Akapumzike tu kwao Monduli na Regina ili akachunge ng'ombe wake 800. Siasa zimeshamtupa mkono. CCM nawapongeza kwa kumbwaga huyu fisadi
Mkuu Nguruvi3,
Umechambua Vyema Sana. Naomba nikuulize maswali matatu:
1. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwake kisiasa?
2. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama atakachohamia?
3. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama chama cha mapinduzi?

Maswali mazuri sana haya Mchambuzi.
- Nafikiri CCM hawamwoni EL kama "individual" bali wanamwona EL kama "organization" mpya ndani ya chama chao.
- Hivyo naona CCM strategist wana-contain EL waves kama wanavyocontain waves zingine zinazotishia usalama wa taifa.
Tofauti na fikra za wengi kuwa EL ni tishio kwa CCM wao CCM wanamwona EL kuwa ni tishio LA usalama wa taifa.
Kula like👍 mkuu1. Kashfa ya Richmond ndo imemponza Lowassa - regardless of namna alivyohusika. Na lawama anastahili yeye mwenyewe kwa hili. Richmond ulikuwa ni mchezo wa hatari kwake hata kama na wenzake waliwahi kucheza michezo kama hiyo na wakasitiriwa. He has only himself to blame on this one.
2. Ametoswa na serikali nzima ya sasa na iliyostaafu. Bado ana marafiki wengi lakini hawakuwa na "power" ya kumwezesha kutimiza career aspirations zake. Sasa ajifunze tu hata kwa umri huu alionao sasa kwamba binadamu hawaaminiki; hata marafiki zake ambao hakukutana nao "barabarani" wamethibitisha hilo kwa matendo yao. Alipaswa tu kuwa makini yeye mwenyewe badala ya kuwekeza kwa marafiki.
By the way, yaliyomtokea Lowassa liwe somo lenye manufaa kwa wengine.
Kabla sijapitia hoja naomba nichangie hoja inayosema haiwezekani mtu kuhonga watu milioni moja.Mkuu Nguruvi3,
Umechambua Vyema Sana. Naomba nikuulize maswali matatu:
1. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwake kisiasa?
2. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama atakachohamia?
3. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama chama cha mapinduzi?
Mchakato wa kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM umeshakamilika, na mgombea aliyepatikana ni John Pombe Magufuli. Pamoja na hayo, ukweli unabakia kwamba katika mchakato wa kutafuta wadhamini, ni Edward Lowassa ndiye aliyeungwa mkono na wanachama na makada wengi wa CCM kuliko mgombea mwingine yoyote.
Edward Lowassa aliungwa mkono na wanachama karibia milioni moja wa Chama Cha Mapinduzi. Pamoja na jina la Edward Lowassa kutorudishwa na vikao vya ngazi za juu ya CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, suala la Lowassa kupata wadhamini karibia milioni moja ni suala ambalo halitakiwi kuchukuliwa kimasihara au kubezwa, kote - ndani na nje ya CCM. Kwanini tunasema hivyo:
1. Wadhamini hawa karibia milioni moja ni mchanganyiko wa wanachama na viongozi wa ngazi mbali mbali wa CCM. Wanatoka katika kona mbalimbali za Tanzania. Ni hawa ambao kwa kawaida, ndio wanaochukuaga jukumu la kumbeba na kumnadi mgombea urais (CCM) baada ya jina la mgombea kupatikana.
2. Kwa kuzingatia historia inavyotueleza, upinzani umeweza kunyakua makada wengi wa CCM baada ya makada hao kuenguliwa majina yao na vikao vya juu vya chama, licha ya makada husika kukubalika na kuwa chaguo la wanachama na makada wengi wa ngazi za chini. Kilichofuatia ni kwamba, CCM ilikuja kupoteza majimbo kadhaa kwa upinzani.
Kama ilivyotokea huko nyuma kwa makada kadhaa kuenguliwa katika vinyanganyiro cha ubunge hivyo safari yao ya matumaini kuzimishwa na vikao vya juu vya CCM licha ya kukubalika na makada wengi wa ngazi za chini za CCM, hali hii imejitokeza kwa mara ya kwanza katika kinyanganyiro cha kutafuta mgombea urais (CCM) ambapo, Safari ya matumaini ya Edward Lowassa kubeba bendera ya CCM (urais) 2015, Safari hiyo imezimwa rasmi na vikao vya juu vya chama cha mapinduzi. Je:
· Edward Lowassa alikosea wapi katika safari yake ya matumaini ndani ya CCM?
Na iwapo itatokea akashawishika kuendelea na safari yake ya matumaini kupitia chama kingine cha siasa kama ilivyotokea kwa makada wengine walioenguliwa kwenye vinyanganyiro vya ubunge (CCM), ili kutimiza safari yake ya matumaini nje ya CCM, je:
· Edward Lowassa arekebishe wapi ili kufika safari yake ya matumaini nje ya CCM?
Je:
· Edward Lowassa alikosea wapi katika safari yake ya matumaini ndani ya CCM?
Na iwapo itatokea akashawishika kuendelea na safari yake ya matumaini kupitia chama kingine cha siasa kama ilivyotokea kwa makada wengine walioenguliwa kwenye vinyanganyiro vya ubunge (CCM), ili kutimiza safari yake ya matumaini nje ya CCM, je:
· Edward Lowassa arekebishe wapi ili kufika safari yake ya matumaini nje ya CCM?
1. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwake kisiasa?
2. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama atakachohamia?
3. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama chama cha mapinduzi?
KOSA KUBWA alilolifanya ni pale alipoamua kuzira/kukubari kujiuzuru u-PM kwa sakata la Richmond, wakati lilikuwa dili lake na Mkulu.
Uchu wa kupitiliza wa Madaraka + Namna mbaya ya kukabiliana na Changamoto + Fikra Potofu ya Pesa ni kila kitu + Kiburi kwa Viongozi Serikalini na Chamani + Wafuasi waliolewa mapesa na matumaini ya madaraka = Kuanguka Kwake.
Na kama akiyaendeleza hayo anaenda kuanguka zaidi ya hapa.
Mchakato wa kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM umeshakamilika, na mgombea aliyepatikana ni John Pombe Magufuli. Pamoja na hayo, ukweli unabakia kwamba katika mchakato wa kutafuta wadhamini, ni Edward Lowassa ndiye aliyeungwa mkono na wanachama na makada wengi wa CCM kuliko mgombea mwingine yoyote.
Edward Lowassa aliungwa mkono na wanachama karibia milioni moja wa Chama Cha Mapinduzi. Pamoja na jina la Edward Lowassa kutorudishwa na vikao vya ngazi za juu ya CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, suala la Lowassa kupata wadhamini karibia milioni moja ni suala ambalo halitakiwi kuchukuliwa kimasihara au kubezwa, kote - ndani na nje ya CCM. Kwanini tunasema hivyo:
1. Wadhamini hawa karibia milioni moja ni mchanganyiko wa wanachama na viongozi wa ngazi mbali mbali wa CCM. Wanatoka katika kona mbalimbali za Tanzania. Ni hawa ambao kwa kawaida, ndio wanaochukuaga jukumu la kumbeba na kumnadi mgombea urais (CCM) baada ya jina la mgombea kupatikana.
Kwa umri na alipofikia kisiasa Lowasa has nothing to lose in politics akiamua kuingia opposition, aingie upinzani akajaribu karata yake ya mwisho,kubakia CCM haitamsaidia chochote na wala hatakuwa na legacy yeyote zaidi ya ufisadi na KUKATWA,na nina uhakika akienda upinzani CCM itayumba ingawaje not necessarily will lose na anaweza kushinda vilevile who knows,aache kuwa soft apigane kiume mpaka mwisho na ajue siasa ngumu na kila mtu anataka
Mkuu Mchambuzi, kwanza asante kwa uzi huu, pia asante kwa mchango kutoka kwa Mkuu Nguruvi3.
Baada tuu ya jina la Lowassa kukatwa kwenye 5 bora, nilipandisha uzi huu, Kukatwa Kwa Lowassa, Jee Ndio Mwisho wa Ile Safari, Au..., nikishauri ahame CCM safari iendelee, huku nikitaraji atakayepita ni Membe!.
Lakini baada ya kupitishwa Magufuli, nilifanya about turn na kumshauri sasa atulie tuu, kwa sababu Magufuli ni jembe zaidi ya Lowassa!. Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali yaishe, vunja kambi na kujisalimisha!.
Katika uzi wangu wa posibility ya kupitishwa kwa Magufuli nilioupandisha humu Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, nilitoa angalizo kuwa jina la Magufuli limetajwa for a reason!. Mpaka sasa kuna watu wanaamini kupitishwa kwa Magufuli kumetokea tuu by chance na sio plan or pre meditated move!.
Nikirudi kwenye hoja hizi
1. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwake kisiasa?-mpaka hapo tuu baada ya kukwa, Lowassa sasa kwisha!, baada ya kupita kwa Magufuli, hata akihamia upinzani bado atakwisha tuu!.
2. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama atakachohamia?, athari zitakuwa kama zile za Mrema tuu, atahama na wafuasinwake wawili watatu, chama atakachojiunga kitainuka kwa nguvu ya soda tuu, then atajifia na kitajifia zake!.
3. Akiamua kuhama ccm na kwenda upinzani, Nini itakuwa athari kwa chama chama cha mapinduzi?- mgombea angekuwa Membe kisha Lowassa akahama, CCM kingeathirika sana kwa sababu angekata pande kubwa la Kanda ya Ziwa, na CCM ingepigwa chini jumla!.
Tukubali tukatae, kwenye siasa zetu kuna karata mbili za turufu ambazo huwa zinatembea, hatuzikubali lakini zipo!.
Hii ni turufu ya Udini na Ukanda. Katika kumchagua Magufuli, hizi zote mbili zimezingatiwa. Ukinisoma hapa utanielewa
[h=3]Kete ya Dhana ya 'Zamu za Kupokezana' ina turufu yoyote?.
[/h][h=3]Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real?
[/h]Kuna uzi niliwahi kuupandisha humu kuuliza "Rais wa Tanzania akiwa Mkristu "Jee ni lazima awe Mkatoliki?!", mode waliifuta fasta na mimi kunyooshewa kidole cha "mdini mkuu!". Nilipopandisha huu uzi Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, based on sababu nilizozisikia, na hili likaja kutokea, hivyo nime confirm kile nilichokisikia, lakini sio lazima kukisema kila unachokisikia, haswa ikitokea unaposikia jamba ambalo una disbelief halafu linatokea!.
Tuna siasa za Ukanda, niliwahi kusema humu, kuna Kanda fulani ndizo determinant ya nani anakuwa rais wa Tanzania!. Nikasema humu kuwa lakini hata Kaskazini yote wawachague wapinzani, bila kuishika Kanda ya Ziwa, mtu wao hawezi kuwa rais!. Kanda ya Ziwa ndio determinant. Kama ulinote hata Lowassa aliweka msisitizo Kanda ya Ziwa, mtu kama Mgeja ndizo zilikuwa nguzo zake!, siku ile akitangaza nia pele Sheikh Amri Abeid, Lowassa aliinuka kitini kuja kumpokea M/Kiti wa CCM Geita, Joseph Msukuma!. Hata kama umefuatilia kwa karibu nyendo za Kinana kwenye Kanda ya Ziwa, utanielewa!. Kanda hii ndio yenye the biggest chunk ya population kubwa Tanzania. Wazukuma ndilo kabila kubwa kuliko kabila jingine lolote nchini Tanzania na ndilo kabila pekee linalomiliki mkoa mmoja mzima wenye kabila moja bila kuchanganya na kabila jingine lolote!.
Baada ya kuchaguliwa Magufuli kutoka kanda ya Ziwa, damu ni nzito kuliko maji, hivyo ile support yote ya Kanda ya Ziwa ambayo Lowassa angeitumia kama mtaji, sasa imerudi nyumbani!. Hivyo the best thing kwa sasa Lowassa to do, ni kutulia, kukubali matokeo na kustaafu kwa amani, akajipumzikie kwenye kasri lake kule London maisha yake yaliyobakia!.
Pasco