kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
lowasa ana ushawishi ndan ya ccm, akitoka bhasi atakua hana tena nguvu.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haamini kilichotokea...ila Mwenyezi Mungu ametuhurumia. Huyu jamaa na yule aliyeanza ku practise urais wote wangetuyeyusha tu. Bora amechukua huyu arrogant atupige ngumi tufanye kazi na kujenga Taifa.
Ramadhan Madabida yupo kwenye hiko kikao? ''Lowasa ni kama Mtume Mohamad''
Hakika Mkuu. Lowasa anateseka sana. Anahitaji ushauri nasaha wa nguvu
Ndugu yangu, nilikuwa nawaza tu.Atakuwa analewa tu saa hizi, hao washauri nasaha ataongea nao vipi.
Hayo ni maoni yako na si lazima yawe na uhalisia.
Pengine watoto wake wanatembelea hapa JF-Siasa na hivyo wanaweza kutafakari na kumshauri mzee kuhusu maoni yanayotolewa hapa. Mitaani waswahili husema 'kufanya kosa sio kosa lakini kurudia kosa ni kosa, tena kubwa." Uamuzi wa kutaka kugombea urais pekee lilikuwa kosa kubwa ama uamuzi rejareja. Kwa sababu mzee wa maamuzi magumu alishapatwa na AJALI KUBWA mbili za kisiasa ambazo zingemsaidia kuachana na nia ya kugombea. Nazo ni 1995 alipokataliwa na Hayati Mwalimu JKN (rip) tena bila kupepesa macho kwamba ukwasi wake kwa wakati huo ulikuwa wa kutiliwa mashaka na hivyo hakuwa msafi. Hilo tunaweza kusema halikuwa kosa. Lakini ajali ya pili ya kisiasa ilikuwa ni pale aliposhiriki katika kashfa ya Richmond kama Waziri Mkuu na kulazimika kujiuzulu. Hiii ilikuwa ni ishara ya 'mdomo mbaya wa mwalimu JKN' ambapo Jakaya Kikwete hakutaka kuuzingatia wakati anatafuta Waziri Mkuu. Midomo ya wazee hususan wale waliokulea sio ya kupuuzia. Yaliyotokea ni hiyo ajali ya pili ya kisiasa. Sasa hili la kutaka kuwania urais lilikuwa uamuzi mwepesi, sio uamuzi mgumu. Na kwa hakika kama bado anafikiria kuhamia ACT ili aendeleze safari ya matumaini, ninaweza kutabiri kuwa atakuwa anajipaka kinyesi. Ni bora atulie afurahie marupurupu na mafao yake ya uwaziri mkuu, alee wajukuu, na kuangalia afya yake. Aige mfano wa Mzee Malicela. Ni ushauri tu!!!
Pumzika mzee lowasa utafulia bure,pesa ulizoumwaga zinatosha,magufuli ni chaguo la mungu kwa tz ya leo
Mzee tumechoka na hii post kwan Huyu magufuli hana kashfa nyingine ni hizhiz tu.....tumeshazichoka kama unanyngine leta kama huna kaa kimya...