Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Kama Lowassa atahamia ukawa itakuw ni karata ya maana sana aliyoicheza, na hakutakuwa na sababu ya wanaukawa kumkataa kwasababu hata kuungana ukawa ni kwa lengo moja tu la kumng'oa CCM. U are mostly welcome ENL kama una nia hyo
 
Kama Lowassa kuna wakati anatakiwa kutoka CCM ni huu. Akichelewa zaidi ya wiki hii basi aache tu. Ajiunge na Chadema au CUF lakini si kama mgombea bali kama mwanachama tu. Kama anataka kujiunga na ACT basi aombe kuwa mwenyekiti au Kiongozi wa kiongozi. Ila msele uliopo pale ni kwamba Lowassa akiingia tu ACT Zitto atakuwa irrelevant na chama kitahamia kwa wageni watakaoingia kwa mawimbi.
 
Mzee tumechoka na hii post kwan Huyu magufuli hana kashfa nyingine ni hizhiz tu.....tumeshazichoka kama unanyngine leta kama huna kaa kimya...
Haya Mtanzania! Muda si mrefu utaletewa habari ya 2010 iliyorudiwa rudiwa sana ya Padri kuiba mke wa mtu. Ni matarajio yangu na yenyewe itakuchosha!
 
Naamini ufisadi unaosemwa wa lowassa huwezi mtenga jk!!! Haingii akilini pm akapiga dili kubwa bila ruksa ya rais!! Haipo na ni ngumu sana!!! So, i think lowassa alitumiwa tu ka'mbuzi wa kafara ila in reality mkuu wa kaya can't escape such a scandle!!! Ukitaka kuamini jiulize swali moja tu; baada ya lowassa kuondoka ni kashfa ngapi zilitokea!?? Escrow, macontena, n.k. So, lowassa isn't the one but jk
 
Kwani uhalifu wa padre slaa ni mdogo kaiba mke wamtu kamuasi Mungu kwa kuacha upadre katafuna ruzuku za chama kampiga kijana wa watu khalid bin kagenzi

Hizo in person effects, hakuna mali ya umma iliyoibiwa kama viongozi wenu wanavyo iba rasilimali za watanzania kupitia serikali ya ccm na vibaraka wake
 
Hizo in person effects, hakuna mali ya umma iliyoibiwa kama viongozi wenu wanavyo iba rasilimali za watanzania kupitia serikali ya ccm na vibaraka wake

Mkuu kwani ruzuku sio pesa za umma?
 
Mkuu kwani ruzuku sio pesa za umma?

Tulia,kama ni wezi kwanini mnashindwa kuwakamata na kuwashitaki?kwa kushindwa kufanya hivyo inadhihirisha kuwa serikali yenu ni dhaifu na pia huo utakuwa ni mpango wenu wa kujishikiza angalau mpate cha kuongea dhidi ya upinzani ambao umewashika pabaya,husikate tamaa kiongozi wako mkuu huwenda akapata angalau udiwani mwaka huu.
 
Kama ni uadilifu basi msitegemee wafanye ccm tu hata nyinyi wananchi tunawaangalia kama kioo iweje leo hii mtu akitaka kugombea nyazifa ndani ya chama afukuzwe? Iweje leo hii ndani ya chama cha kidemokrasia mwenyekiti apishi wengine wagombee? Kwa nini kuwe na ripoti chafu kutoka kwa CAG juu ya matumizi ya ruzuku? Ebu tuwekee hapa idadi ya viongozi wa juu wa chama na kabila zao bila kuacha na wazifa waliopewa?
 
Sasa hapa Napata mashaka na lowasa, kwanini asikubaliane na matokeo? Anataka nin hasa? Kwanini asipumzike? Urais ni mzigo nashangaa ameng'ang'ania kiasi hki, kuna kipi kasahau katika utumishi wake selikarin?
 
Kama ni kweli mbona kura zilizoharibika ni 6 tu?! Kama wajumbe walimpenda lowasa mbona walimchagua pombe kwa 87.1%!

Hawakuwa na jinsi...wewe unafikiri wangemweka EL na JM , wajumbe wangemchagua yupi?? JM labda angepata za Geita....
 
Kama ni uadilifu basi msitegemee wafanye ccm tu hata nyinyi wananchi tunawaangalia kama kioo iweje leo hii mtu akitaka kugombea nyazifa ndani ya chama afukuzwe? Iweje leo hii ndani ya chama cha kidemokrasia mwenyekiti apishi wengine wagombee? Kwa nini kuwe na ripoti chafu kutoka kwa CAG juu ya matumizi ya ruzuku? Ebu tuwekee hapa idadi ya viongozi wa juu wa chama na kabila zao bila kuacha na wazifa waliopewa?

Mkuu wewe mbona unashindwa kuelewa kiswahili?umeambiwa kama unaona cdm wanatumia hisivyo ruzuku ya chama kutokana na report ya CAG serikali yako inashindwa nini kuwachukulia hatua? Muhongo alifanya nini hadi kukimbia madaraka?si ni kufuatia report ya CAG?tamka wazi kama serikali yenu imeshindwa leo hapa jukwaani tukusikie.Suala la makabila nikuwa cdm bahati mbaya hatuna idadi sahii ya kujua kila kiongozi anatoka kabila gani kwani hatuamini ktk ubaguzi kama wakala wa ccm na kiongozi wako zzk anavyoendesha act kwa ukabila.
 
Kwa ufupi mnasema Lowassa hana maamuzi yake na hata akiwa nayo si mwepesi kufanya maamuzi magumu hasa linapokuja suala la maslahi yake. Ingekuwa anatakiwa kuchukua hatua ya mtu mwingine angetumia muda hivi kufikiri au angetoa maelekezo ya "papo kwa papo" ambayo alikuwa anajulikana kwayo?
 
Mkuu wewe mbona unashindwa kuelewa kiswahili?umeambiwa kama unaona cdm wanatumia hisivyo ruzuku ya chama kutokana na report ya CAG serikali yako inashindwa nini kuwachukulia hatua? Muhongo alifanya nini hadi kukimbia madaraka?si ni kufuatia report ya CAG?tamka wazi kama serikali yenu imeshindwa leo hapa jukwaani tukusikie.Suala la makabila nikuwa cdm bahati mbaya hatuna idadi sahii ya kujua kila kiongozi anatoka kabila gani kwani hatuamini ktk ubaguzi kama wakala wa ccm na kiongozi wako zzk anavyoendesha act kwa ukabila.

Mkuu hata viongozi wa juu wa chama hujui idadi yao na makabila yao sasa unafaida gani kwenye chama kama huwajui hata viongozi wako. Chadema ni taasisi hivyo inajisimamia kama ulitaka nikubali ccm imeshindwa kuwawajibisha basi kubali kwanza taasisi yenu haiwezi kujisimamia mpaka ccm iwasimamie.
 
Mzee Lowassa

Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.

Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.

Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote

Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.

Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.

Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.

Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!

Iache vita hii ipite Mzee.

EL Anatakiwa atulie peke yake, ajitafakari, atubu pale alipowakosea wengine na awasamehe wote waliomkosea, ili astahili kuongea na Mungu na Apate mwongozo wa Mungu. Wapambe waliomzunguka walikuja kila mtu na lake; pesa, uchu wa madaraka, matumaini na wengine mkumbo tu. Hawa hawawezi kumsaidia, watazidi kumkoroga tu. Kwa umri wake alitakiwa kufahamu kwamba kuwa Team Lowasa haina maana ni marafiki wa kweli. AMA sivyo wangeishakuwa wawazi kwake, kwamba tatizo lake ni UFISADI.
 
Kwa kupitia account yake ya Instagram Edward Lowassa ameandika yafuatayo...
 
Attachments

  • 1436797756136.jpg
    1436797756136.jpg
    25.3 KB · Views: 492
  • 1436797767355.jpg
    1436797767355.jpg
    19.6 KB · Views: 1,322
UKAWA KUINGIA IKULU KUPITIA LOWASA –STRIKER HATARI.
Baada ya CCM kuibua striker hatari Magufuli ni zamu ya UKAWA kumtumia stiker Lowasa kuwapatia ushindi wa uhakika. Kuingia kwa Magufuli katika kinyang’anyiro kwa uraisi bila shaka ni dalili mbaya kwa UKAWA tumaini la watanzania.
Ili UKAWA washinde ni heri wamchukue Lowasa. Siasa za kuingia ikulu mwaka huu ni aina ya siasa za Kenya. Ni lazima vyama vya upinzani viungane ili kuiondoa CCM madarakani.
Tatizo la nchi hii ni mfumo wa CCM, ili kupata katiba mpya, nchi ya Tanganyika, tume huru ya uchaguzi, unafuu wa maisha ni lazima CCM iondoke madarakani. Mpatieni Lowasa kipindi kimoja tu cha urais atakuwa amesaidia kuiondoa CCM madarakani na kuizika kabisa ndipo UKAWA mtajitawala kabisa na joka kuu mtakuwa mmelimaliza.
Kupitia Lowasa, UKAWA watapata wabunge wengi kabisa baadhi yao kutoka CCM, na hivyo kuidhoofisha CCM. Lakini pia UKAWA waungane na ACT ili kazi ya kuizika CCM imalizike na ndipo muanze kujipanga upya.
Kuhusu ufisadi, kutokana na mfumo CCM watanzania wengi hakuna usafi wa kutosha. UKAWA mtakataa mafisadi kwani ninyi mmefanya ufisadi mngapi watu wamekaa kimya? Hata CCM kuna mafisadi lakini bado wanaendelea kuishi nao. Tatizo ni mfumo. Mfumo ukibadilishwa matatizo yaliyopo yatakuwa historia.
Katika mapendekeza ya uongozi wa serikali ya ukawa. Rais –Lowasa. VP –Duni, PM –mbowe, spika –Slaa, AG –Lissu, Fedha –Zitto, Ujenzi na Bandari –Mbatia. Mambo ya nje –Lipumba. Nafasi badi ni nyingi sana. Shirikiane kwanza mtapata kila kitu. Kizuri kula na ndugu yako.
Majimbo mtakayofaidi 1. Kigoma yote. 2. Arusha yote. 3. Kilimanjaro yote. 4. Dar es salaam. 5. Mbeya. 6. Manyara.7. Pemba yote. Majimbo ambayo Mtakayogawana nusu kwa nusu na CCM ni . 1. Mwanza, shinyanga, tabora, tanga, iringa, morogoro, mtwara, Ruvuma, njombe, katavi, simiyu, Mara. Mtakayopigwa sana na CCM ni Geita, Dodoma, singida, pwani
Hatimaye Tanzania mpya itapatikana. Msiipuuze nguvu ya Magufuli. Umoja ni nguvu. Hima hima UKAWA CHUKUA NCHI KUPITIA LOWASA.
 
Nawapongeza sana CCM walisema.hamna ubavu wa kumkata Lowassa, hakika mmemchinja. Mwacheni aondoke, yeye ni mmoja wa watu 11 ambao Dr. Slaa aliwataja kuwa mafisadi pale Mwembe yanga. Juzi Mabere Marando amesema wana mengi ya Lowassa wanasubiri CCM wampitishe wayaanike,Sasa ni zamu yao tuone kama wana ubavu wa kumzuia. CCM tembeeni kifua mbele, mwacheni Lowassa aende ACT, chama kinachoabudu katika azimio la arusha, azimio linalohimiza kiongozi kutojilimbikizia mali ili tuone uthubutu wao , wambie Lowassa arudishe kwanza mali zetu,mali ambazo zilimuogopesha Nyerere.
CCM mumpetipeti lulu yenu Maghufuli, hakika ni lulu, madoa anayopakwa hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii na atakayopakwa wakati wa kampeni hayahitaji hata sabuni ya mche kuyasafisha tofauti na yale ya Lowassa ambayo hata JIK ilishashindwa.
Mimi tangu jana roho yangu kwatu, nimerudi CCM rasmi, niliwamisi sana.
 
Back
Top Bottom