HApana mkuu, ispokuwa Siri za ndani ya CCM, Chadema walishindwa kuzing'amua, ndicho kinachotoka leoNaona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Niwewe tu unayewaamini akina mbowe mabingwa wa maigizo,lakini ukweli ni kuwa ni mtu mmoja tu mwenye nia ya kuiokoa nchi yetu,naye ni jpm.Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Tunatetea mali zetu zisitaifishweView attachment 1487688
Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !
labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .
Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
huna hoja
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
wala si tatizo , kwani nilichoandika kimefutwa ?Thread yako imekuwa merged na nyingine, ndio ujue kuwa ulichemka.
Fisadi na jizi lakini mlimpa agombee Urais huko kwenuNaona Lowasa Anakula Matapishi Yake
Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.
Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.