona sasa kama tunaanza kupoteza mwelekeo... tumekuwa too much "gossip mongers", kama ni kweli basi mtu kabla hajashare news awe tayari kutoa ushahidi!!

Mimi naona sasa tumekuwa tunatumika tu na waandishi wa habari wanaogeuza hata siasa na utawala wa nchi yetu kama novel na riwaya fupifupi ili wauze magazeti ambayo kwa sasa hayana tofauti kubwa na vitabu vya "someni kwa furaha" n.k.

Vita dhidi ya ufisadi itashindwa kama watanzania watakuwa na "too many fronts"!!!

Lets be focused on a few fronts [with evidence kama ripoti zilizofanyiwa uchunguzi] na kupambana kwenda mbele

KILA KITU KINAWEZEKANA CHINI YA JUA --- HATA MAENDELEO YA KWELI YA NCHI YETU



Wewe ni miongoni mwa Watanzania waliolala fofofo huku nchi ikiangamia. La sivyo ni mmoja wa watu wanaonufaika na ufisadi wa hawa watu. Kwa taarifa yako hawa mafisadi wamejipanga vizuri sana kwa kutumia udhaifu na ufinyu wa akili za watanzania walio wengi (utapima kama na wewe ni mmojawapo) kujaribu kujinasua na tuhuma nyingi zinazowakabili.


Mara baada ya kikao cha Bunge walikutana Mbozi, shambani kwa kigogo wa zamani wa Usalama wa Taifa, ambaye ni mtu wao. Walipanga kumng'oa Sitta na kumpachika mtu wao ili kazi kubwa ya Kwanza iwe kuwasafisha na tuhuma zote zinazowakabili na baadaye kuweka mikakati ya kutwaa urais. Hili watu wa Usalama wa Taifa wanalijua, kama wanavyojua jinsi pesa zilivyotembea kwa wajumbe wa NEC kuanzia Z'bar, Dar es Salaam na baadaye Dodoma. Lakini kwa kuwa hakuna kinachofanyika, inabidi sisi wana wa nchi tujadili hatua za kuchukua... Au mnasemaje? Kama wote tutakuwa na mawazo kama ya huyu MTM na vibaraka wengine wa mafisadi nchi hii itaangamia. Amini amini nawaambia watu hawa hawana nia njema na nchi hii hata kidogo. Vizazi vijavyo vitatushangaa kwa utaahira wa kuiacha nchi ikiwa maskini licha ya kuzungukwa na resources ambazo zingetufanya tuwe miongoni mwa nchi tajiri katika bara hili la Afrika. Amkeni jamani...

It seems these guys (ThisDay) have got a very reliable source.

Acheni kutufanya sote kuwa asusa za kazi zenu za UHANDISI WA HABARI. Hawa jamaa wanaweza wakawa wanasumbuliwa na arrogance ya power lakini kamwe si wajinga kiasi cha kupendekeza LOWASA na CHENGE kuwa SPIKA...


omarilyas
 
Guys to be honest sijui ni kwanini na kerwa the more i come to JF the more am getting frustrated about this country. It is like someone who is having family problems. Au ni kwa kuwa am trying to be patriotic??

Inaudhi...inaudhi...inaudhi BIG TIME the way watanzania tunafanywa wajinga kila mtu......GRRIIIIIIIIIII
 
UZURI ULIOPO SASA NI KWAMBA ndani ya ccm yenyewe hakuna siri tena, kila move wanayoianzisha gizani basi kwa kudura za mwenyezi MUNGU yanakuwa adharani, na hizo ni dalili za anguko kuu la timu ya EL,
mimi sidhani kama kuna mtu asiyejua kuwa kikwazo kikubwa kwa Mafisadi wote ni Bunge na hasa Spika, sasa ili mambo yao yaende lazima waweke mtu wao ambaye kwa asilimia kubwa inaonekana kuwa haiwezekani
 
duh hiii nji imechafuka kabisa aisee arawa,hapa mi nase..nasema kweli utawala wa sheria hauwesi fanya kazi nanihiii,hakyamungu naapa,tuchukue tu sharia mononi aisee,tutakufa hivihivi tunajiona yani! yewiii,nakufa na mtu mwakani simpi KURA yangu fisadi nataka changes kama sile sa marekani jusi jusi hapa.nanii ni noma chali wangu haya masha na hii nji!!!
 
UZURI ULIOPO SASA NI KWAMBA ndani ya ccm yenyewe hakuna siri tena, kila move wanayoianzisha gizani basi kwa kudura za mwenyezi MUNGU yanakuwa adharani,

That is very true... YAANI UMENIKUMBUSHA ENZI ZILE TUNAWATEGEA KENGE MAYAI YA KUCHEMSHA, HATA AKILA USIKU, LAZIMA ASUBUHI UTAMKUTA KATOA MACHO BAADA YA KUKWAMWA NA YAI KOONI...

MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI...
 
Back
Top Bottom