Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinaniambia aliyewahi kuwa waziri mkuu wa awamu ya nne huenda akaachana na Chama hicho na Kustaafu siasa moja kwa moja.
Hata hivyo Mheshimiwa Lowassa Amekuwa mgumu kuelezea mustakabali wake wa kiasa hadharani na Kusisitiza kuwa anajisikia mwenye amani ndani ya Chadema.
Lakini chanzo kinasema Lowassa yupo mbioni kuondoka na Inadaiwa hataendelea na shughuli za siasa za ushindani hivyo anatarajiwa kustaafu siasa za Ushindani.
Chanzo hicho ambacho kipo na Mwanae wa kiume (Richard) ambaye ni Mshauri wake kinasema Familia imemshauri nguli huyo wa siasa kuachana na Siasa ili awe karibu na familia yake.
Mheshimiwa Lowassa alitimkia Chadema Mara baada ya kushindwa vibaya katika uteuzi wa mgombea urais ndani ya CCM.
Hata hivyo mkimbia matatizo huyu hakuweza kufua dafu katika Uchaguzi wa mwaka 2015 Mara baada ya Kushindwa vibaya dhidi ya Mgombea mwenzie Rais John Pombe Magufuli.