Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Kesho itakuwa ni kufuru kufuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutoe kura mpk kila wanapoiba hazitoshi. Tuahakiki vituo vyote vya kata zetu nakujua idadi yake kuzuia vituo hewa.
Hakikisha wana mabadiliko wote mnajua Idadi ya vituo vya kila kata na mawakala wetu pia wana vifahamu vituo vyote halisi kuzuia kura za vituo Hewa.
Historia ya kwanza ilikua kujinyeee
team Wema washachemuka, sasa tunashindana wenyewe, nataka mwanza wavunje record ya dar
Tupe mambo kamanda.Ni mkombozi wa tanzania mpya ijayo mh raisi Edward lowasa kesho trh 12 atatia team mwanza akitokea musoma.
Kila sehemu jijini mwanza ni shangwe, vigelegele, ndelemo ujio wa raisi wetu mpendwa lowasa.
Baadhi ya makundi akina mama,wadada tuko kwenye maandalizi ya kipekee, wengine wanaandaa vitenge, kanga, vitambaa, kapeti kwa ajiri ya kutandika barabarani gari la raisi litakapopita.
Hii ni taarifa mbaya kwa upande wa pili ila hakuna namna mabadiliko ni lazima.
Nitawaletea habari moto moto kutoka rock city ni mm mwanahabar wako luckyline.
Stay tuned.
Historia ya kwanza ilikua kujinyeee
Ama kwel alipo lofa na mwehu lazma awepo kumfariji mpumbavu mwenzao!
kama hutojali shoga mp wasap nikurushie manjonjo ya maandalizi yaani ni zaid ya utamu. Staki kurushaa hapa kabla ya tukio lenyewe ahaaaa watu na madila yetu kesho ni kukatika mpaka basiiiii.
Karibu mwanza nkupikie sato
ndio nini kubaguanaaa,yaan sipo mwanza natamani ningekuwepo yaillah ILA narudi kupiga kura au sio mwanawane mpaka kielewekeeee
Kesho itakuwa ni kufuru kufuru
team Wema washachemuka, sasa tunashindana wenyewe, nataka mwanza wavunje record ya dar
Ndugu yangu mbona unakuwa mnafiki upande wa pili umekuwaje acha ushobo mbona mimi nipo mwanza sijaona hayo watu muwe kwenye ofisi za vyama harafu mseme kuwa wana mwanza
Lowassa anapendwa bure na wwtanzania toka sakafuni ya mioyo yao, magufuri analazimisha kupendwa kwa kutembea na timu ya wanamuziki na waigizaji wa vichekesho.