Its very painful kuona watu tunashabikia hii spinning ya ndugu yetu Mzee Mengi, waandishi wa habari waliojaa urambo walikuwa ni wa IPP MEDIA, bahati mbaya maandamano yakawa a BIG BIG FLOP, ikabidi aite waandishi wa habari nyumbani kwake nidyo aongee na kesho yake akaenda kwenye mkutano wa injili tabora mjini ili anagalau Mengi apate picha zenye umati wa watu. Gazeti la serikali Habari Leo na menigne mawili yalisema masafara ulikuwa na magari mawili urambo.. Inasikitisha na inauma, nilifikiri Sitta ni kipenzi cha wananchi.
Lakini jamani tuangalie hata hii habari yenyewe:
It has been confirmed that the entire plan to remove Sitta and put in place a smooth replacement system was hatched and finalized during a series of secret meetings in Dodoma, Dar es Salaam and Mbeya ahead of the Dodoma meetings involving CCMs central committee and national executive committee (NEC).
Kwenye gazeti lao la kiswahili KULIKONI walisema vikao vingne vilifanyika Zanzibar, kwahiyo hapa unaongelea kona zote za nchi, yaani Dodoma, Dsm, Mbeya na Znz, kwa maana hii upinzani wa Spika kwenye chama chake ni mkubwa sana.. tujiulize kwanini? Tusishabikie wamenunuliwa, maana yake ndiyo easy way out siku hizi, huwezi kununua wenzako wenye akili timamu ili waseme ambayo hawayaamini, hata kama ungekuwa Bill Gates.
Halafu hii spinning kusema a reliable source bila kumtaja nidyo yale yale ya kuaminishwa mambo ili wafikishe ujumbe wao, lakini bado hiyo source inasema hana uhakika kama Lowassa na chenge walikuwa na taarifa.. maana yake nini sasa??
He continued: The names that came up were Lowassa or Chenge. But would either of them have actually agreed to have their names nominated for election as Speaker, had the plot to remove Sitta succeeded? Of that I am not sure.
It is also unclear if either Lowassa or Chenge were even aware that they were in line to replace Sitta at short notice, if it had come to that.
Yale yale niliyosema ya kununuliwa, kwahiyo mnataka kuniambia Mzee Kingunge alipewa Tsh ngapi?? Alisema Sitta hatufai na arudishe kadi yetu.
According to THISDAY findings, the plot to remove Sitta from the post of Speaker is understood to have involved large sums of money exchanging hands within the CCM-NEC ranks.
What a shame?? Tunasema leo wajumbe walipewa 3M na 5M, mimi ningekuwa mwenyekiti wa CCM ningewa-summon hili gazeti ili wathibitishe, yaani hizo pesa ndiyo za kununua wajumbe wa NEC? Embu haraka haraka jitajie mwenyewe majina ya wajumbe wa NEC wenye shida na 3M - 5M, mpaka wajidhalilishe kuongea jambo ambalo hawaliamini mbele ya umati wote huo
Sources say some NEC members received between 3m/- and 5m/- 'to ensure that the plan to get rid of Sitta succeeded.'
Hii closing statement ndiyo ya kufa mtu, inasikitisha. Tumeona picha kwenye magazeti ya Mengi wakijaribu kutafuta best angles ili tuamni kulikuwa na watu imeshindikana, watu siyo wajinga tena.
Speaker Sitta was on Saturday accorded a heros welcome on returning to his Urambo parliamentary constituency in the wake of the failed plot to oust him. He vowed to soldier on with his work in the National Assembly, to ensure greater transparency and accountability in government.
Jamani vita ya ufisadi ni muhimu kwa taifa lolote, lakini ni muhimu ifnaywe bila kuonea watu fulani. Mengi anataka kutuaminisha mafisadi ni hao aliowataja yeye, bahati nzuri tukapewa facts za ufisadi wake na akabatizwa FISADI NYAGUMI, lakini zote hizo ni allegations tu ambazo zimeruhusiwa kwenye vyombo vya habari, lakini hamna mtu mwenye haki ya kumnyooshea mwenzake kidole kumuita fisadi, tusimamie sheria zetu vizuri na haya mambo hayatasumbua, UFISADI sasa hivi unatumika kama kete ya kisiasa kuwashughulikia watu wote waliokuwa karibu na JK tu. Kwa mwendo huu hatutafika popote.