Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Mtanzania! Muda si mrefu utaletewa habari ya 2010 iliyorudiwa rudiwa sana ya Padri kuiba mke wa mtu. Ni matarajio yangu na yenyewe itakuchosha!Mzee tumechoka na hii post kwan Huyu magufuli hana kashfa nyingine ni hizhiz tu.....tumeshazichoka kama unanyngine leta kama huna kaa kimya...
Kwani uhalifu wa padre slaa ni mdogo kaiba mke wamtu kamuasi Mungu kwa kuacha upadre katafuna ruzuku za chama kampiga kijana wa watu khalid bin kagenzi
Hizo in person effects, hakuna mali ya umma iliyoibiwa kama viongozi wenu wanavyo iba rasilimali za watanzania kupitia serikali ya ccm na vibaraka wake
Mkuu kwani ruzuku sio pesa za umma?
Tulia,kama ni wezi kwanini mnashindwa kuwakamata na kuwashitaki?kwa kushindwa kufanya hivyo inadhihirisha kuwa serikali yenu ni dhaifu na pia huo utakuwa ni mpango wenu wa kujishikiza angalau mpate cha kuongea dhidi ya upinzani ambao umewashika pabaya,husikate tamaa kiongozi wako mkuu huwenda akapata angalau udiwani mwaka huu.
Kama ni kweli mbona kura zilizoharibika ni 6 tu?! Kama wajumbe walimpenda lowasa mbona walimchagua pombe kwa 87.1%!
Kama ni uadilifu basi msitegemee wafanye ccm tu hata nyinyi wananchi tunawaangalia kama kioo iweje leo hii mtu akitaka kugombea nyazifa ndani ya chama afukuzwe? Iweje leo hii ndani ya chama cha kidemokrasia mwenyekiti apishi wengine wagombee? Kwa nini kuwe na ripoti chafu kutoka kwa CAG juu ya matumizi ya ruzuku? Ebu tuwekee hapa idadi ya viongozi wa juu wa chama na kabila zao bila kuacha na wazifa waliopewa?
Mkuu wewe mbona unashindwa kuelewa kiswahili?umeambiwa kama unaona cdm wanatumia hisivyo ruzuku ya chama kutokana na report ya CAG serikali yako inashindwa nini kuwachukulia hatua? Muhongo alifanya nini hadi kukimbia madaraka?si ni kufuatia report ya CAG?tamka wazi kama serikali yenu imeshindwa leo hapa jukwaani tukusikie.Suala la makabila nikuwa cdm bahati mbaya hatuna idadi sahii ya kujua kila kiongozi anatoka kabila gani kwani hatuamini ktk ubaguzi kama wakala wa ccm na kiongozi wako zzk anavyoendesha act kwa ukabila.
Mzee Lowassa
Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.
Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.
Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote
Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.
Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.
Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.
Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!
Iache vita hii ipite Mzee.