Lowassa kupigiwa saluti ni sawa?


Mkuu ngereja hapa umetoa jibu sahihi sana. Wabunge hawamo katika wanaopigiwa saluti, na hata walipoleta mjadala kama huo bungeni, haukufikia muafaka (hawakuleta kama hoja, bali ilikuwa mjadala katika hoja nyingine).

Kwenye list ya junior commissioned officers, unaishia kwa Captain. Saluti pia hupigwa kwa alama za Taifa ambazo ni bendera, ngao ya taifa na wimbo wa taifa unapoimbwa. Kwa hiyo ukiona askari anapiga saluti mahakamani, bungeni etc hampigii hakimu wala wabunge, anapiga kwa heshima ya alama zile zinazowekwa mle. Na si kwamba saluti zinapigwa tu popote zinapoonekana alama hizo (mfano ngao ya taifa kwenye barua, au ukikutana na mashabiki wa michezo wanaonyesha uzalendo kwa kukimbia na bendera, wengine hata wanaivaa), kuna utaratibu wake ambao umewekwa wazi katika majeshi na miongoni mwa wanajeshi.
 
A sitting Prime Minister alikutwa na haya? Mkuu naona niwaachie wananchi waamue ukweli wa hii hoja ila mimi simo!



A sitting president alikutwa na haya, naona nijitoe sasa kwenye huu mjadala maana this is incredible bro! Isipokuwa siku Kawawa, Msuya, Malecela, Warioba na Salim wakikutwa na haya ya kutokuwepo mapokezi wanaposaifir naomba unifahamishe nitaamini maneno yako![/QUOTE]

Yes yaliwakuta nilikuwepo na nilishuhudia sio habari ya kuhadithiwa. A good thing waheshimiwa hawa wametembea na makundi makubwa ya watu ambao nao waliona.
 
Mkuu Ngereja,

Heshima mbele kwa kuupeleka huu mjadala to the next level ambapo sasa unaelekea kua academic, safi sana sasa mkuu naomba elimu zaidi kwa sababu sijui sheria ya hii ishu,

Kisheria wabunge hawapaswi kupigiwa saluti. Na kama hiyo inafanyika ni makosa au mazoea ambayo yamefanywa kuwa ni kawaida.

Sheria ipi hii ya jamhuri au ya jeshi? Ninafahamu kuwa kuna sheria za jamhuri na amri za kijeshi hapa maneno yako ni based on ipi kati ya hizo mbili? Wanajeshi kufuata what sheria ya jamhuri au amri za jeshi, maana nakumbuka nikiwa JKT kulikuwa na mahakama ya kijeshi, ambayo haina uhusiano wowote na uraiani, ndio maana ninakuuliza ili nipate elimu mkuu kama hapa uliyoisema ni ipi hasa sheria ya jamhuri au ya jeshi?


again thank you for this, now naomba elimu tena hapa una maana kuwa sakari wote wa jeshi Tanzania wanatakiwa by sheria kuwajua viongozi wote wanajeshi waliostaafu na waiostaafu, au?

Now lets say kwa sheria yako hii askari wa jeshi amestaafu akawa na cheo kidogo, lakini akawa mbunge au kiongozi wa taifa, ina maana huyu kiongozi wa taifa alistaafu akiwa na cheo kidogo atampigia saluti yule mwanajeshi ambaye bado active na ana cheo kikubwa? au?


Again umeyapata wapi haya juu? ni sheria ya jamhuri au amri ya jeshi?


Mkuu mimi nilifikiri umeandika some type ya sheria au amri of something, sasa hapa vipi? Sheria imesimama au naomba elimu zaidi, au umeandika tu mku kama maoni yako lakini ni sheria unayoijua siku zote?


Sasa hapa ndio clear na tena ni wazi kuwa haya ni maoni yako sio sheria ua amri ya jeshi, au ni sheria ya JKT mkuu?

Anyways, ninakupa heshima angalau kuuweka huu majdala in the next level kuliko ndugu zangu wengine hapo wanaojaribu kuufanya mjdala wa pua, lakini naomba elimu zaidi bro Ngereja,

Respect!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…