Tetesi: Lowassa huenda akang'atuka CHADEMA mwanzoni mwa mwaka 2018

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinaniambia aliyewahi kuwa waziri mkuu wa awamu ya nne huenda akaachana na Chama hicho na Kustaafu siasa moja kwa moja.

Hata hivyo Mheshimiwa Lowassa Amekuwa mgumu kuelezea mustakabali wake wa kiasa hadharani na Kusisitiza kuwa anajisikia mwenye amani ndani ya Chadema.

Lakini chanzo kinasema Lowassa yupo mbioni kuondoka na Inadaiwa hataendelea na shughuli za siasa za ushindani hivyo anatarajiwa kustaafu siasa za Ushindani.

Chanzo hicho ambacho kipo na Mwanae wa kiume (Richard) ambaye ni Mshauri wake kinasema Familia imemshauri nguli huyo wa siasa kuachana na Siasa ili awe karibu na familia yake.

Mheshimiwa Lowassa alitimkia Chadema Mara baada ya kushindwa vibaya katika uteuzi wa mgombea urais ndani ya CCM.

Hata hivyo mkimbia matatizo huyu hakuweza kufua dafu katika Uchaguzi wa mwaka 2015 Mara baada ya Kushindwa vibaya dhidi ya Mgombea mwenzie Rais John Pombe Magufuli.
 
Aachane na siasa na akatubu kwa yote aliyotenda kwa Taifa hili.
 
Hizo ni propaganda tu na ya kwamba hazina ukweli wwte zinalengo la kupotosha umma hivo basi naomba zipuuzwe na kila mtanzania mwnye akili timamu
 
Huku ndiyo kunaitwa kujibaraguza,kupoteza maboya,kuyeyusha au kupiga magirini.Hoja za Askofu Shao na Kakobe mmezijibu?
 
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinaniambia aliyekua waziri mkuu wa awamu ya nne huenda akaachana na Chama hicho na Kustaafu siasa moja kwa moja.

Hata hivyo Mheshimiwa Lowassa Amekua mgumu kuelezea mustakabali wake wa kiasa hadharani na Kusisitiza kuwa anajisikia mwenye amani ndani ya Chadema.

Lakini chanzo kinasema Lowassa yupo mbioni kuondoka na Inadaiwa hataendelea na shughuli za siasa za ushindani hivyo anatarajiwa kustaafu siasa za Ushindani.

Chanzo hicho ambacho kipo na Mwanae wa kiume (Richard) ambaye ni Mshauri wake kinasema Familia imemshauri nguli huyo wa siasa kuachana na Siasa ili awe karibu na familia yake.

Mheshimiwa Lowassa alitimkia Chadema Mara baada ya kushindwa vibaya katika uteuzi wa mgombea urais ndani ya CCM.

Hata hivyo mkimbia matatizo huyu hakuweza kufua dafu katika Uchaguzi wa mwaka 2015 Mara baada ya Kushindwa vibaya dhidi ya Mgombea mwenzie Rais John Pombe Magufuli.
Kweli wewe torolli
 
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinaniambia aliyewahi kuwa waziri mkuu wa awamu ya nne huenda akaachana na Chama hicho na Kustaafu siasa moja kwa moja.

Hata hivyo Mheshimiwa Lowassa Amekuwa mgumu kuelezea mustakabali wake wa kiasa hadharani na Kusisitiza kuwa anajisikia mwenye amani ndani ya Chadema.

Lakini chanzo kinasema Lowassa yupo mbioni kuondoka na Inadaiwa hataendelea na shughuli za siasa za ushindani hivyo anatarajiwa kustaafu siasa za Ushindani.

Chanzo hicho ambacho kipo na Mwanae wa kiume (Richard) ambaye ni Mshauri wake kinasema Familia imemshauri nguli huyo wa siasa kuachana na Siasa ili awe karibu na familia yake.

Mheshimiwa Lowassa alitimkia Chadema Mara baada ya kushindwa vibaya katika uteuzi wa mgombea urais ndani ya CCM.

Hata hivyo mkimbia matatizo huyu hakuweza kufua dafu katika Uchaguzi wa mwaka 2015 Mara baada ya Kushindwa vibaya dhidi ya Mgombea mwenzie Rais John Pombe Magufuli.
Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno.
 
Mkuu siasa tamu, umeshindwa kuvumilia kukaa kimya kama ulivyotamka awali!
 
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinaniambia aliyewahi kuwa waziri mkuu wa awamu ya nne huenda akaachana na Chama hicho na Kustaafu siasa moja kwa moja.

Hata hivyo Mheshimiwa Lowassa Amekuwa mgumu kuelezea mustakabali wake wa kiasa hadharani na Kusisitiza kuwa anajisikia mwenye amani ndani ya Chadema.

Lakini chanzo kinasema Lowassa yupo mbioni kuondoka na Inadaiwa hataendelea na shughuli za siasa za ushindani hivyo anatarajiwa kustaafu siasa za Ushindani.

Chanzo hicho ambacho kipo na Mwanae wa kiume (Richard) ambaye ni Mshauri wake kinasema Familia imemshauri nguli huyo wa siasa kuachana na Siasa ili awe karibu na familia yake.

Mheshimiwa Lowassa alitimkia Chadema Mara baada ya kushindwa vibaya katika uteuzi wa mgombea urais ndani ya CCM.

Hata hivyo mkimbia matatizo huyu hakuweza kufua dafu katika Uchaguzi wa mwaka 2015 Mara baada ya Kushindwa vibaya dhidi ya Mgombea mwenzie Rais John Pombe Magufuli.
IMG-20171224-WA0024.jpg
 
acha kututoa kwenye maada ya viongozi wa wadini Asskofu Shao pamoja na Askofu kakobe wamemsema ukweli si hapendi kuambiwa ukweli sijui kajaa vibaya mno
 
We jamaa so ulisema umeacha kuzungumzia masuala ya siasa?au umesahau?
 
Back
Top Bottom